Amos Makalla: Ukosefu wa maji ni kudra za Mungu wala sio ilani ya CCM. Ilani haiwezi kuleta mvua

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,447
7,830
Leo JNICC mkuu wa mkoa wa Dar, Amos Makalla akiwa kwenye kongamano la nishati ya gesi ya kupikia linalodhaminiwa na Taifa Gas ameongelea changamoto ya maji Dar mbele ya Rais Samia.

Amos Makala: Mamlaka ya hali ya hewa ilishatabiri, kwamba kutakuwa na kipindi kirefu cha ukame, kwahiyo ni kwamba chanzo cha ukosefu wa maji ni kudra za mwenyezi Mungu na wala sio ilani ya chama cha mapinduzi maana huwezi ilani ikataja ikaleta mvua kwa hiyo haya ni mambo ambayo yako nje ya uwezo wetu.

========

Hivi wale waarabu wa jangwani wangekuwa wanasubiri kudra za Mungu si wangekuwa wamekufa kwa kiu na ukame! Kama kupatikana maji safi ni nje ya uwezo wenu mtupishe maana hatutayapata mpaka tunakufa.
 
Kwahiyo jangwani wafe njaa eti kudra za mwenyezi Mungu.

Kama wameshindwa kazi watoke hapo sio kula kodi zetu alafu wanaleta majibu rahisi rahisi, any layman ageweza kuomba Mungu au kama vipi tuajiri maaskofu kabisa na Masheikh kila idara kama wao ndio waleta maji. Hizo Idara za Maji tuzihamishie kwenye majumba ya Ibada

By the way kama walishatabiri ukame si inamaanisha walijua kabla au?
 
Huyu na kiazi, kuna siku alikuwa anamshauri Rais ajenge soko la Machinga pale Jangwani kwenye mafuriko🤣🤣🤣
 
Daaaaah tutaongea na mama kama hii kweli ni kauli yake. Na si maneno ya kumbumba.
 
Huyu jamaa anasema CCM haileti mvua, akajisahau mbele akasema wameingia mkataba sijui wa kujenga bwawa wapi huko mjini dar es salaam ivyo tatizo litakwisha kabisa

Ivi CCM Nani kawaloga ? Watanzania tumemkosea wapi mungu ,hii mipango ya kutuambia sisi miaka hamsini ya Uhuru?

Ikiiba kura yakikaa madarani, inawaza miaka mitano mbele ,wataiba kura vip, hakuna vitu vingine yanawaza
 
Amos Makala: Mamlaka ya hali ya hewa ilishatabiri, kwamba kutakuwa na kipindi kirefu cha ukame, kwahiyo ni kwamba chanzo cha ukosefu wa maji ni kudra za mwenyezi Mungu na wala sio ilani ya chama cha mapinduzi maana huwezi ilani ikataja ikaleta mvua kwa hiyo haya ni mambo ambayo yako nje ya uwezo wetu.

========

Hivi wale waarabu wa jangwani wangekuwa wanasubiri kudra za Mungu si wangekuwa wamekufa kwa kiu na ukame! Kama kupatikana maji safi ni nje ya uwezo wenu mtupishe maana hatutayapata mpaka tunakufa.
Ru

Hivi wale waarabu wa jangwani wangekuwa wanasubiri kudra za Mungu si wangekuwa wamekufa kwa kiu na ukame! Kama kupatikana maji safi ni nje ya uwezo wenu mtupishe maana hatutayapata mpaka tunakufa

Amos Makala: Mamlaka ya hali ya hewa ilishatabiri, kwamba kutakuwa na kipindi kirefu cha ukame, kwahiyo ni kwamba chanzo cha ukosefu wa maji ni kudra za mwenyezi Mungu na wala sio ilani ya chama cha mapinduzi maana huwezi ilani ikataja ikaleta mvua kwa hiyo haya ni mambo ambayo yako nje ya uwezo wetu.

========

Hivi wale waarabu wa jangwani wangekuwa wanasubiri kudra za Mungu si wangekuwa wamekufa kwa kiu na ukame! Kama kupatikana maji safi ni nje ya uwezo wenu mtupishe maana hatutayapata mpaka tunakufa.
Wamezoea kulamba matako ndo maana wanaropoka ...... empty haeded
 
Kwahiyo jangwani wafe njaa eti kudra za mwenyezi Mungu...

Kama wameshindwa kazi watoke hapo sio kula kodi zetu alafu wanaleta majibu rahisi rahisi..., any layman ageweza kuomba Mungu au kama vipi tuajiri maaskofu kabisa na Masheikh kila idara kama wao ndio waleta maji..., Hizo Idara za Maji tuzihamishie kwenye majumba ya Ibada

By the way kama walishatabiri ukame si inamaanisha walijua kabla au?
Mdhamini TAIFA GESI
 
Back
Top Bottom