Dharau ilianza pale Hayati Magufuli alipokejeliwa ni Uchwara na Mshamba na CCM kukaa kimya

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,137
Ni vema tukaangalia tulijikwaa wapi na wala siyo tulipoangukia.

Siasa za matusi na dharau hazijaanza leo na hata kumkejeli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna awamu aliitwa Dhaifu tena bungeni na watu wakakaa kimya. Shujaa Magufuli aliitwa Dikteta Uchwara na huyu huyu ni yeye CCM ikapiga kimya. Shujaa Magufuli akaitwa Mshamba na yule Siasa Kali wa ACT Wazalendo, CCM kimya.

Leo mbegu ya kejeli na matusi ndio imeshakomaa, yaani kambale hukunjwa akiwa mbichi. Turudi kwa Viongozi wa Dini waturekebishie hili.

Heri ya Mwaka Mpya!
 
Ni vema tukaangalia tulijikwaa wapi na wala siyo tulipoangukia

Siasa za matusi na dharau hazijaanza leo na hata kumkejeli Rais wa JMT kuna awamu aliitwa Dhaifu tena bungeni na Watu wakakaa kimya

Shujaa Magufuli aliitwa Dikteta Uchwara na huyu Huyu ni Ni Yeye CCM ikapiga kimya

Shujaa Magufuli akaitwa Mshamba na yule Siasa Kali wa ACT Wazalendo, CCM kimya

Leo mbegu ya Kejeli na Matusi ndio imeshakomaa yaani Kambale hukunjwa akiwa mbichi turudi kwa Viongozi wa Dini waturekebishie hili

Heri ya Mwaka Mpya!
Yaani kuna wanasiasa wengine waliitwa "wezi kama kunguru". Hahaha!
 
Ni vema tukaangalia tulijikwaa wapi na wala siyo tulipoangukia

Siasa za matusi na dharau hazijaanza leo na hata kumkejeli Rais wa JMT kuna awamu aliitwa Dhaifu tena bungeni na Watu wakakaa kimya

Shujaa Magufuli aliitwa Dikteta Uchwara na huyu Huyu ni Ni Yeye CCM ikapiga kimya

Shujaa Magufuli akaitwa Mshamba na yule Siasa Kali wa ACT Wazalendo, CCM kimya

Leo mbegu ya Kejeli na Matusi ndio imeshakomaa yaani Kambale hukunjwa akiwa mbichi turudi kwa Viongozi wa Dini waturekebishie hili

Heri ya Mwaka Mpya!
Mimi sijaona tusi ,nani asiyejua Raisi anaakili ndogo hadi wanomtetea wanaona aibu ,
 
Ni vema tukaangalia tulijikwaa wapi na wala siyo tulipoangukia

Siasa za matusi na dharau hazijaanza leo na hata kumkejeli Rais wa JMT kuna awamu aliitwa Dhaifu tena bungeni na Watu wakakaa kimya

Shujaa Magufuli aliitwa Dikteta Uchwara na huyu Huyu ni Ni Yeye CCM ikapiga kimya

Shujaa Magufuli akaitwa Mshamba na yule Siasa Kali wa ACT Wazalendo, CCM kimya

Leo mbegu ya Kejeli na Matusi ndio imeshakomaa yaani Kambale hukunjwa akiwa mbichi turudi kwa Viongozi wa Dini waturekebishie hili

Heri ya Mwaka Mpya!
Kwani mtu kuambiwa ukweli ni kumtukana!
Mbona ni fair sentiments kabisa
 
Ni vema tukaangalia tulijikwaa wapi na wala siyo tulipoangukia

Siasa za matusi na dharau hazijaanza leo na hata kumkejeli Rais wa JMT kuna awamu aliitwa Dhaifu tena bungeni na Watu wakakaa kimya

Shujaa Magufuli aliitwa Dikteta Uchwara na huyu Huyu ni Ni Yeye CCM ikapiga kimya

Shujaa Magufuli akaitwa Mshamba na yule Siasa Kali wa ACT Wazalendo, CCM kimya

Leo mbegu ya Kejeli na Matusi ndio imeshakomaa yaani Kambale hukunjwa akiwa mbichi turudi kwa Viongozi wa Dini waturekebishie hili

Heri ya Mwaka Mpya!
Kutaja wasifu wa mtu siyo matusi.
 
Na huyo unayemuita shujaa naye aliwadharau wastaafu kwa kusema WANAWASHWAWASHWA..!!
 
Samia mwenyewe ni mtukanaji mzuri tu,alimuita Professor Mkenda nonsense hadharani. Tuvumiliane tu.
 
Ni vema tukaangalia tulijikwaa wapi na wala siyo tulipoangukia

Siasa za matusi na dharau hazijaanza leo na hata kumkejeli Rais wa JMT kuna awamu aliitwa Dhaifu tena bungeni na Watu wakakaa kimya

Shujaa Magufuli aliitwa Dikteta Uchwara na huyu Huyu ni Ni Yeye CCM ikapiga kimya

Shujaa Magufuli akaitwa Mshamba na yule Siasa Kali wa ACT Wazalendo, CCM kimya

Leo mbegu ya Kejeli na Matusi ndio imeshakomaa yaani Kambale hukunjwa akiwa mbichi turudi kwa Viongozi wa Dini waturekebishie hili

Heri ya Mwaka Mpya!
Tukuwekee hapa Matusi ya nguoni ambayo Nape alimtukana Lowassa ? Hii ya Lissu ni lugha kali ya kukemea haijawahi kuwa matusi , labda kama wewe ni mgeni
 
Ni vema tukaangalia tulijikwaa wapi na wala siyo tulipoangukia

Siasa za matusi na dharau hazijaanza leo na hata kumkejeli Rais wa JMT kuna awamu aliitwa Dhaifu tena bungeni na Watu wakakaa kimya

Shujaa Magufuli aliitwa Dikteta Uchwara na huyu Huyu ni Ni Yeye CCM ikapiga kimya

Shujaa Magufuli akaitwa Mshamba na yule Siasa Kali wa ACT Wazalendo, CCM kimya

Leo mbegu ya Kejeli na Matusi ndio imeshakomaa yaani Kambale hukunjwa akiwa mbichi turudi kwa Viongozi wa Dini waturekebishie hili

Heri ya Mwaka Mpya!
Wakati wanaccm wakimkebehi Lowassa kwa kashfa mbofumbofu za maradhi ulikuwa haujazaliwa?
 
Back
Top Bottom