Mbowe: Kwa sasa Chadema tuna mambo muhimu 3, Mosi Uchaguzi Ndani ya Chama, Pili Uchaguzi mkuu na Tatu Katiba mpya!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,987
142,006
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema kwa sasa Chama chake kina vipaumbele vitatu muhimu
1. Uchaguzi wa ndani ya Chama

2. Uchaguzi wa Serikal za mitaa na Uchaguzi mkuu

3. +255 Operesheni Katiba mpya Okoa Bandari zetu

Mbowe alikuwa akilihutubia taifa huko Zanzibar kupitia Baraza la Wazee wa Chadema
 
Lini?
 
Back
Top Bottom