Shida ya Mwafrika ni kwamba kwenye vikao vyetu tunajadili akili za wapinzani wetu na siyo kujadili hoja

ZALEMDA

JF-Expert Member
Aug 15, 2017
1,647
1,885
Umaskini wa mwafrika uko kwenye kushindwa kutumia siasa katika kuamua mambo yetu.si kila kitu utatumia siasa.kwa mfano ukitumia siasa hovyo kwa mambo ya afya ujue utaua wengi. Kosa letu zinpokuja hoja, tunaacha kujadili hoja badala yake tunajadili akili za wapinzani wetu. Kwamba yule mpinzani anataka kuniangusha, anataka kujipatia umarufu katika hili.

Hata swala la DP World, tumeacha kujadili hoja, tunajadili akili na mawazo ya wapinzani wetu. Kama hatuwezi kuelewa mambo ya mikataba ya kimataifa ebu tuache mahakama zetu zitusaidie.

Tutofautishe kwamba
1.Governement of Duba siyo nchi kama vile tulivoambiwa Zanzibar siyo nchi linapokuja swala la muungano. Zanzibar haiwezi kuingia mkataba kama nchi kwenye maswala ya muungazo wa Tanzania. HAPA KUNA MASWALA YA KISHERIA LINAPOKUJA MIKATABA YA KIMATAIFA.

Yani tungombane kwa mambo yaliyoyawazi kabisa? ebu turekebishe mkataba hiyo haitakuwa shida kabisa
 
Na shida ya wapinzani ni ipi? Pengine upinzani ndio wana shida.
Ukabila na udini ndio donda ndugu la upinzani.
 
Back
Top Bottom