Ushahidi CHADEMA inatumiwa na TICTS kukwamisha uboreshaji wa bandari

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,227
5,950
TICTS walipewa kazi ya kuendeleza, kuboresha, na kuendesha shughuli za upakuwaji na upakiaji wa makasha ya mizigo kwenye bandari ya Dar as salaam kuanzia mwaka 2000.

Walipewa magati 08,09,10 na 11 na bandari kavu za kurasini na Ubungo amabo ni 75% ya ukubwa wa biashara ya bandariya Dar es Salaam. TICTS kampuni tanzu ya kampuni ya Hutchison Port Holding Limited (HPH) ya Singapore na imesajiliwa British Virgin Islands Hutchison Port Holding Limited (HPH)nayo ni kampuni tanzu ya CK Hutchison Holdings Limited.

Mpaka sasa TICTS imewekeza USD 100 M kwa kununua kwa kuleta 11 RTGCs (Rubber-tyred Gantry Cranes), 4 Reach stackers, 2 Mobile Harbour Cranes, 17 terminal tractors and 2 empty handlers na ujenzi wa miiundo mbinu. Mh. Nazir Karamagi alikuwa mwenyekiti wa bodi ya TICTS hadi Mei, 2008 nafasi yake ilipochukuliwa na John Meredith.

Mwaka 2017 utendaji wa TICTS uliingizwa kwenye mpango mpya wa kupima ufanisi ili kuona kama unaendena na ushindani wa sasa katika biashara ya bandari. Upimaji ulikuwa wa miaka 5 na ilishindwa kukidhi vigezo na mkataba wake kutohuishwa mwaka 2022.

Wakati TICTS ikitathimiwa, TPA ilianza mchakato wa kupata mbadala na wake na akapatikana DP World. Kupoteza biashara kubwa kama ya kuendesha biashara, TICTS ilitafuta namna ya kuzuia kuja kwa mwendeshaji mwingine ukizingatia kuwa bado wanaendelea na biashara kwenye kipindi cha mpito. TICTS ikawaingiza CHADEMA kwenye vita yao kama askari mamluki.

Mazingiara haya yanaonyesha ndoa ya TICTS na CHADEMA. Kati kati ya mjadala wa DP World, Mdude Chadema na social network worriers wa CHADEMA walipost MEMO ya TICTS ambayo pamoja na kwamba ilikuwa inatoboa hoja yao ya upotoshaji kuwa WAARABU tayari wako bandari ya Dares Salaam, lakini ilikuwa inawasidia kuwaonyesha TICTS kuwa wako kazini wanapambana na kuhalaisha pesa walizolipwa.

1689509694242.jpeg

Tukio jingine ni kuhuishwa na kuboreshwa kwa +255 Kutoka KATIBA MPYA na kuwa KATIBA MPYA NA OKOA BANDARI ZETU.

Kampeni hii inakwenda kuzindukia Kagera ambako ndiko kwao mhusika wa TICTS anakotoka. +255 ilikuwa imesimama kwa kukosa pesa, tatizo hilo liletatuliwa na pesa za TICTS za kupinga DP World.
 
TICTS walipewa kazi ya kuendeleza, kuboresha, na kuendesha shughuli za upakuwaji na upakiaji wa makasha ya mizigo kwenye bandari ya Dar as salaam kuanzia mwaka 2000. Walipewa magati 08,09,10 na 11 na bandari kavu za kurasini na Ubungo amabo ni 75% ya ukubwa wa biashara ya bandariya Dar es Salaam. TICTS kampuni tanzu ya kampuni ya Hutchison Port Holding Limited (HPH) ya Singapore na imesajiliwa British Virgin Islands Hutchison Port Holding Limited (HPH)nayo ni kampuni tanzu ya CK Hutchison Holdings Limited.
Mpaka sasa TICTS imewekeza USD 100 M kwa kununua kwa kuleta 11 RTGCs (Rubber-tyred Gantry Cranes), 4 Reach stackers, 2 Mobile Harbour Cranes, 17 terminal tractors and 2 empty handlers na ujenzi wa miiundo mbinu. Mh. Nazir Karamagi alikuwa mwenyekiti wa bodi ya TICTS hadi Mei, 2008 nafasi yake ilipochukuliwa na John Meredith

Mazingiara haya yanaonyesha ndoa ya TICTS na CHADEMA.
Kati kati ya mjadala wa DP World, Mdude Chadema na social network worriers wa CHADEMA walipost MEMO ya TICTS ambayo pamoja na kwamba ilikuwa inatoboa hoja yao ya upotoshaji kuwa WAARABU tayari wako bandari ya Dares Salaam, lakini ilikuwa inawasidia kuwaonyesha TICTS kuwa wako kazini wanapambana na kuhalaisha pesa walizolipwa. View attachment 2689848
Tukio jingine ni kuhuishwa na kuboreshwa kwa +255 Kutoka KATIBA MPAYA na kuwa KATIBA MPAYA NA OKOA BANDARI ZETU. Kampeni hii inakwenda kuzindukia Kagera ambako ndiko kwao mhusika wa TICTS anakotoka. +255 ilikuwa imesimama kwa kukosa pesa, tatizo hilo liletatuliwa na pesa za TICTS za kupinga DP World.
Uongo mtupu ! kwani TICTS walipewa mkataba usio na kikomo , halafu walimilikishwa bandari zote kama huyo Mwarabu ?
 
TICTS walipewa kazi ya kuendeleza, kuboresha, na kuendesha shughuli za upakuwaji na upakiaji wa makasha ya mizigo kwenye bandari ya Dar as salaam kuanzia mwaka 2000. Walipewa magati 08,09,10 na 11 na bandari kavu za kurasini na Ubungo amabo ni 75% ya ukubwa wa biashara ya bandariya Dar es Salaam. TICTS kampuni tanzu ya kampuni ya Hutchison Port Holding Limited (HPH) ya Singapore na imesajiliwa British Virgin Islands Hutchison Port Holding Limited (HPH)nayo ni kampuni tanzu ya CK Hutchison Holdings Limited.
Mpaka sasa TICTS imewekeza USD 100 M kwa kununua kwa kuleta 11 RTGCs (Rubber-tyred Gantry Cranes), 4 Reach stackers, 2 Mobile Harbour Cranes, 17 terminal tractors and 2 empty handlers na ujenzi wa miiundo mbinu. Mh. Nazir Karamagi alikuwa mwenyekiti wa bodi ya TICTS hadi Mei, 2008 nafasi yake ilipochukuliwa na John Meredith

Mwaka 2017 utendaji wa TICTS uliingizwa kwenye mpango mpya wa kupima ufanisi ili kuona kama unaendena na ushindani wa sasa katika biashara ya bandari. Upimaji ulikuwa wa miaka 5 na ilishindwa kukidhi vigezo na mkataba wake kutohuishwa mwaka 2022.

Wakati TICTS ikitathimiwa, TPA ilianza mchakato wa kupata mbadala na wake na akapatikana DP World. Kupoteza biashara kubwa kama ya kuendesha biashara, TICTS ilitafuta namna ya kuzuia kuja kwa mwendeshaji mwingine ukizingatia kuwa bado wanaendelea na biashara kwenye kipindi cha mpito. TICTS ikawaingiza CHADEMA kwenye vita yao kama askari mamluki.

Mazingiara haya yanaonyesha ndoa ya TICTS na CHADEMA.
Kati kati ya mjadala wa DP World, Mdude Chadema na social network worriers wa CHADEMA walipost MEMO ya TICTS ambayo pamoja na kwamba ilikuwa inatoboa hoja yao ya upotoshaji kuwa WAARABU tayari wako bandari ya Dares Salaam, lakini ilikuwa inawasidia kuwaonyesha TICTS kuwa wako kazini wanapambana na kuhalaisha pesa walizolipwa. View attachment 2689848
Tukio jingine ni kuhuishwa na kuboreshwa kwa +255 Kutoka KATIBA MPYA na kuwa KATIBA MPYA NA OKOA BANDARI ZETU. Kampeni hii inakwenda kuzindukia Kagera ambako ndiko kwao mhusika wa TICTS anakotoka. +255 ilikuwa imesimama kwa kukosa pesa, tatizo hilo liletatuliwa na pesa za TICTS za kupinga DP World.
We chawa kumbe TICTS waliletwa na Chadema?
 
TICTS walipewa kazi ya kuendeleza, kuboresha, na kuendesha shughuli za upakuwaji na upakiaji wa makasha ya mizigo kwenye bandari ya Dar as salaam kuanzia mwaka 2000.

Walipewa magati 08,09,10 na 11 na bandari kavu za kurasini na Ubungo amabo ni 75% ya ukubwa wa biashara ya bandariya Dar es Salaam. TICTS kampuni tanzu ya kampuni ya Hutchison Port Holding Limited (HPH) ya Singapore na imesajiliwa British Virgin Islands Hutchison Port Holding Limited (HPH)nayo ni kampuni tanzu ya CK Hutchison Holdings Limited.

Mpaka sasa TICTS imewekeza USD 100 M kwa kununua kwa kuleta 11 RTGCs (Rubber-tyred Gantry Cranes), 4 Reach stackers, 2 Mobile Harbour Cranes, 17 terminal tractors and 2 empty handlers na ujenzi wa miiundo mbinu. Mh. Nazir Karamagi alikuwa mwenyekiti wa bodi ya TICTS hadi Mei, 2008 nafasi yake ilipochukuliwa na John Meredith.

Mwaka 2017 utendaji wa TICTS uliingizwa kwenye mpango mpya wa kupima ufanisi ili kuona kama unaendena na ushindani wa sasa katika biashara ya bandari. Upimaji ulikuwa wa miaka 5 na ilishindwa kukidhi vigezo na mkataba wake kutohuishwa mwaka 2022.

Wakati TICTS ikitathimiwa, TPA ilianza mchakato wa kupata mbadala na wake na akapatikana DP World. Kupoteza biashara kubwa kama ya kuendesha biashara, TICTS ilitafuta namna ya kuzuia kuja kwa mwendeshaji mwingine ukizingatia kuwa bado wanaendelea na biashara kwenye kipindi cha mpito. TICTS ikawaingiza CHADEMA kwenye vita yao kama askari mamluki.

Mazingiara haya yanaonyesha ndoa ya TICTS na CHADEMA. Kati kati ya mjadala wa DP World, Mdude Chadema na social network worriers wa CHADEMA walipost MEMO ya TICTS ambayo pamoja na kwamba ilikuwa inatoboa hoja yao ya upotoshaji kuwa WAARABU tayari wako bandari ya Dares Salaam, lakini ilikuwa inawasidia kuwaonyesha TICTS kuwa wako kazini wanapambana na kuhalaisha pesa walizolipwa.

View attachment 2689848
Tukio jingine ni kuhuishwa na kuboreshwa kwa +255 Kutoka KATIBA MPYA na kuwa KATIBA MPYA NA OKOA BANDARI ZETU.

Kampeni hii inakwenda kuzindukia Kagera ambako ndiko kwao mhusika wa TICTS anakotoka. +255 ilikuwa imesimama kwa kukosa pesa, tatizo hilo liletatuliwa na pesa za TICTS za kupinga DP World.
Kwamba Wamiliki wa TICTS ambao umewataja ni Wanaccm ,na kwamba Wanaccm wa TICTS wamewanunua CHADEMA? Labda mimi niwe fala kama anavyojichora mleta mada, hili halitaniingia akilini kamwe.Hoja ni Terms za Mkataba mbona hapo mnapakwepa kupasemea?
 
Back
Top Bottom