Serikali yatumia nguvu kubwa ya Polisi kutaka kuzuia kongamano la wananchi la kupinga mkataba wa bandari

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
13,505
51,110
Waandaaji wa kongamano la wananchi la kupinga mkataba wa bandari limepata msukosuko mkubwa baada ya serikali kutumia maguvu mengi ya polisi kuthibiti kongamano hilo.

Vikwazo vya kongamano hilo vilianza baada ya mwenye ukumbi wa awali kabisa kurudisha pesa alizokuwa ameshalipwa, ndipo Waandaaji walipopata ukumbi wa masista. Na masista nao katika hali isiyotegemewa wakabadili mtizamo ktk dakika ya mwisho.

Wakati wote huo Jeshi la Polisi likiwa katika formation za Maguvu mengi sana limeendelea kurandaranda kuzunguuka ukumbi ili kuzuia wananchi wasijadili suala la bandari. Video ya tukio hilo unaweza kuiona hapa chini.

Habari zaidi, soma:
  1. Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi
 
Waandaaji wa kongamano la wananchi la kupinga mkataba wa bandari limepata msukosuko mkubwa baada ya serikali kutumia maguvu mengi ya polisi kuthibiti kongamano hilo.

Vikwazo vya kongamano hilo vilianza baada ya mwenye ukumbi wa awali kabisa kurudisha pesa alizokuwa ameshalipwa, ndipo Waandaaji walipopata ukumbi wa masista. Na masista nao katika hali isiyotegemewa wakabadili mtizamo ktk dakika ya mwisho.

Wakati wote huo Jeshi la Polisi likiwa katika formation za Maguvu mengi sana limeendelea kurandaranda kuzunguuka ukumbi ili kuzuia wananchi wasijadili suala la bandari. Video ya tukio hilo unaweza kuiona hapa chini.

View attachment 2771326
Fear of the unknown...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kingai amechukua bilioni ,Sirro bilion,wao hawajielewi hadi Leo nguo zao zimetoboka hazieleweki

hapo ndipo wabongo mnaponishangaza, unawezaje kulaumu askari? Askari anatii amri apende asipende, hata wao hawapendi lkn wana familia za kulisha pia …
 
oooh magufuli dicteta Samia anaongoza vizurii nyenyenyenyeee.haya Kiko wapiiiii kikowapiiii?

magufuli miaka mia asingeuza bandari umeme usingekatika reli ingekamilika

lakini watu nyeee nyeee nyeee maamae
Mtanikumbuka-JPM

Hakika tumemkumbuka sana Leo maisha tunayoishi petrol juu,umeme unakatika hovyo,dola hakuna
 
Waandaaji wa kongamano la wananchi la kupinga mkataba wa bandari limepata msukosuko mkubwa baada ya serikali kutumia maguvu mengi ya polisi kuthibiti kongamano hilo.

Vikwazo vya kongamano hilo vilianza baada ya mwenye ukumbi wa awali kabisa kurudisha pesa alizokuwa ameshalipwa, ndipo Waandaaji walipopata ukumbi wa masista. Na masista nao katika hali isiyotegemewa wakabadili mtizamo ktk dakika ya mwisho.

Wakati wote huo Jeshi la Polisi likiwa katika formation za Maguvu mengi sana limeendelea kurandaranda kuzunguuka ukumbi ili kuzuia wananchi wasijadili suala la bandari. Video ya tukio hilo unaweza kuiona hapa chini.

View attachment 2771326
Hii video inahusiana vipi?
 
Back
Top Bottom