Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tumewahi kuona mikataba mikubwa ya kuuza au kubinafsisha raslimali zetu ikisainiwa kati ya Tanzania na mataifa mbalimbali lkn huu wa kuuza bandari zetu unaoneka kuwa utavunja rekodi ya kuwa...
20 Reactions
92 Replies
6K Views
NIMESIKILIZA HII HOTUBA YA MBUNGE MPINA AKOSOA YALIYOFANYWA NA NDUGAI AKIWA SPIKA, WAKATI AKICHUKUA FOMU YA USPIKA NA KUTANGAZA KUREKEBISHA MAPUNGUFU MSIKILIZE NA WEWE UNAWEZA KUJIFUNZA VITU NA...
0 Reactions
1 Replies
778 Views
Katibu Tawala wa Wilaya ya Busega, Japhari Kubecha amejitosa kwenye sakata la Bandari na kumuonya Wakili Mwabukusi na kuomba ashughulikiwe hili hapa andiko lake
2 Reactions
43 Replies
7K Views
RIPOTI ya CAG 2021/2022 ilionyesha ufisadi wa kutisha Serikali ambapo Wizara zilizoongoza ni Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi, Wizara ya Nishati, Wizara ya Fedha na wizara nyingine kidogo kidogo...
0 Reactions
5 Replies
583 Views
Mzalendo ni mtu ambaye anaitakia mema nchi yake na yuko tayari kuitetea kwa vyovyote hata kama ikimgharimu mateso, kutengwa, kudhihakiwa, kutukanwa, kufungwa au kuuawa kwa kufanya hivyo. Ifuatayo...
18 Reactions
38 Replies
4K Views
Wanabodi, Jamii yoyote inaweza kulaaniwa na Mwenyezi Mungu au kulogwa na ibilisi. Mapenzi yangu kwa watanzania yanaweza yakawa yamezidi hata katika kipindi ambacho ishara zote zimeshindwa kuni...
0 Reactions
2 Replies
338 Views
Hukumu ya uhaini ni kunyongwa hadi kufa; wapo watu Tanzania wanakaa ofisini wanapanga wenzao wanyongwe hadi kufa. Watanzania tunakwenda kwenye nyumba za ibada kufanya nini? Kumuita mwenzako...
2 Reactions
10 Replies
759 Views
Uzi tayari wekeni nyama wenyewe Nina hasira na maumivu makubwa sana juu ya watanzania waliopewa kesi za uhaini.
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wana jf Jamani jambo lolote ukiona linatumia nguvu nyingi za kukuzidi hebu jaribu kulipotezea au kuliacha kwamaana muda wowote laweza kukuto ushuzi. Kuna muda ukipanua domo lako linahalibu...
0 Reactions
0 Replies
473 Views
Hi! Mara nyingi tunasema kuwa Watanzania ni wasahaulifu sana na ni watu wanaopenda kwenda sambamba na upepo. Kwa lugha nyepesi tunasema mtengenezee skendo au tukio Mtanzania ili umtoe kwenye...
8 Reactions
47 Replies
3K Views
Hapa Tanzania wasomi wengi hawajihusishi na siasa, Bali wanajaribu kusimamia taaluma zao japo kwa kuvurugwa na wanasiasa Kila kukicha. Wanasiasa wengi Tanzania hasa viongozi ndani ya vyama vya...
7 Reactions
37 Replies
2K Views
Watanzania wengi watakumbuka kwamba suala la madini kunufaisha umma wa watanzania limesimamiwa ipasavyo na Mhe. DR. Jakaya Mrisho Kikwete katika kusimamia na kutekeleza Ilani ya CCM kama...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Naona kosa alilofanya Rais wa awamu ya nne ndugu Jakaya M. Kikwete kuuza Shirika letu la Reli (TRC) Kwa wahindi na kubadilishwa kuwa Tanzania Railway Limited (TRL) analifanya tena Rais Samia...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
Kupitia mtandao wa X, MMM ameandika kuwa... Taarifa kutoka kwa Adv. Philip Mwakilima na jopo; Wakili Mwabukusi na Mdude wamefikishwa Mbeya na hati yao ya mashtaka ni makosa ya UHAINI (siyo kutoa...
11 Reactions
128 Replies
10K Views
Ukitaka unufaike na matatizo yako basi yageuze upande wa pili. Sakata la bandari limeibua mengi na sasa linaonekana kutaka kuigawa nchi. Niwaambie kitu? Nchi yetu itakuwa imara zaidi baada ya...
4 Reactions
11 Replies
819 Views
Niliwahi kuandika uzi tishio sana humu ndani kuhusu uwepo wa uhaini nyanda za juu kusini. Leo sitasema chochote ili uzi huu usifutwe kama ule nilikuwa nakumbusha tuu. Ilipo itishwa kura ya maoni...
2 Reactions
8 Replies
663 Views
Viongozi wa Afrika au watu wenye madaraka ya kuongoza au kusimamia Wananchi wanajisahau sana, lakini nawakumbusha jinai haiozi. Kama watu mtakuwa na kumbukumbu ya Arbeto Fujimori (Peru)...
1 Reactions
9 Replies
764 Views
Kijana Mzalendo na Mtetezi wa rasilimali za Taifa , shujaa Mdude Nyagali amegoma kutoa maelezo yoyote Kituo cha Polisi baada ya kukamatwa na kusingiziwa tuhuma za uongo za Uhaini . Mdude...
34 Reactions
141 Replies
11K Views
Wazee tumekwisha rasmi. End of the game. Bado ardhi tu, tubaki kuwa watumwa ndani ya nchi yetu wenyewe. China inalalamikiwa kote Duniani Kwa kufanya miradi inayowaumiza wazawa, sasa zamu yetu...
31 Reactions
326 Replies
24K Views
SERIKALI YAMKANA HAYATI MAGUFULI Waziri Mwambe amesema haya ''Kuna jambo niliweke sawa ilisemwa kuwa wachina walisema kusiendelezwe bandari yoyote kutoka Mtwara hadi Tanga,sio kweli. Hayo maneno...
26 Reactions
214 Replies
17K Views
Back
Top Bottom