MKWEAMINAZI
JF-Expert Member
- May 28, 2023
- 930
- 1,299
Kama utaratibu ndio huu wa Mtu anajiamkia alfajiri na kuamua kutangaza kupanda kwa kodi ya majengo bila kushirikisha wadau basi ni hatari.
Je, sababu za msingi za kupandisha hiyo kodi ni nini?
Je, ni huu Ugonjwa wa COVID-19 au?
Vita vya Urusi na Ukraine?
Wananchi tunaombwa tuambiwe.
Je, sababu za msingi za kupandisha hiyo kodi ni nini?
Je, ni huu Ugonjwa wa COVID-19 au?
Vita vya Urusi na Ukraine?
Wananchi tunaombwa tuambiwe.