Mwita Waitara: Atakayemkwamisha Rais Samia ni ama zake ama zetu

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,044
49,728
MBUNGE wa Tarime Vijijini Mwita Waitara, amesema wamejipanga vizuri kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hadi sasa kwa majimbo yote mkoani Mara wamefikia asilimia 98.

Amesema uchaguzi wa mwakani wa serikali za mitaa watashinda kwa kishindo na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka 2025 wamejipanga kufanya vizuri.

“Nawaomba watu wa Mara na Tanzania, Serikali ya Chama Cha Mapinduzi imeweka mipango ya kuona wananchi wanapata mali, barabara, elimu, afya na vijana kupata ajira, hakuna mtu yeyote ambaye anapita katikati kumkwamisha Rais Samia na tukimuona ama zake ama zetu,” amesema Waitara.

Amesema Rais Samia Suluhu Hassan yupo imara wanamuunga mkono na serikali ipo imara.

Chanzo: Habari leo

====

My Take
Mwita Waitara Asema atalala mbele na wote watakaomkwamisha Rais Samia.
Mambo yanazidi kunoga kuelekea 2025.
 
Mambo yanazidi kunoga kuelekea 2025
Chawa wa mama
FljZNajXgAESxVb.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MBUNGE wa Tarime Vijijini Mwita Waitara, amesema wamejipanga vizuri kutekeleza Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hadi sasa kwa majimbo yote mkoani Mara wamefikia asilimia 98.

Amesema uchaguzi wa mwakani wa serikali za mitaa watashinda kwa kishindo na uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka 2025 wamejipanga kufanya vizuri.

“Nawaomba watu wa Mara na Tanzania, Serikali ya Chama Cha Mapinduzi imeweka mipango ya kuona wananchi wanapata mali, barabara, elimu, afya na vijana kupata ajira, hakuna mtu yeyote ambaye anapita katikati kumkwamisha Rais Samia na tukimuona ama zake ama zetu,” amesema Waitara.

Amesema Rais Samia Suluhu Hassan yupo imara wanamuunga mkono na serikali ipo imara.

Chanzo: Habari leo

====

Mwita Waitara Asema atalala mbele na wote watakaomkwamisha Rais Samia.

My Take
Mambo yanazidi kunoga kuelekea 2025.
Huyu anajikomba tu, 2025 jina halirudi. Mwacheni ajifurahishe. Mwanaume mzima analialia tu. Ametoka Mara kweli huyu? "Kure huwa aturii bari tunapambana mpaka mwisho mra"
 
Back
Top Bottom