Kanisa Katoliki jimbo la Songea yalaani maagizo ya Serikali kulitaka kanisa hilo kulipa kodi kwa vituo vya kulelea watoto yatima na wasiojiweza

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Kanisa Katoliki Jimbo la Songea limepinga na kulaani maagizo ya Serikali kuvitaka vituo vya huduma vya kanisa viwe na leseni za biashara na vilipe kodi.

Askofu wa Jimbo Mhashamu Damiani Dallu amesema vituo vya watoto yatima, walemavu na wenye mahitaji maalumu ni sehemu ya huduma za kanisa na si biashara.
 
Jiwe halitaki kwenda kutafuta wawekezaji kajifungia ndani tu, anabana wananchi hayo ndio matokeo yake, nchi haiwezi kuendelea kwa kutegemea mapato ya ndani tu ni lazima uexport na vya kwetu ili pesa ipate thamani, kabla mtu hajapata nafasi ya kuwakilisha anatakiwa apigwe interview lugha ya kimataifa na uwezo wake wa kidiplomasia maana ndio tatizo kuu la jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuombea yakutokee au tu mama yako yamtokee Ndio utapata fundisho na mdomo yako kama kichwa cha Jiwe

SWISSME

Waterloo said:
Hivyo vituo wanapata Fedha nyingi sana kutoka kwa donors walipe kodi
 
Jiwe halitaki kwenda kutafuta wawekezaji kajifungia ndani tu, anabana wananchi hayo ndio matokeo yake, nchi haiwezi kuendelea kwa kutegemea mapato ya ndani tu ni lazima uexport na vya kwetu ili pesa ipate thamani, kabla mtu hajapata nafasi ya kuwakilisha anatakiwa apigwe interview lugha ya kimataifa na uwezo wake wa kidiplomasia maana ndio tatizo kuu la jiwe

Sent using Jamii Forums mobile app
naona safari hii hadi WAFU watatozwa KODI!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom