Kumchokoza Tundu Lissu ni sawa na kuwasha moto nyikani

Asante CCM

JF-Expert Member
Jun 22, 2023
346
1,301
Kama lipo jambo la hatari ambalo wenye Mamlaka wanataka kulifanya, basi ni kuanza kumfuatilia Tundu, huku wakimwandikia barua za miito ya mashtaka.

Jamani, Lissu hana cha kupoteza hapa Duniani. Tundu, ni mfanya siasa aliyepitia kiwango cha juu na cha mwisho kwa mwana siasa wa upinzani kuteswa! Namaanisha, kupigwa mabomu ya machozi, kuzuiliwa mahabusu na hata kupigwa risasi, Lissu ameshayapitia yote hayo. Na hata kupigwa ngwala, Lissu alishapigwa za kutosha!

Shime, wenye Mamlaka, mpuuzeni Tundu endapo mnataka kutawala kwa amani.

Mwisho, kutaka ligi na Lissu ni sawa na kuwasha moto nyikani! Na kama lipo jambo Mnyaturu yule hupenda, basi, ni ligi ya kisiasa yenye michezo ya kisheria ndaniye. Kwa tunaomfahamu Mnyampaa yule, katulia na acheni kumchokoza kwa barua za miito. Vinginevyo, atawaumbua tu.
 
Nina hakika hiyo siku ikifika, Kingai badala ya kumhoji Lissu, atahojiwa yeye.

Hivi unaanzaje kumtisha mtu aliyeishi kwenye magereza yenu, anayeijua ladha ya chakula chake, na kubwa zaidi maumivu ya uchungu wa risasi zenu 16?!

Maamuzi mengine ni ya kijinga, yanayoonesha vile tulivyo na watendaji wa hovyo kwenye idara za serikali.
 
🤓very soon anakimbilia ubalozini then✈️✈️ ng'ambo eti anatishiwa maisha. He talks too much anachosha na anachuja haraka

Kama lipo jambo la hatari ambalo wenye Mamlaka wanataka kulifanya, basi ni kuanza kumfuatilia Tundu, huku mkimwandikia barua za miito ya mashtaka.

Jamani, Lisu hana cha kupoteza hapa Duniani. Tundu, ni mfanya siasa aliyepitia kiwango cha juu na cha mwisho kwa mwana siasa wa upinzani kuteswa! Namaanisha, kupigwa mabomu ya machozi, kuzuiliwa mahabusu na hata kupigwa risasi, Lisu ameshayapitia yote hayo. Na hata kupigwa ngwala, Lisu alishapigwa za kutosha!

Shime, wenye Mamlaka, mpuuzeni Tundu endapo mnataka kutawala kwa amani.

Mwisho, kutaka ligi na Lisu ni sawa na kuwasha moto nyikani. Na kama lipo jambo Mnyaturu yule hupenda, basi, ni ligi ya kisiasa yenye michezo ya kisheria ndaniye. Kwa tunaomfahamu Mnyampaa yule, katulia na acheni kumchokoza kwa barua za miito. Vinginevyo, atawaumbua tu.
mbi
 
Lissu ni kichaa anayevaa suti, tai na miwani. Ni kichaa mwenye kuheshimiwa, huwa unamtambua mpaka akianza kufungua mdomo.

Heshima aliyopewa na Mheshimiwa Rais ni hali ya juu sana, kwa mtu mwenye chembechembe za ubinadamu alitakiwa akiheshimu kiti cha urais hata kama anaona SSH hana hadhi ya kuheshimiwa.
 
Kama lipo jambo la hatari ambalo wenye Mamlaka wanataka kulifanya, basi ni kuanza kumfuatilia Tundu, huku mkimwandikia barua za miito ya mashtaka.

Jamani, Lisu hana cha kupoteza hapa Duniani. Tundu, ni mfanya siasa aliyepitia kiwango cha juu na cha mwisho kwa mwana siasa wa upinzani kuteswa! Namaanisha, kupigwa mabomu ya machozi, kuzuiliwa mahabusu na hata kupigwa risasi, Lisu ameshayapitia yote hayo. Na hata kupigwa ngwala, Lisu alishapigwa za kutosha!

Shime, wenye Mamlaka, mpuuzeni Tundu endapo mnataka kutawala kwa amani.

Mwisho, kutaka ligi na Lisu ni sawa na kuwasha moto nyikani. Na kama lipo jambo Mnyaturu yule hupenda, basi, ni ligi ya kisiasa yenye michezo ya kisheria ndaniye. Kwa tunaomfahamu Mnyampaa yule, katulia na acheni kumchokoza kwa barua za miito. Vinginevyo, atawaumbua tu.
Maza anaenda kupotea mazima bora ya Mbowe ana ubinadamu lakini Lissu hapana yeye kila kinachotoka moyoni anasema
 
Back
Top Bottom