Mamilioni ya Watanzania tunaendelea Kusimama na Rais Samia

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,346
9,777
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa wingi wetu kwa maelfu na mamilioni tunaendelea kusimama na Rais samia, tunaendelea kumtetea, kumsemea na kuwa upande wake ambao ndio upande wa nchi na Taifa letu kwa kuwa tumeona juhudi na dhamira njema ya Rais samia katika kututumikia watanzania, tumeona kazi kubwa aliyoifanya ndani ya muda mfupi wa uongozi wake iliyogusa maisha yetu,tumeona uchapa kazi wake ulioleta matokeo chanya katika kila eneo, tumeona uzalendo wake katika kulipigania Taifa letu, tumeona namna ambavyo kupitia yeye maisha ya mamilioni ya Watanzania yakijawa na matumaini na tumeona namna mikono yake ilivyomfikia na kumgusa kila mtu na kumuinua mahali alipo kiuchumi kwa kumshika mkono .na tumeona namna ambavyo watu wamefutwa machozi na kupewa Tabasamu.

Hatutamuacha mpweke Rais wetu, Hatutamuacha ashambuliwe, hatutakubali adhalilishwe au kutupiwa maneno makali, tutawakabili kwa hoja wote walio na maslahi yao binafsi, tutawakemea na kuwakataa kwa nguvu zetu zote,tutaikataa mipango yao ovu, hatutakubali walivuruge Taifa letu, tutaendelea kudumisha amani na utulivu wa Taifa letu kwa kuwa tunatambua kila kitu alichofanya Rais wetu katika uongozi wake kimekuwa ni kwa maslahi mapana ya Taifa letu.

Rais wetu aliye mwingi wa Huruma ndani ya moyo wake wakati wote amejitoa na kujitolea muda wake wote kututumikia watanzania, amekosa muda wa kupumzika na familia yake na kuupumzisha mwili wake kama mwanadamu ili kuhakikisha kuwa madawa, vifaa tiba na wataalamu wa afya wanakuwepo mahospitalini, ili kuhakikisha kuwa mashuleni wanafunzi wote wanakaa katika madawati na wanasomea katika vyumba vilivyokidhi vigezo, ili kuhakikisha kuwa wanafunzi wote wanaomaliza kidato cha sita na wenye sifa wanapatiwa mikopo ya elimu ya juu, ili kuhakikisha kuwa wakulima wanapata mbolea za ruzuku ,ili kuhakikisha kuwa wawekezaji wanamiminika nchini.

Amekuwa anahangaika sana huku na kule na kwa nguvu zake zote kwa jasho na machozi ,kwa uchovu na maumivu ya mwili kutuhangaikia watanzania ili kuhakikisha kuwa watanzania tunapata milo mitatu kwa siku kwa kuhakikisha kuwa sera zinazopitishwa ni zile za kumuinua mtanzania wa kipato cha chini ni zile za kuleta ahueni katika maisha ya wengi ni zile zenye kuleta matumaini ni zile zenye kutoa fursa za ajira kwa maelfu na mamilioni ya vijana na ni zile zenye kupunguza utegemezi wa kipato na kuwaondoa watanzania katika umaskini.

Hii ndio sababu inayotufanya watanzania tusimame na kumtetea Rais wetu, hii ndio inayotufanya tusikubali kugawanywa na mtu yeyote yule bila kujali umri wake, hii ndio inayotufanya watanzania tusikubali maagizo ya wasaka tonge na wenye uchu wa madaraka na dhamira mbaya kwa Taifa letu.

Tunaendelea kumbeba Rais samia katika mioyo yetu, tunaendelea kuwa ngao yake kimaombi, tunaendelea kumuunga mkono na kuwa upande wake, katu na kamwe hatutamtupa mkono maana tunajuwa ndio kiu ya wachache wenye nia ovu, hatutawapa nafasi wala nguvu ya kumkwamisha kiutendaji Rais wetu, hatutakubali Rais wetu avurugwe machoni petu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
 
Ndugu zangu watanzania,

Kwa wingi wetu ,kwa maelfu na mamilioni tunaendelea kusimama na Rais samia, tunaendelea kumtetea,kumsemea na kuwa upande wake ambao ndio upande wa nchi na Taifa letu,.kwa kuwa tumeona juhudi na dhamira njema ya Rais samia katika kututumikia watanzania,tumeona kazi kubwa aliyoifanya ndani ya muda mfupi wa uongozi wake iliyogusia maisha yetu,tumeona uchapa kazi wake ulioleta matokeo chanya katika kila eneo,tumeona uzalendo wake katika kulipigania Taifa letu,tumeona namna ambavyo kupitia yeye maisha ya mamilioni ya Watanzania yakijawa na matumaini.

Hatutamuacha mpweke Rais wetu,Hatutamuacha ashambuliwe, hatutakubali adhalilishwe au kutupiwa maneno makali,tutawakabili kwa hoja wote walio na maslahi yao binafsi,tutawakemea na kuwakataa kwa nguvu zetu zote,tutaikataa mipango yao ovu, hatutakubali wakivuruge Taifa letu, tutaendelea kudumisha amani na utulivu wa Taifa letu.kwa kuwa tunatambua kila kitu alichofanya Rais wetu katika uongozi wake kimekuwa ni kwa maslahi mapana ya Taifa letu.

Rais wetu aliye mwingi wa Huruma ndani ya moyo wake wakati wote amejitoa na kujitolea muda wake wote kututumikia watanzania,amekosa muda wa kupumzika na familia yake na kuupumzisha mwili wake kama mwanadamu ili kuhakikisha kuwa madawa,vifaa tiba na wataalamu wa afya wanakuwepo mahospitali ni, ili kuhakikisha kuwa mashuleni wanafunzi wote wanakaa katika madawati na wanasomea katika vyumba vilivyokidhi vigezo,ili kuhakikisha kuwa wanafunzi wote wanaomaliza kidato cha sita na wenye sifa wanapatiwa mikopo ya elimu ya juu,ili kuhakikisha kuwa wakulima wanapata mbolea za ruzuku ,ili kuhakikisha kuwa wawekezaji wanamiminika nchini.

Amekuwa anahangaika sana huku na kule na kwa nguvu zake zote kwa jasho na machozi ,kwa uchovu na maumivu ya mwili kutuhangaikia watanzania ili kuhakikisha kuwa watanzania tunapata milo mitatu kwa siku kwa kuhakikisha kuwa sera zinazopitishwa ni zile za kumuinua mtanzania wa kipato cha chini,ni zile za kuleta ahueni katika maisha ya wengi ,ni zile zenye kuleta matumaini,ni zile zenye kutoa fursa za ajira kwa maelfu na mamilioni ya vijana na ni zile zenye kupunguza utegemezi wa kipato na kuwaondoa watanzania katika umaskini.

Hii ndio sababu inayotufanya watanzania tusimame na kumtetea Rais wetu,hii ndio inayotufanya tusikubali kugawanywa na mtu yeyote yule bila kujali umri wake,hii ndio inayotufanya watanzania tusikubali maagizo ya wasaka tonge na wenye uchu wa madaraka na dhamira mbaya kwa Taifa letu.Tunaendelea kumbeba Rais samia katika mioyo yetu, tunaendelea kuwa ngao yake kimaombi, tunaendelea kumuunga mkono na kuwa upande wake,katu na kamwe hatutamtupa mkono maana tunajuwa ndio kiu ya wachache wenye nia ovu,hatutawapa nafasi wala nguvu ya kumkwamisha kiutendaji Rais wetu,hatutakubali Rais wetu avurugwe machoni petu.

Ujinga Promax
 
Zamani ulikua huweki namba ya simu sikuhz naona hufanyi kosa la kusahau kuweka namba ya simu😀😀.
Alafu kila post lazima ujibu😀😀
 
Kwani nani yupo kinyume nae? Hata wewe na mkeo hamkubaliani kila kitu! Aliungwa mkono vizuri mwanzoni lakini kwa DP World ameyakanyaga!

Mkataba huo haufai na kupambana na wanaopinga ndio anaharibu zaidi. Afute mkataba tuanze upya.
Hakuna kitu kitakachofanyika pasipo kuzingatia maslahi mapana ya Taifa letu.itakapo fika katika kuanza majadiliano ya kimkataba tutakwenda kujadili na kuweka yote yenye maslahi kwetu,tukumbuke kuwa hatua hii itaongeza ufanisi wa bandari yetu,itaongeza mapato kutoka Trioni 7 mpaka Trioni 26 hadi 27 .na kuchangia katika bajeti yetu kutoka 37% hadi 67%.
 
Hilo bibi jinga kabisa.
Huna adabu wewe uliyekosa malezi mazuri ya wazazi wako. Kama huna heshima kwa mama yako basi Tambua huyu ni Rais wa nchi ,mkuu wa serikali na Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama.Rais ni Taasisi pia inayolindwa kwa nguvu na wivu mkubwa sana kwa kuwa ni Nembo yetu ya Taifa
 
Sijasoma mada ila najua umeandika upumbavu
Kwa akili ya aina yako huna mchango wowote kwa Taifa letu maana wewe ni Rahisi sana kuswagwa kama ng'ombe anayepelekwa mnadani,maana wewe kazi yako ni kusubiri kukaririshwa maneno na kuimba kama kasuku tu.
 
Huna adabu wewe uliyekosa malezi mazuri ya wazazi wako. Kama huna heshima kwa mama yako basi Tambua huyu ni Rais wa nchi ,mkuu wa serikali na Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama.Rais ni Taasisi pia inayolindwa kwa nguvu na wivu mkubwa sana kwa kuwa ni Nembo yetu ya Taifa
Umesahau kuweka namba ya simu
 
Huna adabu wewe uliyekosa malezi mazuri ya wazazi wako. Kama huna heshima kwa mama yako basi Tambua huyu ni Rais wa nchi ,mkuu wa serikali na Amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama.Rais ni Taasisi pia inayolindwa kwa nguvu na wivu mkubwa sana kwa kuwa ni Nembo yetu ya Taifa
Lese majeste

Mnamuona Rais kama Mungu wakati ni muajiriwa wenu.

Hilo bibi ni jinga na haliwezi uongozi.
 
Empty headed gu
JamiiForums915735144.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu zangu watanzania,

Kwa wingi wetu ,kwa maelfu na mamilioni tunaendelea kusimama na Rais samia, tunaendelea kumtetea,kumsemea na kuwa upande wake ambao ndio upande wa nchi na Taifa letu,.kwa kuwa tumeona juhudi na dhamira njema ya Rais samia katika kututumikia watanzania,tumeona kazi kubwa aliyoifanya ndani ya muda mfupi wa uongozi wake iliyogusa maisha yetu,tumeona uchapa kazi wake ulioleta matokeo chanya katika kila eneo,tumeona uzalendo wake katika kulipigania Taifa letu,tumeona namna ambavyo kupitia yeye maisha ya mamilioni ya Watanzania yakijawa na matumaini na tumeona namna mikono yake ilivyomfikia na kumgusa kila mtu na kumuinua mahali alipo kiuchumi kwa kumshika mkono .na tumeona namna ambavyo watu wamefutwa machozi na kupewa Tabasamu.

Hatutamuacha mpweke Rais wetu,Hatutamuacha ashambuliwe, hatutakubali adhalilishwe au kutupiwa maneno makali,tutawakabili kwa hoja wote walio na maslahi yao binafsi,tutawakemea na kuwakataa kwa nguvu zetu zote,tutaikataa mipango yao ovu, hatutakubali walivuruge Taifa letu, tutaendelea kudumisha amani na utulivu wa Taifa letu.kwa kuwa tunatambua kila kitu alichofanya Rais wetu katika uongozi wake kimekuwa ni kwa maslahi mapana ya Taifa letu.

Rais wetu aliye mwingi wa Huruma ndani ya moyo wake wakati wote amejitoa na kujitolea muda wake wote kututumikia watanzania,amekosa muda wa kupumzika na familia yake na kuupumzisha mwili wake kama mwanadamu ili kuhakikisha kuwa madawa,vifaa tiba na wataalamu wa afya wanakuwepo mahospitalini, ili kuhakikisha kuwa mashuleni wanafunzi wote wanakaa katika madawati na wanasomea katika vyumba vilivyokidhi vigezo,ili kuhakikisha kuwa wanafunzi wote wanaomaliza kidato cha sita na wenye sifa wanapatiwa mikopo ya elimu ya juu,ili kuhakikisha kuwa wakulima wanapata mbolea za ruzuku ,ili kuhakikisha kuwa wawekezaji wanamiminika nchini.

Amekuwa anahangaika sana huku na kule na kwa nguvu zake zote kwa jasho na machozi ,kwa uchovu na maumivu ya mwili kutuhangaikia watanzania ili kuhakikisha kuwa watanzania tunapata milo mitatu kwa siku kwa kuhakikisha kuwa sera zinazopitishwa ni zile za kumuinua mtanzania wa kipato cha chini,ni zile za kuleta ahueni katika maisha ya wengi ,ni zile zenye kuleta matumaini,ni zile zenye kutoa fursa za ajira kwa maelfu na mamilioni ya vijana na ni zile zenye kupunguza utegemezi wa kipato na kuwaondoa watanzania katika umaskini.

Hii ndio sababu inayotufanya watanzania tusimame na kumtetea Rais wetu,hii ndio inayotufanya tusikubali kugawanywa na mtu yeyote yule bila kujali umri wake,hii ndio inayotufanya watanzania tusikubali maagizo ya wasaka tonge na wenye uchu wa madaraka na dhamira mbaya kwa Taifa letu.Tunaendelea kumbeba Rais samia katika mioyo yetu, tunaendelea kuwa ngao yake kimaombi, tunaendelea kumuunga mkono na kuwa upande wake,katu na kamwe hatutamtupa mkono maana tunajuwa ndio kiu ya wachache wenye nia ovu,hatutawapa nafasi wala nguvu ya kumkwamisha kiutendaji Rais wetu,hatutakubali Rais wetu avurugwe machoni petu.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel mwashambwa,kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627.
Unawashwa
 
Kumbe Tanzania kuna mamilioni ya machawa!
 
Ungesahai kuweka namba ya simu ningekuona kishoia. Jitahidi unaweza kumbukwa hata ubalozi wa nyumba kumi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom