johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,112
Kimsingi CCM haiviogopi kabisa hivi vyama vya Upinzani vilivyopo akina Chadema, ACT wazalendo, NCCR Mageuzi, CUF nk
Ila CCM hupatwa na mchecheto pale inaposikia akina Mdude Wanataka kuanzisha Chama cha Siasa au ile iliyoogopwa sana Umoja Party
Sijajua kwanini CCM wanaidharau Chadema na kukihofia Chama cha Mdude?