Hongera DP world kwa kutua Tanzania

Shocker

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
1,946
3,820
Upinzani wacheni kupiga mekelele wala huko mahakamani hakutokusaidieni kitu ,subirini kama mkijaaliwa kushinda 2025,tuone yenu.
Ninachokiona walichonacho hawa vikoti kama askari wa magereza ni kushupalia udini,japo wanajilinda lakini kuna mbegu za udini zinajipandikiza na zimeanza kutoa miche.(Tuwekeeni udini pembeni hao maaskofu waacheni makanisani na misikitini). Kila mtu abebe mzigo wake.

Hakuna Nchi imeendelea kivyakevyake hakuna. Tz inahitaji ushirikiano ,hili la bandari sio ishu kabisa,isipokuwa vilaza wachache wanaofaidika na milango ya uwani ndio wamelivalia njuga ,kuudanganya umma wa waTanzania.

Ukweli hawana hoja zaidi ya hivyo vijisheria viwili vitatu.

DP world inajipanga kujenga barabara 8 lanes 4 go 4 return kuunganisha mipaka yote inayotegemea bandari za TZ ,hilo sio jambo dogo,barabara za kisasa,mnapoambiwa bandari za kisasa ,mfahamu kila kitu within the port will be automated systematical ,huoni mtu au watu kuluka luka huku na kule ,kila kitu monitored from the screen.

Wapinzani tafuteni jingine la kufanya hili la bandari waachieni CCM wajipapatuwe ,hamliwezi hata mkienda kwa wataalamu aka waganga.

Mnawagandisha waTz kwenye Bandari hivi hili mnaona liawasaidia kwenye uchaguzi 2025 ? Kwa nini hamjikiti kwenye madai ya Tume huru za Uchaguzi,kwa nini hamliamshi la Katiba ?

Mnangoja kesho uchaguzi ndio mnaanza makelele ya tunadaka tume mpya na huru tunataka katiba mpya au hatuingii kwenye uchaguzi ,uongo mtupu , kwani mwisho wa siku mnaingia kwenye uchaguzi.

Au na nyinyi ni watu/vyama vitengo vya serikali iliyopo madarakani ? Mna agenda za siri .
 
Umejitoa akili makusudi, unajidai huoni vile terms za ule mkataba na wale waarabu zilivyo za hovyo kwetu, zilizotugeuza watumwa ndani ya nchi yetu.

Suala hapa sio kupinga uwekezaji, waje kuwekeza lakini lazima pawepo na fairness kwa pande zote.
 
Upinzani wacheni kupiga mekelele wala huko mahakamani hakutokusaidieni kitu ,subirini kama mkijaaliwa kushinda 2025,tuone yenu.
Ninachokiona walichonacho hawa vikoti kama askari wa magereza ni kushupalia udini,japo wanajilinda lakini kuna mbegu za udini zinajipandikiza na zimeanza kutoa miche.(Tuwekeeni udini pembeni hao maaskofu waacheni makanisani na misikitini). Kila mtu abebe mzigo wake.

Hakuna Nchi imeendelea kivyakevyake hakuna. Tz inahitaji ushirikiano ,hili la bandari sio ishu kabisa,isipokuwa vilaza wachache wanaofaidika na milango ya uwani ndio wamelivalia njuga ,kuudanganya umma wa waTanzania.

Ukweli hawana hoja zaidi ya hivyo vijisheria viwili vitatu.

DP world inajipanga kujenga barabara 8 lanes 4 go 4 return kuunganisha mipaka yote inayotegemea bandari za TZ ,hilo sio jambo dogo,barabara za kisasa,mnapoambiwa bandari za kisasa ,mfahamu kila kitu within the port will be automated systematical ,huoni mtu au watu kuluka luka huku na kule ,kila kitu monitored from the screen.

Wapinzani tafuteni jingine la kufanya hili la bandari waachieni CCM wajipapatuwe ,hamliwezi hata mkienda kwa wataalamu aka waganga.

Mnawagandisha waTz kwenye Bandari hivi hili mnaona liawasaidia kwenye uchaguzi 2025 ? Kwa nini hamjikiti kwenye madai ya Tume huru za Uchaguzi,kwa nini hamliamshi la Katiba ?

Mnangoja kesho uchaguzi ndio mnaanza makelele ya tunadaka tume mpya na huru tunataka katiba mpya au hatuingii kwenye uchaguzi ,uongo mtupu , kwani mwisho wa siku mnaingia kwenye uchaguzi.

Au na nyinyi ni watu/vyama vitengo vya serikali iliyopo madarakani ? Mna agenda za siri .
Una akili ndogo. Uzuri unajijua na maziro Zito yako ya secondary na primary hata chuo Sidhani Kama umefika. Labda hatua za Bata certificate tena diploma tena degrees. Hakia Mungu naapa huvuki hapo. Nakupa number yangu njoo na vyeti vyako nakupa million Moja Sasa hivi. Nipo kariakoo Mimi ni branch manager wa bank. Nakupa hata Gari.
 
Congratulations to DPW.
most welcome to Tanzania, karibu sana Tanzania feel at home.
Una akili ndogo. Uzuri unajijua na maziro Zito yako ya secondary na primary hata chuo Sidhani Kama umefika. Labda hatua za Bata certificate tena diploma tena degrees. Hakia Mungu naapa huvuki hapo. Nakupa number yangu njoo na vyeti vyako nakupa million Moja Sasa hivi. Nipo kariakoo Mimi ni branch manager wa bank. Nakupa hata Gari.
 
DP world inajipanga kujenga barabara 8 lanes 4 go 4 return kuunganisha mipaka yote inayotegemea bandari za TZ ,hilo sio jambo dogo,barabara za kisasa,mnapoambiwa bandari za kisasa ,mfahamu kila kitu within the port will be automated systematical ,huoni mtu au watu kuluka luka huku na kule ,kila kitu monitored from the screen.

Onyesha sehemu gani kwenye mkataba hao DPW watajenga.
 
Umeongea utoto gani hapa?
 
Wewe ni fala wa mwisho duniani. Huna hoja zaidi ya hiko kimgao ka bundle na buku 10 uliyopewa kuisifia DPW bila kujielewa. Unatuletea habari za barabara 8 na hakuna kipengere kama hicho kwenye mkataba? Kwanza ni ajabu wakati tunayo Kimara to Chalinze.? Ndiomana nakwita wewe ni fala
 
Upinzani wacheni kupiga mekelele wala huko mahakamani hakutokusaidieni kitu ,subirini kama mkijaaliwa kushinda 2025,tuone yenu.
Ninachokiona walichonacho hawa vikoti kama askari wa magereza ni kushupalia udini,japo wanajilinda lakini kuna mbegu za udini zinajipandikiza na zimeanza kutoa miche.(Tuwekeeni udini pembeni hao maaskofu waacheni makanisani na misikitini). Kila mtu abebe mzigo wake.

Hakuna Nchi imeendelea kivyakevyake hakuna. Tz inahitaji ushirikiano ,hili la bandari sio ishu kabisa,isipokuwa vilaza wachache wanaofaidika na milango ya uwani ndio wamelivalia njuga ,kuudanganya umma wa waTanzania.

Ukweli hawana hoja zaidi ya hivyo vijisheria viwili vitatu.

DP world inajipanga kujenga barabara 8 lanes 4 go 4 return kuunganisha mipaka yote inayotegemea bandari za TZ ,hilo sio jambo dogo,barabara za kisasa,mnapoambiwa bandari za kisasa ,mfahamu kila kitu within the port will be automated systematical ,huoni mtu au watu kuluka luka huku na kule ,kila kitu monitored from the screen.

Wapinzani tafuteni jingine la kufanya hili la bandari waachieni CCM wajipapatuwe ,hamliwezi hata mkienda kwa wataalamu aka waganga.

Mnawagandisha waTz kwenye Bandari hivi hili mnaona liawasaidia kwenye uchaguzi 2025 ? Kwa nini hamjikiti kwenye madai ya Tume huru za Uchaguzi,kwa nini hamliamshi la Katiba ?

Mnangoja kesho uchaguzi ndio mnaanza makelele ya tunadaka tume mpya na huru tunataka katiba mpya au hatuingii kwenye uchaguzi ,uongo mtupu , kwani mwisho wa siku mnaingia kwenye uchaguzi.

Au na nyinyi ni watu/vyama vitengo vya serikali iliyopo madarakani ? Mna agenda za siri .
Acha DP WORLD ije kupuga kazi mkuu ili bandari yetu ipate kuboreshwa.
 
Una akili ndogo. Uzuri unajijua na maziro Zito yako ya secondary na primary hata chuo Sidhani Kama umefika. Labda hatua za Bata certificate tena diploma tena degrees. Hakia Mungu naapa huvuki hapo. Nakupa number yangu njoo na vyeti vyako nakupa million Moja Sasa hivi. Nipo kariakoo Mimi ni branch manager wa bank. Nakupa hata Gari.
acha kulia, fahamu kuwa kila jambo lina mwisho wake.
mwisho wa kuiba Bandarini umekwisha, wewe ni miongoni mwa wanufaika wa chochoro za bandari, pole sana, DPW ndio hiyo imeingia sasa kusafisha magumashi, wizi, rushwa na udanganyifu.
 
Upinzani wacheni kupiga mekelele wala huko mahakamani hakutokusaidieni kitu ,subirini kama mkijaaliwa kushinda 2025,tuone yenu.
Ninachokiona walichonacho hawa vikoti kama askari wa magereza ni kushupalia udini,japo wanajilinda lakini kuna mbegu za udini zinajipandikiza na zimeanza kutoa miche.(Tuwekeeni udini pembeni hao maaskofu waacheni makanisani na misikitini). Kila mtu abebe mzigo wake.

Hakuna Nchi imeendelea kivyakevyake hakuna. Tz inahitaji ushirikiano ,hili la bandari sio ishu kabisa,isipokuwa vilaza wachache wanaofaidika na milango ya uwani ndio wamelivalia njuga ,kuudanganya umma wa waTanzania.

Ukweli hawana hoja zaidi ya hivyo vijisheria viwili vitatu.

DP world inajipanga kujenga barabara 8 lanes 4 go 4 return kuunganisha mipaka yote inayotegemea bandari za TZ ,hilo sio jambo dogo,barabara za kisasa,mnapoambiwa bandari za kisasa ,mfahamu kila kitu within the port will be automated systematical ,huoni mtu au watu kuluka luka huku na kule ,kila kitu monitored from the screen.

Wapinzani tafuteni jingine la kufanya hili la bandari waachieni CCM wajipapatuwe ,hamliwezi hata mkienda kwa wataalamu aka waganga.

Mnawagandisha waTz kwenye Bandari hivi hili mnaona liawasaidia kwenye uchaguzi 2025 ? Kwa nini hamjikiti kwenye madai ya Tume huru za Uchaguzi,kwa nini hamliamshi la Katiba ?

Mnangoja kesho uchaguzi ndio mnaanza makelele ya tunadaka tume mpya na huru tunataka katiba mpya au hatuingii kwenye uchaguzi ,uongo mtupu , kwani mwisho wa siku mnaingia kwenye uchaguzi.

Au na nyinyi ni watu/vyama vitengo vya serikali iliyopo madarakani ? Mna agenda za siri .
Wote wanaopinga ni watu wa upinzani?.
Sio kweli. Kuna wengine ni wanaCCM kabisa.
 
Wanayoipinga DP World kuendesha bandari ni "mapapai" kwa Mujibu wa sheokh Rusanganya:

Back
Top Bottom