CHADEMA iwapumzishe kwa muda Heche na Lema kuhutubia ili kutoendelea kukiharibia chama

Matongee

JF-Expert Member
Jun 17, 2023
253
629
Ninashauri kwa nia njema kabisa kwasababu hawa viongozi wawili wa CHADEMA kwa siku za karibuni wamekuwa wakionge vitu vinavyoleta ukakasi na hasira kwa wapiga kura nchini Tanzania. Hii inafanya safari ya CHADEMA kukamata sola izidi kuwa ngumu.

Leo nimewatazama Lema na Heche wakihutubia huko Temeke na kwa bahati kila mmoja alitoa hoja dhaifu ambazo hata UVCCM wanaweza kuzijibu na kujichukulia point 3 za muhimu. Heche amelalamikia kuwepo kwa uwezekano kwa wabunge kuongezewa 4m kwenye mishahara na posho zao ambazo kwa sasa zinafika 12m. Wakiongezewa itakuwa 16m. Heche anasema mbona wao walikuwa wakipewa 12m. Kimsingi Heche kinachomuuma ni kuwa nje ya bunge na sio kwamba ana huruma na kodi za wananchi. Ingekuwa hivyo angezikataa posho zote alizokuwa anafakamia wakati akiwa mbunge.

Lema kama kawaida nae karopoka kwamba uoga ni dhambi kubwa huku yeye akiwa kakimbilia Canada na familia yake. Asingekuwa mwoga angebaki. Isitishe leo kaja na kauli mpya kwamba anataka shida zizidi kutupata wananchi ili tusapoti agenda zao. Ikumbukwe Lema akisema hayo tayari familia yake inaishi kifalme kupotia kodi za wananchi wa Canada. Huyu mtu ni wa kumpuuza kwasababu huenda kachanganyikiwa.

Itoshe kusema mkutano wa leo ulitakiwa kuwa mkutano wa injili na sio wa siasa kutokana na wasemaji waliopo. CHADEMA kudhani waislamu hawana maana kwenye ardhi ya Tanzania ni kujidanganya. Wanapowakumbatia maaskofu na wachungaji uchwara wajue wanazidi kukibomoa chama chao. Kutaka boost ya viongozi wa dini kwenye siasa ni mwisho wa kufikiri.
 
Acha wivu usiojenga
Heche Lema kanyaga twende
Ukweli unauma
Tanganyika ni swala la muda tutachukua chetu
 
Napendekeza Lema na Heche waendelee hivohivo all day ✔️✔️
 
Tumekusikia Mhe Mbunge Matonge ya Ugali

Vima koya !
 
Kiongozi, mbona kama uliyo yasema ni Yale mepesi mepesi, Unaiogopa CDM ?
 
Yaani wew ni mnduku kweli wakati Waziri Mbarawa wq ccm au ukipenda muite kowadi jizi akiongea na vingozi wa dini unaona ulikuwa mkutano mzuri ila chadema au chama cha siasa kingine kikiongea na viongozi wa dini ni mkutano wa injili narudia wew ni mku...nd..
 
Mtoa mada una pumba kama sio mashudu kabsa.
Si pumba, tena kamsahau Tundu Lissu naye apumzike na apate msaada wa kisaikolojia. Mkasa alioupata ni mkubwa sana, inabidi apate miaka kadhaa ya kupumzika kuongea katika hadhara.
 
Yaani wew ni mnduku kweli wakati Waziri Mbarawa wq ccm au ukipenda muite kowadi jizi akiongea na vingozi wa dini unaona ulikuwa mkutano mzuri ila chadema au chama cha siasa kingine kikiongea na viongozi wa dini ni mkutano wa injili narudia wew ni mku...nd..
Dada Lituye hata wewe unajua ni ngumu mno kumwagia nje kama tayari umeshaingiza ndani. Nisamehe kwa nilichokufanyia. Ila kwanini ulikuwa mbishi kumeza P2? Hizi hasira zako umezileta hadi hapa JF kisa kutomeza P2. Ila usijali nitalea kiumbe changu ukizaa.
 
Ninashauri kwa nia njema kabisa kwasababu hawa viongozi wawili wa CHADEMA kwa siku za karibuni wamekuwa wakionge vitu vinavyoleta ukakasi na hasira kwa wapiga kura nchini Tanzania. Hii inafanya safari ya CHADEMA kukamata sola izidi kuwa ngumu.

Leo nimewatazama Lema na Heche wakihutubia huko Temeke na kwa bahati kila mmoja alitoa hoja dhaifu ambazo hata UVCCM wanaweza kuzijibu na kujichukulia point 3 za muhimu. Heche amelalamikia kuwepo kwa uwezekano kwa wabunge kuongezewa 4m kwenye mishahara na posho zao ambazo kwa sasa zinafika 12m. Wakiongezewa itakuwa 16m. Heche anasema mbona wao walikuwa wakipewa 12m. Kimsingi Heche kinachomuuma ni kuwa nje ya bunge na sio kwamba ana huruma na kodi za wananchi. Ingekuwa hivyo angezikataa posho zote alizokuwa anafakamia wakati akiwa mbunge.

Lema kama kawaida nae karopoka kwamba uoga ni dhambi kubwa huku yeye akiwa kakimbilia Canada na familia yake. Asingekuwa mwoga angebaki. Isitishe leo kaja na kauli mpya kwamba anataka shida zizidi kutupata wananchi ili tusapoti agenda zao. Ikumbukwe Lema akisema hayo tayari familia yake inaishi kifalme kupotia kodi za wananchi wa Canada. Huyu mtu ni wa kumpuuza kwasababu huenda kachanganyikiwa.

Itoshe kusema mkutano wa leo ulitakiwa kuwa mkutano wa injili na sio wa siasa kutokana na wasemaji waliopo. CHADEMA kudhani waislamu hawana maana kwenye ardhi ya Tanzania ni kujidanganya. Wanapowakumbatia maaskofu na wachungaji uchwara wajue wanazidi kukibomoa chama chao. Kutaka boost ya viongozi wa dini kwenye siasa ni mwisho wa kufikiri.
Huna lolote , mnafiki wewe !
 
Back
Top Bottom