ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,348
- 89,768
Sugu atafute kazi ya kufanya, Mbeya ya Tulia imetulia kama inavyoonekana hapa 👇
======
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Dkt. Tulia Ackson, akiwasili katika Kata ya Igawilo Jijini humo kwa ajili ya kufanya mkutano na Wananchi wa Kata hiyo leo tarehe 13 Julai, 2023.
Dkt. Tulia anaendelea na ziara zake za kikazi katika Kata mbalimbali Jimboni kwake kwa lengo la kukagua maendeleo ya miradi na miundombinu aliyoahidi kuwafanyia Wananchi wake.
======
Dkt. Tulia anaendelea na ziara zake za kikazi katika Kata mbalimbali Jimboni kwake kwa lengo la kukagua maendeleo ya miradi na miundombinu aliyoahidi kuwafanyia Wananchi wake.