Chatanda awapongeza DC & DED Nyang'hwale kwa Usimamizi wa Miradi

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,902
944
Mwenyekiti wa wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amefurahishwa na Ushirikiano wa Mkuu wa wilaya na Mkurugenzi wa Wilaya ya Nyang'hwale kwa usimamizi mzuri wa Miradi ambayo Serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeweza kuleta fedha mbalimbali za Miradi ya Maendeleo.

Akizungumza leo katika Ukaguzi wa Ujenzi wa Jengo la Halmashauri ya Nyang'hwale ambao zaidi ya Bilion 4 zinajenga Ofisi hiyo na Mradi wa Shule Mpya ya Msingi Busengwa wenye zaidi ya Milion 549 nimefurahishwa sana na usimamizi na Utekelezaji mzuri wa Miradi hiyo ikiwa ni Utekelezaji wa Ilani ya CCM .

"Jambo lolote lenye ushirikiano mzuri basi hakuna kinachoalibika niwaombe Umoja wenu, upendo wenu muendelee nao hivi hivi kwa kuwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan analeta fedha nyingi kwa ajili ya kuwapatia Maendeleo wananchi wa wilaya hii hivyo muendeleze umoja na Mshikamano wenu hudumu daima."

MWISHO.

WhatsApp Image 2023-09-27 at 22.08.25.jpeg
WhatsApp Image 2023-09-27 at 22.08.24.jpeg
WhatsApp Image 2023-09-27 at 22.08.23.jpeg
WhatsApp Image 2023-09-27 at 21.58.53.jpeg
WhatsApp Image 2023-09-27 at 21.58.47.jpeg
WhatsApp Image 2023-09-27 at 21.58.37.jpeg
WhatsApp Image 2023-09-27 at 21.57.57.jpeg
WhatsApp Image 2023-09-27 at 21.57.51.jpeg
 
Mwenyekiti wa wa Umoja wa Wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amefurahishwa na Ushirikiano wa Mkuu wa wilaya na Mkurugenzi wa Wilaya ya Nyang'hwale kwa usimamizi mzuri wa Miradi ambayo Serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan imeweza kuleta fedha mbalimbali za Miradi ya Maendeleo.

Akizungumza leo katika Ukaguzi wa Ujenzi wa Jengo la Halmashauri ya Nyang'hwale ambao zaidi ya Bilion 4 zinajenga Ofisi
 
Jumuiya ya akina mama na muendelezo wa "IRON LADIES..."

Alikuwepo Komredi Mama Gaudencia Mugosi Kabaka....

Leo ni chuma chengine....

Hakika komredi mama Mary Chatanda ni mtu na nusu

#SiempreUWT
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom