Ukweli kuhusu sakata la Bandari na mkataba mbovu; Wananchi wamewaelewa CHADEMA kuliko CCM. Kila kona wananchi wanasema Mama anauza Tanganyika

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Sijajua nini shida mpaka CCM wameshindwa kutoa elimu na kuwahakikishia wananchi kama kama kweli mkataba sio mbovu.

Lakini Chadema kupitia Tundu Lissu walikuwa wanafafanua ibara mbovu zisizofaa

Majaji watatu huko Mbeya High court wamekiri kuwa mkataba ni mbovu kwa baadhi ya vipengele ila vinarekebishika

Kila kona , Mama anauza Tanganyika
 
Sijajua nini shida mpaka CCM wameshindwa kutoa elimu na kuwahakikishia kama kama kweli mkataba sio mbovu.

Kosa la Tanzania na watanzania ni kudhani wanajua chochote kumbe watupu kabisa vichwani yaani madebe matupu yasiyoacha kupiga makelele muda wote.

Mkataba wa DP World ni wa kimataifa umeingia bungeni kwa vigezo vya Vienna ambavyo ni vya kimataifa huwezi kutafuta tafsiri yake ya kisheria ndani ya mahakama zetu za ndani.

Wanasheria wetu wazalendo wamepoteza muda mwingi kule Mbeya wakishindwa kutofautisha mipaka ya mahakama zetu kwenye suala zima la kuutafsiri mkataba wa kimataifa. wote huu ni ujuaji wa kipuuzi tu.

Unaposema anauza Tanganyika bila ya kuja na ushahidi wowote wa mauzo hayo, bila kuja na ushahidi wowote wa biashara kwa maana pana zaidi unapoteza muda tu. Na ukipewa kesi ya uchochezi au uhaini usije kuzilaumu mamlaka.
 
Unajidanganya tu.Umepita kona gani?.Hivyo vipengele walivyoviona majaji vitarekebishwa lakini sio mawazo yenu nyinyij tuwaache Ruwanda wawe bandari bila bahari na sisi tubaki na bandari iwe ya wavuvi wa dagaa.
Magufuli kila alivyofanya alishindwa na bandari.Na hata mama ni hayo hayo kila siku anatuma watu wake hali inazidi kuwa mbaya.
Akili gani hiyo tuache kuifanya bandari iwe na huduma za kisasa badala yake tutoe nafasi kwa Kenya na Rwanda kutuzunguka kwa ujinga wenu.
 
Kosa la Tanzania na watanzania ni kudhani wanajua chochote kumbe watupu kabisa vichwani yaani madebe matupu yasiyoacha kupiga makelele muda wote.

Mkataba wa DP World ni wa kimataifa umeingia bungeni kwa vigezo vya Vienna ambavyo ni vya kimataifa huwezi kutafuta tafsiri yake ya kisheria ndani ya mahakama zetu za ndani.

Wanasheria wetu wazalendo wamepoteza muda mwingi kule Mbeya wakishindwa kutofautisha mipaka ya mahakama zetu kwenye suala zima la kuutafsiri mkataba wa kimataifa. wote huu ni ujuaji wa kipuuzi tu.

Unaposema anauza Tanganyika bila ya kuja na ushahidi wowote wa mauzo hayo, bila kuja na ushahidi wowote wa biashara kwa maana pana zaidi unapoteza muda tu. Na ukipewa kesi ya uchochezi au uhaini usije kuzilaumu mamlaka.
Ulimaliza la saba?
 
Swali la kijinga kabisa hilo! Ni kama Mkuu wa propaganda wa CCM Sophia Mjema aliyeuliza eti bandari kama imeuzwa itawekwa mfuko wa aina gani?
Msidhanie wananchi ni mbumbumbu kama zamani, shule hizi za kata zimezalisha wengi tuu mitaani ambao wana uwezo wa kuhoji na kudadisi.
Kama swali la kijinga kwa nini mnasema imeuzwa? Thibitisheni huo uuzwaji
 
Kosa la Tanzania na watanzania ni kudhani wanajua chochote kumbe watupu kabisa vichwani yaani madebe matupu yasiyoacha kupiga makelele muda wote.

Mkataba wa DP World ni wa kimataifa umeingia bungeni kwa vigezo vya Vienna ambavyo ni vya kimataifa huwezi kutafuta tafsiri yake ya kisheria ndani ya mahakama zetu za ndani.

Wanasheria wetu wazalendo wamepoteza muda mwingi kule Mbeya wakishindwa kutofautisha mipaka ya mahakama zetu kwenye suala zima la kuutafsiri mkataba wa kimataifa. wote huu ni ujuaji wa kipuuzi tu.

Unaposema anauza Tanganyika bila ya kuja na ushahidi wowote wa mauzo hayo, bila kuja na ushahidi wowote wa biashara kwa maana pana zaidi unapoteza muda tu. Na ukipewa kesi ya uchochezi au uhaini usije kuzilaumu mamlaka.
Kwahiyo huo mkataba umeingia bungeni kwakuwa ni wa kimataifa, ila kwenda kwenye mahakama zetu sio za kimataifa? Uza ubongo huo bro maana unakaa nao kwa hasara.
 
Sijajua nini shida mpaka CCM wameshindwa kutoa elimu na kuwahakikishia kama kama kweli mkataba sio mbovu.

Lakini Chadema kupitia Tundu Lissu walikuwa wanafafanua ibara mbovu zisizofaa

Majaji watatu huko Mbeya High court wamekiri kuwa mkataba ni mbovu kwa baadhi ya vipengele ila vinarekebishika

Kila kona , Mama anauza Tanganyika
Stop that shits,watu walioko busy kwenye mitandao kuhusiana na masuala ya siasa hawafikii asilimia 5 ya watumiaji wa Simu za kuparaza,tu wachache mno!,wengi au 95%of users wako na mambo mengine kabisa!,kama insta,udaku,umbea and likes! Hapa pana 60%.
 
Stop that shits,watu walioko busy kwenye mitandao kuhusiana na masuala ya siasa hawafikii asilimia 5 ya watumiaji wa Simu za kuparaza,tu wachache mno!,wengi au 95%of users wako na mambo mengine kabisa!
Kwahiyo kwakuwa hakuna watu wengi humu, basi ni kuwa suala hilo halina utata? Wingi wa watu humu mitandaoni ndio kipimo cha watu kujua utata wa huo mkataba?
 
Sijajua nini shida mpaka CCM wameshindwa kutoa elimu na kuwahakikishia kama kama kweli mkataba sio mbovu.

Lakini Chadema kupitia Tundu Lissu walikuwa wanafafanua ibara mbovu zisizofaa

Majaji watatu huko Mbeya High court wamekiri kuwa mkataba ni mbovu kwa baadhi ya vipengele ila vinarekebishika

Kila kona , Mama anauza Tanganyika
Sahivi hakuna mtu anamtaka tena zaidi ya wapambe wake wachache
 
Back
Top Bottom