Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mjumbe wa kamati Kuu ya Chadema mh Joseph Mbilinyi amesema ukiisoma kwa Makini hukumu ya Bandari iliyotolewa jana utagundua tatizo Kuu ni Ukosesefu wa Uzalendo wa Wabunge ambao kimsingi wote...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini mh Godbless Lema anesema alifukuzwa bungeni kwa mwaka mzima kwa Sababu ya kutetea Haki na maslahi ya Alhaj Prof Assad Lema kupitia ukurasa wake wa twitter...
4 Reactions
80 Replies
7K Views
Itachujua miaka mingi saba Upinzania kuelewa kwamba Watanzania sio watu wa kuwapigania ni bora kupigania hata wale Faru wa kule Serengeti au Tembo ila sio Wabongo. Moja ya advantage iliopo kwenye...
11 Reactions
65 Replies
4K Views
Suala la uwekezaji wa bandari limeenda kinyume na matarajio ya wengi walioamini kupitia suala hili watapata uungwaji mkono na vyama vyao vitazidi kukubalika Zaidi lakini imekuwa ni tofauti, na...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Mbunge wa Jimbo la Nkenge, tarehe 09 Agosti, 2023 ameendelea na ziara yake ya Jimbo katika Kata ya Kassambya iliyopo Wilayani Missenyi, Kagera. Katika ziara yake amehudhuria Kikao cha ndani CCM...
0 Reactions
0 Replies
415 Views
Anayemlipa mpiga zumari ndiye anayechagua wimbo wengine wanabaki kuwa wanenguaji tu kwenye burudani Bajeti ya Bunge iko ofisi ya Waziri mkuu kama unabisha angalia nani huwa anapanga tarehe za...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wadau naomba msaada kwenye hii picha hapa. Mbona simuoni Bibi & Bwana? Pia soma > UTATA: Ni muda gani na wapi Rais anatumia Nembo ya Taifa, au Nembo ya Rais, kwenye mimbari?
6 Reactions
71 Replies
11K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, ile Kampeni Kabambe ya kuelimisha Wananchi kuhusiana na Umuhimu wa Katiba Mpya, na kuwaamsha wananchi juu ya jukumu la kulinda maliasili za Taifa, zikiwemo...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Na Chadema Media FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameichambua hali mbaya ya umaskini unaowasibu takribani watu laki 4 wa visiwa 38 vya wilaya ya...
2 Reactions
2 Replies
971 Views
1.mna umoja na mshikamano bila kujali makabila na dini,hakuna anayeweza kuja kukupiga kwa sababu tu mmetofautiana dini au kabila 2.ardhi kubwa mnayo tena nzuri ni wewe tu kuchagua sehemu unayotaka...
1 Reactions
3 Replies
839 Views
BOT wameagiza leo Bank zibaki kuwa wazi hadi Saa 2 usiku ili Serikali ikusanye Kodi.. Kwa hatua hii naamini Hatimaye Magufuli Ameelewa kuwa Corona si kitu rahisi kama Polepole kuzurura na Mkoba...
24 Reactions
243 Replies
31K Views
Katika mikutano ya CHADEMA inayoendelea, kumekuwa na kauli nyingi sana za kumshambulia Hayati Magufuli. Kwa maoni yangu nadhani kutumia muda mwingi kumshambulia mtu asiyekuwepo ni sawa kabisa na...
1 Reactions
5 Replies
878 Views
Wakuu salam kwenu! Tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amechaguliwa kuwa Rais na Kuunad Serikali yake ya awamu hii ya tano mengi yametokea na mengi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Makamu mwenyekiti wa Chadema Tundu Antipas Lissu amesema mkataba wa kuwakabidhi bandari baina ya Tanzania na Dubai ni swala nyeti (very seriously) ndiyo maana limepelekwa bungeni. Akiongea club...
22 Reactions
193 Replies
21K Views
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Tundu Lissu amesema kuna Watu wanasema pamoja na yote mema aliyotendewa na Serikali amekosa Shukrani Nimetendewa jema gani? Anauliza Lisu Lissu amesema fedha...
22 Reactions
113 Replies
7K Views
Mimi nashindwa kuwaelewa hawa watanzania wenzangu waishio ughaibuni. Hawa wako kwenye mafungu. Watoto wa waliokua mabalozi wa Tz nchi za nje Watoto wa mafisadi. Watoto ambao kwa njia moja au...
1 Reactions
55 Replies
7K Views
- Asema "mitumba ya CCM imeuwa Pamba ya Wasukuma" Na Mwadishi Wetu SERIKALI ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imeuwa viwanda vingi vya nguo na kusababisha Tanzania kuwa "Taifa la Wavaa Mitumba", huku...
16 Reactions
51 Replies
4K Views
Waliofanya mapinduzi huko Afrika ya Magharibi kwa sasa wanaonekana ni mashujaa. Kila kona kwenye mitandao ya kijamii wamapostiwa kuwa ni mashujaa Ni dhahiri sasa waafrika wengi wamechoshwa na...
27 Reactions
68 Replies
6K Views
Watanzania tuna safari ndefu sana kufikia maendeleo ya fikra; majaji waliohusika katika hukumu hii wamefanya mambo mepesi kuwa magumu. Wameandika maamuzi yaliyojaa maneno ya kiingereza magumu bila...
5 Reactions
13 Replies
2K Views
Regarding the contention that Article 4 (2) of the IGA is violative of theAct No. 5 of 2017 and the constitutional provisions on sovereignty, our unflustered view is that the petitioners'...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom