Makosa ya RC Kebwe wa Moro na Makonda wa Dar yanafanana lakini wa Moro kang'olewa wa Dar kaachwa

Tulimumu

JF-Expert Member
Mar 11, 2013
14,304
12,965
Rais kamng'oa RC wa Moro kwa uzembe lakini wa Dar mwenye makosa yanayofanana na ya wa Moro kaachwa.

Inawezekana wa Dar ana Kinga kikatiba kutoguswa?

Maana inapofika rais anaongelea mapungufu ya RC wa Dar huwa anakuwa kama vile hana uwezo naye.

Tuliona hata wakati wa makontena alimuongelea kinyonge sana kana kwamba hana la kumfanya
 
Mzee Magu ameamua kuwa unpredictable na sidhani kama atamtumbua Bashite. Watakachofanya ni kumtafutia jimbo la uchaguzi mwaka kesho na kuhakikisha anatangazwa kwa gharama yoyote ile. Harafu anatupiwa uwaziri au unaibu. Bashite bado mnae sana tu .🤣
 
U
Rais kamng'oa RC wa Moro kwa uzembe lakini wa Dar mwenye makosa yanayofanana na ya wa Moro kaachwa. Inawezekana wa Dar ana Kinga kikatiba kutoguswa?!
Maana inapofika rais anaongelea mapungufu ya RC wa Dar huwa anakuwa kama vile hana uwezo naye. Tuliona hata wakati wa makontena alimuongelea kinyonge sana kana kwamba hana la kumfanya
Upo sahihi maana rais analalamika tu tangu juzi pale vingunguti,hili ni moja la DOA anapata rais hasa kwa wapinzani wake na wanapata cha kusema
 
Rais kamng'oa RC wa Moro kwa uzembe lakini wa Dar mwenye makosa yanayofanana na ya wa Moro kaachwa. Inawezekana wa Dar ana Kinga kikatiba kutoguswa?!
Maana inapofika rais anaongelea mapungufu ya RC wa Dar huwa anakuwa kama vile hana uwezo naye. Tuliona hata wakati wa makontena alimuongelea kinyonge sana kana kwamba hana la kumfanya
Hivi makonda ndie aliwanyima irais nyinyi wanasiasa uchwara?

Aliyemteua ndie huyo huyo anayetengua.
Kuna ufisadi gani dsm katika halmashauri zake ambazo zimepelekea hadi waziri mkuu kwenda kufukuza kazi watumishi mwenyewe ka.a huko moro?

Siasa zimewasjinda ,hoja hakuna mmebakuza majungu tupu.
Kaeni kushoto wanaume wapige kazi nchi inyooke
 
Yes ndiye anakwenda front kwa wafanya biashara kama akina GSM, Dewji, NAS Haulers na GBP kwenda kudai fedha kwa nguvu. Yusuf Manji akajifanya mjuajj yakampata yaliyompata.
Wanachokifanya Makonda na Mheshimiwa Rais kinashangaza kila mtu, hakina tofauti na alichofanyiwa kashogi kwenye ubalozi wa Saudia Turkey.

haiwezi kumuingia mtu yeyote kichwani, kwamba watu wanaojitanabaisha kama wapigania maslahi ya wanyonge, wacha Mungu na wazalendo kindakindaki bado wanaweza kubakia na akili na matendo kama ya vibaka.
 
Nilichogundua watanzania wengi ni shida maana wanasema vitu utafikiri wapo kwenye kichwa Cha mtu wanaemsemelea!! Hi ni aibu.. vipi Kama akiadabishwa mtasemaje..? Nafikiri vitu vyengine ni kuwaachia wenye navyo huku tutapiga zogo lkn hakika tunayoyajua ni machache na tusiyoyajua ni mengi ambayo ni ama huamua mtu abaki au asibaki.
 
Rais kamng'oa RC wa Moro kwa uzembe lakini wa Dar mwenye makosa yanayofanana na ya wa Moro kaachwa. Inawezekana wa Dar ana Kinga kikatiba kutoguswa?!
Maana inapofika rais anaongelea mapungufu ya RC wa Dar huwa anakuwa kama vile hana uwezo naye. Tuliona hata wakati wa makontena alimuongelea kinyonge sana kana kwamba hana la kumfanya
Yanafananaje? Muvomero, Ulanga, Malinyi! Acha uchizi
 
Kuna mtu aliwahi kusema kuwa DAB ndiyo Miguu ya Meza. Ukiondoa tu Meza lazima ipige chini.
 
Back
Top Bottom