Kilimo cha Bashe hakina dira yoyote, ni porojo tu. Sasa anataka wakulima waisajili mikorosho ili iweje?

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Mimi Bado simuelewi kabisa Hussein, anasema wakulima wa korosho waanze kuisajili mikorosho Yao ili iwe Nini?

Anajishughulisha na vitu vingi visivyokuwa na tija kabisa! Kusajili mikorosho kutaleta nafuu Gani kwa mkulima?

Hilo ndio hitaji la wakulima wa korosho? Itasaidia Nini kwa wakulima au itaongeza tija Gani?

Anachakarika na vitu vya ajabu ajabu wakati kuna mambo chungu nzima ya kimkakati hayajafanyiwa kazi, kwakweli nimechoka na porojo nyingi za hussein.
 
Msomali na Kilimo wapi na wapi!
 
Hakuna mwana ccm anayefikiri sawa sawa. Wote hamnazo.
 
Mimi Bado simuelewi kabisa Hussein, anasema wakulima wa korosho waanze kuisajili mikorosho Yao ili iwe Nini?

Anajishughulisha na vitu vingi visivyokuwa na tija kabisa! Kusajili mikorosho kutaleta nafuu Gani kwa mkulima?

Hilo ndio hitaji la wakulima wa korosho? Itasaidia Nini kwa wakulima au itaongeza tija Gani?

Anachakarika na vitu vya ajabu ajabu wakati kuna mambo chungu nzima ya kimkakati hayajafanyiwa kazi, kwakweli nimechoka na porojo nyingi za hussein.
Wewe kaka huna akili, akili Yako imejaa chuki na ujuajinki kipumbavu, kwani wewe hujui kwamba kina mkorosho huwa una quantity yake ya kunyunyuzia viatilifu? Na hujui kuwa serikali inatoa ruzuku kwenye pembejeo za mikorosho? Sasa wata project vipi mahitaji ya hizo pembejeo bila kusajili mkulima na idadi ya mikorosho anayoimiliki, sisi wakulima wa korosho tunajua Hilo na hatujaanza Leo, kila mwaka tunahuisha maana mikorosho inapandwa mipya na mingine umri unaongezeka. Mkorosho wa miaka mitatu hauwezi kuhitaji pembejeo sawa na mkorosho wa miaka kumi. Na mwenye mikorosho 100 hawezi kuhitaji pembejeo sawa na mwenye mikorosho 700
 
Back
Top Bottom