Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Sasa tuseme yatosha. Watetezi wa rasilimali zetu wanabambikiwa kesi za uhaini, ili kuhalalisha mauzo haramu ya nchi yetu kwa Mabedui. Wananchi hùuu ndio wakati muafaka wa kulitetea taifa letu...
15 Reactions
40 Replies
3K Views
Kuna baadhi ya mambo ukiyaangalia juujuu bila kufungua mlango wa sita wa fahamu kuyafahamu zaidi, unaweza kuhisi ndivyo yalivyo. Moja ya mambo hayo ni siasa zetu huku mitandaoni na mitaani. Kwa...
4 Reactions
17 Replies
1K Views
Balozi Dkt. Willibrod Slaa anazungumza na Wanahabari katika Hoteli ya Regency Jijini Dar es Salaam, leo Juni 13 2023 kuhusu hati ya makubaliano yaliyoingiwa kati ya Tanzania na DP World. Soma...
101 Reactions
504 Replies
48K Views
Jana wamekamatwa Mdude Nyagali na Mwabukusi. Leo kuna tetesi kukamatwa kwa Dr. Slaa tena akiwa nyumbani kwake. Naanza kupata wasiwasi wakosoaji wengi wa suala la bandari watawekwa kolokoloni. Je...
6 Reactions
162 Replies
12K Views
Baada ya kuishiwa mbinu, ikabidi kikao cha dharura kiitishwe nani ata play part hiyi nafasi hatimaye wakazama front page, wasomi nguli tuliliona hilo kabla na tokea anatangazwa kurejea nchi ya...
8 Reactions
39 Replies
4K Views
Sijajua nini shida mpaka CCM wameshindwa kutoa elimu na kuwahakikishia wananchi kama kama kweli mkataba sio mbovu. Lakini Chadema kupitia Tundu Lissu walikuwa wanafafanua ibara mbovu zisizofaa...
10 Reactions
79 Replies
4K Views
Kilichonishangaza kwenye tafsiri ya Neno Uhaini lililochukuliwa kwenye lugha ya kiarabu inasema mfano mzuri wa Mhaini ni Yuda Iskarioti aliyemsaliti Yesu Kifungu 39 (1) cha Kanuni za adhabu...
3 Reactions
32 Replies
2K Views
Ni Wakili Mwandamizi pale Tanganyika Law Society (TLS). Ni Wakili mbobevu lakini kwa ndani ni 'mwonevu'. Kutokana na ukongwe na ubobevu wake, TLS na hata 'wanaharakati' huwa hawamkosi kwenye...
1 Reactions
0 Replies
801 Views
Kifungu cha 11 cha National wealth and reources (permanent sovreignty) kinazua makampuni yatayoingia mkataba na nchi yetu kutumia rasilimali kufungua kesi nje ya nchi kwenye mahakama za kitaifa...
0 Reactions
6 Replies
631 Views
Tulishuhudia mgomo wa daladala za kutoka Morombo kwenda mjini Arusha, wakaahidiwa kulishughulikia. Wakiwa ktk mchakato wa kulishughulikia bajaji wakaandamana, serikali ikawagwaya, imewaogopa maana...
2 Reactions
3 Replies
996 Views
MWENYEKITI UWT TAIFA NDUGU CHATANDA AFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA KIKUNDI CHA WANAWAKE WANAOFUGA NG'OMBE WILAYANI MKALAMA Mwenyekiti wa UWT Taifa ndugu Mary Pius Chatanda amefurahishwa na...
0 Reactions
1 Replies
621 Views
CCM wanchokifanya najua hata wao kuna muda wanajistukia sasa upandacho ndicho utakachovuna. Watanzania wa sasa siyo wa mwaka 70. Siasa za CCM ni za kishamba sana. Kwa kuwa watanganyika washajua...
3 Reactions
3 Replies
547 Views
Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa anazungumza na waandishi wa habari Muda huu kuhusu sakata la Bandari na uwekezaji wa DP World. === Kuna watu wanatumika kwa maslahi yao binafsi kumuondoa kwenye...
17 Reactions
175 Replies
19K Views
Hii kamata kamata ya mama Samia dhidi ya wanahoji na kupinga mkataba mbovu baina ya Tanzania na DP World inaonesha ni mkakati B wa kuzima hoja hiyo. Wasomi binafsi wa Cuba tulielewa sana matukio...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Ni dhahri serikali ya sasa na hasa wizara yake ya fedha haijihangaishi kutoka kwenye comfort zone. Ndio maana badala ya kupambana na kukusanya Kodi inataka tozo na Kodi rahsi kutokea miamara ya...
18 Reactions
120 Replies
5K Views
Mwalimu Nyerere alipigania Uhuru aikomboe Tanganyika iwe nchi huru kiuchumi, kisiasa, kijamii na kifikra. Wananchi wawe huru kutoa mawazo. Wananchi wawe huru kuikosoa serikali na kuwa wazalendo...
10 Reactions
14 Replies
1K Views
Tamko la Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu uwekezaji katika Rasilimali Watu uliofanyika Jijini Dar es Salaam, Julai 2023, litakuwa sehemu ya utekelezaji wa kaulimbiu ya Mkutano wa 43 wa...
0 Reactions
0 Replies
498 Views
Habari wana jf Ndio hivyo. Huwa naona Landcruiser moja (v8 bila shaka) inapita sehemu na inaingia mjengo fulani hivi. Sasa juzi hapa katika stori za mtaani ndio nikathibitishiwa anaishi mbunge wa...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wakurugenzi wa makampuni binafsi nchini kuzingatia afya za wafanyakazi mahala pakazi akidai kufanya hivyo ni kulinda haki za binadamu. "Kwa kuwa nyinyi...
1 Reactions
0 Replies
508 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…