Piga kelele uwanja uliokusudiwa Dodoma ujengwe

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
18,565
22,168
Ujio wa AFCON nchini ni fursa kwa mji wa Dodoma, Dodoma ni mji mkuu wa Tanzania, lakini hauna uwanja wa michezo wa serikali baada ya uliokuwepo kuporwa na CCM kama ilivyotokea kwenye miji mingine.

CCM inataka kutumia pesa za umma kuuendeleza uwanja wake (haramu) wa Arusha badala ya kuzitumia kuujenga uwanja mpya wa Dodoma ambao ulikusudiwa uwe na uwezo wa kuingiza watazamaji wasiopungua elfu sabini(sic) kwenye eneo la Nzuguni.

Tukumbuke CCM imekuwa kikwazo huko Mwanza kwa ujenzi wa uwanja wa serikali ukihofia uwanja walioupora utakosa wateja.

Watanzania tupige kelele tukidai uwanja wa serikali ujengwe Dodoma ili utumike wakati wa AFCON.
 
Ujio wa AFCON nchini ni fursa kwa mji wa Dodoma, Dodoma ni mji mkuu wa Tanzania, lakini hauna uwanja wa michezo wa serikali baada ya uliokuwepo kuporwa na CCM kama ilivyotokea kwenye miji mingine. CCM inataka kutumia pesa za umma kuuendeleza uwanja wake(haramu) wa Arusha badala ya kuzitumia kuujenga uwanja mpya wa Dodoma ambao ulikusudiwa uwe na uwezo wa kuingiza watazamaji wasiopungua elfu sabini(sic) kwenye eneo la Nzuguni. Tukumbuke CCM imekuwa kikwazo huko Mwanza kwa ujenzi wa uwanja wa serikali ukihofia uwanja walioupora utakosa wateja.
Watanzania tupige kelele tukidai uwanja wa serikali ujengwe Dodoma ili utumike wakati wa AFCON.
Arusha ni jiji la kimataifa linaitwa Vienna ya Afrika, hivyo kujenga uwanja pale ni kuua ndege wawili kwa jiwe moja. Unakuza utalii na wakati huo huo unakaribisha watu wa jamii ya kimataifa waje kutazama mechi za AFCON.

Dodoma ulikuwa ujengwe na hayati JPM, lakini sidhani kama mfalme wa Morocco alikuwa na nia ya kufanya hivyo tangu alipofunga safari ya kuja Tanzania.

Nadhani JPM alilazimisha hoja yake kwa mfalme bila ya yeye mwenyewe kuridhia kutoka moyoni.
 
Ujio wa AFCON nchini ni fursa kwa mji wa Dodoma, Dodoma ni mji mkuu wa Tanzania, lakini hauna uwanja wa michezo wa serikali baada ya uliokuwepo kuporwa na CCM kama ilivyotokea kwenye miji mingine.

CCM inataka kutumia pesa za umma kuuendeleza uwanja wake (haramu) wa Arusha badala ya kuzitumia kuujenga uwanja mpya wa Dodoma ambao ulikusudiwa uwe na uwezo wa kuingiza watazamaji wasiopungua elfu sabini(sic) kwenye eneo la Nzuguni.

Tukumbuke CCM imekuwa kikwazo huko Mwanza kwa ujenzi wa uwanja wa serikali ukihofia uwanja walioupora utakosa wateja.

Watanzania tupige kelele tukidai uwanja wa serikali ujengwe Dodoma ili utumike wakati wa AFCON.
Dodoma wageni watalala wapi? Au uanataka kwenda kuwalaza kwenye lodge zako za elf30 pale cbe na mitaa ya airport,dodoma inn au wapi?
 
Simba na Yanga ngonjera zimefika kilometa ngapi? Maana fursa kama hizi zinawapita... Naam Kuna timu zitapiga Kambi Azam Complex
 
Arusha ni jiji la kimataifa linaitwa Vienna ya Afrika, hivyo kujenga uwanja pale ni kuua ndege wawili kwa jiwe moja. Unakuza utalii na wakati huo huo unakaribisha watu wa jamii ya kimataifa waje kutazama mechi za AFCON.

Dodoma ulikuwa ujengwe na hayati JPM, lakini sidhani kama mfalme wa Morocco alikuwa na nia ya kufanya hivyo tangu alipofunga safari ya kuja Tanzania.

Nadhani JPM alilazimisha hoja yake kwa mfalme bila ya yeye mwenyewe kuridhia kutoka moyoni.
 
Ujio wa AFCON nchini ni fursa kwa mji wa Dodoma, Dodoma ni mji mkuu wa Tanzania, lakini hauna uwanja wa michezo wa serikali baada ya uliokuwepo kuporwa na CCM kama ilivyotokea kwenye miji mingine.

CCM inataka kutumia pesa za umma kuuendeleza uwanja wake (haramu) wa Arusha badala ya kuzitumia kuujenga uwanja mpya wa Dodoma ambao ulikusudiwa uwe na uwezo wa kuingiza watazamaji wasiopungua elfu sabini(sic) kwenye eneo la Nzuguni.

Tukumbuke CCM imekuwa kikwazo huko Mwanza kwa ujenzi wa uwanja wa serikali ukihofia uwanja walioupora utakosa wateja.

Watanzania tupige kelele tukidai uwanja wa serikali ujengwe Dodoma ili utumike wakati wa AFCON.
Toa upuuzi wako hapa,viwanja vipya 2 vinajengwa na kukarabati vingine vya mazoezi.

View: https://twitter.com/east_facts/status/1707319285025005793?t=oxkIJaNrekLqM-SLQEkx1A&s=19
 
Ujio wa AFCON nchini ni fursa kwa mji wa Dodoma, Dodoma ni mji mkuu wa Tanzania, lakini hauna uwanja wa michezo wa serikali baada ya uliokuwepo kuporwa na CCM kama ilivyotokea kwenye miji mingine.

CCM inataka kutumia pesa za umma kuuendeleza uwanja wake (haramu) wa Arusha badala ya kuzitumia kuujenga uwanja mpya wa Dodoma ambao ulikusudiwa uwe na uwezo wa kuingiza watazamaji wasiopungua elfu sabini(sic) kwenye eneo la Nzuguni.

Tukumbuke CCM imekuwa kikwazo huko Mwanza kwa ujenzi wa uwanja wa serikali ukihofia uwanja walioupora utakosa wateja.

Watanzania tupige kelele tukidai uwanja wa serikali ujengwe Dodoma ili utumike wakati wa AFCON.
Mkuu una hoja nzuri sana, ni lazima Watanzania tupige kelele tukidai viwanja vyetu vya umma ambavyo CCM ilijikimikilisha kiharamu viweze kurudishwa mikononi mwa umma, na pia kubororeshwa kwa fedha za umma, ili baadhi yake viweze kutumika wakati wa michuano ya AFCON.
 
Hoja hii niliwahi kuiweka humu ila dah! Watanzania hatujitbui yaani tupo tupo ndiyo maana mtu yeyote anaweza kuwa kiongozi.
 
Sio tu kujengwa Viwanja- Je mahoteli ya kuwahifadh wageni yapo ya kutosha? kaiz bado ipo kwa kweli
 
Back
Top Bottom