Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nazungumza hili na wao wakakumabna na tunayokumbana nayo sisi, kutokana na maamuzi wanayofanya juu yetu. Kwa sababu, kiuhalisia:- Rais hawezi kuhisi madhara ya kupanda kwa bei ya mafuta wala...
3 Reactions
9 Replies
820 Views
Yapo makundi mawili ndani ya Chadema kundi moja laongozwa na Tundu Lissu na la pili liko chini ya Aikael Mbowe. Ugomvi wa haya makundi mawili ni nani awe mpeperusha bendera ya Urais ujao yaani...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa DAr es Salaam Albert Chalamila amewataka wananchi wawahoji CHADEMA kwamba kama Bandari zimeshauzwa watawasaidiaje kulisha familia zao ilhali Bandari ndio ilikuwa tegemeo lao? Maana...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu, Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana Utamaduni na Michezo Fatma Hamad Rajab pamoja na ujumbe wa Tanzania wamekutana na timu ya...
3 Reactions
3 Replies
871 Views
Na Mwandishi Wetu Pretoria, Afrika Kusini Balozi wa Tanzania nchini Afrika Kusini, Meja Jenerali Gaudence Milanzi amesema uhusiano wa Tanzania na Afrika Kusini uko imara na unaendelea kukua siku...
0 Reactions
4 Replies
581 Views
EWURA- Energy and Water Utilities Regulatory Authority na kwa kiswahili ni Mamlaka ya uthibiti ya Nishati na Maji kila malipo ya huduma hizo kutoka kwa watumiaji wote inakusanya 1% kama tozo. Hizi...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Habarini Watanzania, Kama umeitembelea Arusha siku za karibuni utagundua kuwa baadhi ya wananchi hasa wilaya ya Arumeru wanatumia jina la nchi kama Tanganyika na sio Tanzania. Kinachoshangaza...
52 Reactions
134 Replies
10K Views
Kwa mujibu wa taarifa ya Tamisemi 2014 Tanzania bara ina jumla ya mitaa 3, 741 Vijiji 12, 423 Vitongoji 64, 616 ukijumlisha vyote unapata jumla 80, 780 idadi hii nisawa na wenyeviti wa mitaa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Hali inazidi kuwa Tete,tunarudi Kwa mwaka Jana ====== MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha Petroli imepanda kwa sh. 443 huku...
8 Reactions
177 Replies
16K Views
Friends and Our Enemies, This is the last kick of the dying horse, Chadema, wanaharakati uchwara, wafia dini na wapinga maendeleo ya nchi wamefikia hatua ya mwisho sasa. Wameona kuwa hila zao...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
CCM kwa sasa ina chaguzi mbili tu, kumtosa Rais Samia na wenzie waliotufikisha hapa ianze upya au kuikosa Ikulu 2025 Nchi imechafuka, wananchi wamekasirika kwa kuwa wameujua ukweli kwamba CCM na...
17 Reactions
87 Replies
6K Views
Katika ukurasa wake wa Twitter Ibrahim Babangida kaweka wazi hadharani sifa za serikali ya kiraia kupinduliwa. Moja, uwepo ushahidi wa kutosha palikuwepo na matukio ya wizi wa kura. Pili...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kumekuwa na maneno maneno humu kuwa mimi na wenzangu tunaomuunga mkono Rais Samia basi kama sio Waislamu basi ni Wazanzibar na kama hauko kote huko basi wewe ni chawa wake. Hizi ni siasa za...
7 Reactions
87 Replies
4K Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama, amesema mradi wa Ujenzi wa Mji wa Serikali Mtumba, pamoja na Miradi mingine ya kimkakati...
0 Reactions
0 Replies
764 Views
KWANI CHADEMA WAMEITA KONGAMANO LA INJILI? Na Thadei Ole Mushi. Kosa la Kifuufundi hili Chadema wamelifanya. 1. Sakata la Bandari toka awali lilianza kuhusishwa na imani za Kidini. 2. Mkutano...
26 Reactions
193 Replies
12K Views
Wanatumia jina la sheria wakijitungia wenyewe. Wanawapora watu mali zao kwa kuhalalisha uporaji wao kwa neno sheria na kanuni, wanaita kodi. Sasa hivi ni rasmi KUTOKA SH 1000/- MPAKA 1500/- Kwa...
3 Reactions
9 Replies
655 Views
"Uchochezi", hili ni neno pana sana ambalo hutumika kwenye nchi za kidikiteta, madhumuni yake ni kuwabana wapenda haki ili wananchi waweze kukandamizwa kwa kunyimwa haki zao! Kinachotokea ni kuwa...
2 Reactions
3 Replies
495 Views
Upepo wa kisiasa umeikataa kabisa CCM, hawafurukuti, hawahemi Tangu kuruhusiwa kwa mikutano ya kisiasa na mengine yote yaliyofuatia ni kama vile sasa CHADEMA ndio chama tawala na CCM ndio chama...
47 Reactions
198 Replies
8K Views
Kiongozi hupimwa kwa uwepo wa kuvumilia mishale kipindi cha shida na kipindi cha hoja za kitaifa. Rais ameona upepo wa kisiasa, ametambua uwepo wa tafsiri mbaya dhidi ya nia yake ya kutafuta...
6 Reactions
19 Replies
3K Views
Serikali ya Tanzania imezindua rasmi ubalozi wake jijini Algiers, Algeria. Ufunguzi huo umefanywa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax na kuhudhuriwa...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Back
Top Bottom