Sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
382
764
Mimi sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi.

Ni ushauri wa bure kwa yule anayewateuwa. Kwanza kazi ya DED inahitaji uelewa mkubwa wa Serikali za Mitaa na anayeteuliwa ni vyema atokane na watumishi waliobobea katika Utumishi wa Serikali za Mitaa. Hawa watumishi wamekulia humo mpaka akafikia ngazi za juu kamaa Afisa Mipango, Afisa Kilimo/Mifugo, Mhandisi wa Maji, Afisa Maendeleo ya Jamii, Afisa Ardhi, Mweka Hazina, Afisa utamaduni n.k.

Halmashauri ni nyingi na wako wengi wenye kisomo na waadilifu. Wateuliwe kutokana na hiyo orodha.

Pili kuna watumishi wazuri toka kwenye Mawizara na mashirika ya Umma wenye kisomo na waadilifu.

Kweli mtu anayeteuliwa ambaye hajui vyema Serikali za Mitaa pili ni kada wa chama?

Kama ni kweli nimepatwa na mshangao mkubwa sana.
 
Mimi sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi. Ni ushauri wa bure kwa yule anayewateuwa. Kwanza kazi ya DED inahitaji uelewa mkubwa wa Serikali za Mitaa na anayeteuliwa ni vyema atokane na watumishi waliobobea katika Utumishi wa Serikali za Mitaa. Hawa watumishi wamekulia humo mpaka akafikia ngazi za juu kamaa Afisa Mipango, Afisa Kilimo/Mifugo, Mhandisi wa Maji, Afisa Maendeleo ya Jamii, Afisa Ardhi, Mweka Hazina, Afisa utamaduni n.k. Halmashauri ni nyingi na wako wengi wenye kisomo na waadilifu. Wateuliwe kutokana na hiyo orodha. Pili kuna watumishi wazuri toka kwenye Mawizara na mashirika ya Umma wenye kisomo na waadilifu. Kweli mtu anayeteuliwa ambaye hajui vyema Serikali za Mitaa pili ni kada wa chama?. Kama ni kweli nimepatwa na mshangao mkubwa sana.
chama cha mapinduzi ndiyo chama kinachoongoza kwa upumbavu duniani. pigia mstari neno upumbavu
chama hiki kinadiliki hata kuwaingiza kwenye payroll ya serikali watendaji wake kama makatibu ili walipwe na serikali wakati hawafanyi kazi za serikali
 
Mimi sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi.

Ni ushauri wa bure kwa yule anayewateuwa. Kwanza kazi ya DED inahitaji uelewa mkubwa wa Serikali za Mitaa na anayeteuliwa ni vyema atokane na watumishi waliobobea katika Utumishi wa Serikali za Mitaa. Hawa watumishi wamekulia humo mpaka akafikia ngazi za juu kamaa Afisa Mipango, Afisa Kilimo/Mifugo, Mhandisi wa Maji, Afisa Maendeleo ya Jamii, Afisa Ardhi, Mweka Hazina, Afisa utamaduni n.k.

Halmashauri ni nyingi na wako wengi wenye kisomo na waadilifu. Wateuliwe kutokana na hiyo orodha.

Pili kuna watumishi wazuri toka kwenye Mawizara na mashirika ya Umma wenye kisomo na waadilifu.

Kweli mtu anayeteuliwa ambaye hajui vyema Serikali za Mitaa pili ni kada wa chama?

Kama ni kweli nimepatwa na mshangao mkubwa sana.
Lkn pia ni demotion yaani mwenyekiti wa CCM wa mkoa uwe DED?
 
Tulia wewe ni haki yake ya kikatiba kulamba asali 🐒

OIG (7).jpeg
 
Mimi sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi.

Ni ushauri wa bure kwa yule anayewateuwa. Kwanza kazi ya DED inahitaji uelewa mkubwa wa Serikali za Mitaa na anayeteuliwa ni vyema atokane na watumishi waliobobea katika Utumishi wa Serikali za Mitaa. Hawa watumishi wamekulia humo mpaka akafikia ngazi za juu kamaa Afisa Mipango, Afisa Kilimo/Mifugo, Mhandisi wa Maji, Afisa Maendeleo ya Jamii, Afisa Ardhi, Mweka Hazina, Afisa utamaduni n.k.

Halmashauri ni nyingi na wako wengi wenye kisomo na waadilifu. Wateuliwe kutokana na hiyo orodha.

Pili kuna watumishi wazuri toka kwenye Mawizara na mashirika ya Umma wenye kisomo na waadilifu.

Kweli mtu anayeteuliwa ambaye hajui vyema Serikali za Mitaa pili ni kada wa chama?

Kama ni kweli nimepatwa na mshangao mkubwa sana.
Amini hivyo. Ya Mungu Mengi.
 
Huoni wajeda wanavyopangiwa kazi wasizozijua mpaka tunasahau kulenga

Yaani sisi kila kazi tunaweza unanitoa huku unapeleka kule na mshahara juu, malupulupu kibao na upigaji pia
 
Mimi sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi.

Ni ushauri wa bure kwa yule anayewateuwa. Kwanza kazi ya DED inahitaji uelewa mkubwa wa Serikali za Mitaa na anayeteuliwa ni vyema atokane na watumishi waliobobea katika Utumishi wa Serikali za Mitaa. Hawa watumishi wamekulia humo mpaka akafikia ngazi za juu kamaa Afisa Mipango, Afisa Kilimo/Mifugo, Mhandisi wa Maji, Afisa Maendeleo ya Jamii, Afisa Ardhi, Mweka Hazina, Afisa utamaduni n.k.

Halmashauri ni nyingi na wako wengi wenye kisomo na waadilifu. Wateuliwe kutokana na hiyo orodha.

Pili kuna watumishi wazuri toka kwenye Mawizara na mashirika ya Umma wenye kisomo na waadilifu.

Kweli mtu anayeteuliwa ambaye hajui vyema Serikali za Mitaa pili ni kada wa chama?

Kama ni kweli nimepatwa na mshangao mkubwa sana.
Ukistaajabia ya ccm utayaona ya firauni
 
Tuko na Mama Ambiliki mwenye sikio la kufa. Akili na mawazo yake yote yako 2025.
 
Mimi sijaamini macho yangu kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza kuteuliwa kuwa DED wa Masasi.

Ni ushauri wa bure kwa yule anayewateuwa. Kwanza kazi ya DED inahitaji uelewa mkubwa wa Serikali za Mitaa na anayeteuliwa ni vyema atokane na watumishi waliobobea katika Utumishi wa Serikali za Mitaa. Hawa watumishi wamekulia humo mpaka akafikia ngazi za juu kamaa Afisa Mipango, Afisa Kilimo/Mifugo, Mhandisi wa Maji, Afisa Maendeleo ya Jamii, Afisa Ardhi, Mweka Hazina, Afisa utamaduni n.k.

Halmashauri ni nyingi na wako wengi wenye kisomo na waadilifu. Wateuliwe kutokana na hiyo orodha.

Pili kuna watumishi wazuri toka kwenye Mawizara na mashirika ya Umma wenye kisomo na waadilifu.

Kweli mtu anayeteuliwa ambaye hajui vyema Serikali za Mitaa pili ni kada wa chama?

Kama ni kweli nimepatwa na mshangao mkubwa sana.
MENE MENE TEKELI NA PERESI!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom