The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
1. Zesco ni shirika la umeme Zambia kama ilivyo TANESCO ya Tanzania.
2. Zesco wana umeme ama wanazalisha umeme unakaribia Megawati 3700 ama 3.7GW huku Tanesco ikizalisha umeme uziozidi megawati 1700.
3. Zambia ina watu wasiozidi 20M, Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61.
4. Zesco ama Zambia 80% ya umeme wao ni wa maji, 20% ndio makaa ya mawe, mafuta mazito na thermal. Tanzania 31% ni maji, 50% Gesi na vyanzo vingine.
5. 2024 Zesco watawasha/commissioning umeme wa Solar wa Megawati 2,000 mjini Lusaka, sawa na Bwawa la Mwalimu Nyerere hapa Tanzania. Tanzania tunategemea Bwawa la Mwalimu Nyerere mwaka 2024.
6. Zambia ama Zesco watarajia kua na umeme unazidi Megawati 7,000 kwa mwaka 2026 Tanzania bado tutakua na Megawati 3,700 baada ya mwalimu Nyerere.
7. Wakati Wazambia wakibuni na kuendeleza vyanzo vipya vya umeme kama Maji, makaa ya mawe nk. Tanzania haina mradi wa hivi karibuni wa kuzalisha umeme kwa miaka 2 ama 3 ijayo. Kama ipo badi hata kuanza bado.
8. Ukiacha Burundi na Rwanda, hakuna nchi kusini mwa jangwa la sahara ambayo Tanzania inaizidi uwezo wa kuzalisha umeme.
9. Swali, je wakati wenzetu wanaongeza vyanzo vipya vya umeme sisi Tulikua wapi?
Makamba na Maharage kwa miaka 2 wameshindwa kuendeleza hata mradi mmoja wa megawati 10 pale Tanesco, kila siku ilikua ni publicity na media coverage, haijawahi kutokea, haijawahi kutokea kwa miaka 2. Wameondoka hakuna legacy yoyote walioacha pale.
Shida iko wapi wakuu, kama taifa tunakwama wapi?