Mbunge Subira Mgalu atema cheche upotoshaji uwekezaji wa Bandari

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,902
945
MBUNGE SUBIRA MGALU - MJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJI UWT TAIFA ATEMA CHECHE UPOTOSHAJI WA HOJA ZINAZOHUSU BANDARA YA DAR ES SALAAM AKIWA WILAYANI MBOGWE

Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UWT na Mjumbe wa Kamati ya Uchumi na Fedha Ndg . Subira Mgalu ameeleza kwa kufanua upotoshaji wa hoja zinazohusu Bandari ya Dar Es Salaam.

Mgalu amewaeleza wananchi wa Mbogwe

"Rais Samia hawezi kuuza Bandari yetu wapuuzeni hao waruka na helikopta wanazungumza uovu juu ya Nchi yetu Serikali ya awamu ya sita imejikita kwenye maendelea na sio kulumbana"

Mgalu akamalizia hotuba yake kwa kueleza faida zipatikanazo na ubinafsishwaji wa Bandari ya Dar Es Salaam.

Aliyasema hayo tarehe 26 Septemba 2023 Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita.

UWT IMARA JESHI LA MAMA KAZI IENDELEE

DSC_0229_copy_2464x1632_copy_1232x816.jpg
 
,simlaumu ni vile umasikini na ujinga unamsubua,Bandari haiuzwi ibaki iendeshwe na serikali huo mkataba wautumie kuibinafsisha ccm mana imechoka na inanuka rushwa na ufisadi.
 
MBUNGE SUBIRA MGALU - MJUMBE WA KAMATI YA UTEKELEZAJI UWT TAIFA ATEMA CHECHE UPOTOSHAJI WA HOJA ZINAZOHUSU BANDARA YA DAR ES SALAAM AKIWA WILAYANI MBOGWE

Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UWT na Mjumbe wa Kamati ya Uchumi na Fedha Ndg . Subira Mgalu ameeleza kwa kufanua upotoshaji wa hoja zinazohusu Bandari ya Dar Es Salaam.

Mgalu amewaeleza wananchi wa Mbogwe

"Rais Samia hawezi kuuza Bandari yetu wapuuzeni hao waruka na helikopta wanazungumza uovu juu ya Nchi yetu Serikali ya awamu ya sita imejikita kwenye maendelea na sio kulumbana"

Mgalu akamalizia hotuba yake kwa kueleza faida zipatikanazo na ubinafsishwaji wa Bandari ya Dar Es Salaam.

Aliyasema hayo tarehe 26 Septemba 2023 Wilaya ya Mbogwe Mkoani Geita.

UWT IMARA JESHI LA MAMA KAZI IENDELEE

View attachment 2765078
Alikuwemo kwenye kundi la chawa. Ni vyema aache kuongelea hiyo kitu, nchi imetulia. Ni lini hawa watakuja na agenda za maendeleo ya wanawake ili na sisi watoa huduma tupumue!
 
CCM hoyeeee!
Kinachopotoshwa hapo ni kipi? Hakuna anayekataa ubinafsishaji wa Bandari, hakuna anayekataa faida za ubinafsishaji.
Tunakataa masharti umiza yasiyo na tija Kwa Taifa letu.
 
Back
Top Bottom