Kamata Kamata ya Wakosoaji wa Suala la Bandari: Nani anafuata kukamatwa?

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,033
Jana wamekamatwa Mdude Nyagali na Mwabukusi.

Leo kuna tetesi kukamatwa kwa Dr. Slaa tena akiwa nyumbani kwake.

Naanza kupata wasiwasi wakosoaji wengi wa suala la bandari watawekwa kolokoloni. Je nani anafuata kukamatwa?

Lakini pia hili sio la kwanza kufanyika hata Hayati Magufuli alifanya ubaya wake mwishoni tunajua karma ilivyochukua nafasi.
 
Saa100 anajenga au anabomoa??
 
Attachments

  • 222374B9-4623-429D-B1BE-2F802289709B.jpeg
    222374B9-4623-429D-B1BE-2F802289709B.jpeg
    67.1 KB · Views: 1
  • IMG_1855.MP4
    1 MB
Katiba Kwa Sasa ni muhimu! Hata Hilo li mwenge linatufanya tuwe kama kondoo ujue!!!! Tulikatae haiwezekani watu wachache walazimishe kufanya jambo lililokataliwa na wenye nchi halafu watu hatuchukui hatua za kikatiba kukataa huu unyanyasaji.
 
Jana wamekamatwa Mdude Nyagali na Mwabukusi.

Leo kuna tetesi kukamatwa kwa Dr. Slaa tena akiwa nyumbani kwake.

Naanza kupata wasiwasi wakosoaji wengi wa suala la bandari watawekwa kolokoloni. Je nani anafuata kukamatwa?

Lakini pia hili sio la kwanza kufanyika hata Hayati Magufuli alifanya ubaya wake mwishoni tunajua karma ilivyochukua nafasi.
Kwani wasiojulikana wamerudi🤔🤔
 
Habari tulizozipata ni kwamba makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu atakamatwa na watu wa usalama,muda wowote kuanzia sasa.

Tayari Mdude nyangali , Mwambukusi na Dr Slaa washakatwa.

CCM wameridhia Lissu, Mdude, Mwambukusi,na Dr Slaa wapewe kesi za Uhaini.

Updates tutakuletea punde

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
 
Kumsingizia mtu kesi huwa haimalizi tatizo, hapo tatizo nikulisogeza mbele tu.
 
Habari tulizozipata ni kwamba makamu mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu atakamatwa na watu wa usalama,muda wowote kuanzia sasa.

Tayari Mdude nyangali , Mwambukusi na Dr Slaa washakatwa.

CCM wameridhia Lissu, Mdude, Mwambukusi,na Dr Slaa wapewe kesi za Uhaini.

Updates tutakuletea punde

Sent from my Infinix X6516 using JamiiForums mobile app
CCM wameridhia Lissu, Mdude, Mwambukusi,na Dr Slaa wapewe kesi za Uhaini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom