Je, ni nyaraka zipi ambazo kitengo cha usalama wamezuia zisitoke kwenye tovuti ya kitabu cha maisha ya Dr. Salim Ahmed Salim?

thetallest

JF-Expert Member
Oct 21, 2017
8,256
9,085
Ninachokijua ni kwamba kwenye historia ya maisha ya viongozi wanapotunga vitabu hawawezi kutoa siri za nchi.

Hisia zangu ni kwamba Dr Salim Ahmed Salim kama mwanadamu kuna eneo alikwazwa sana, hasa kipindi anagombea urais 2005, kuna lugha za kijinga sana zilitumika na lile kundi kuhusu haiba yake, alibaguliwa sana na kuitwa Hizbollal, hili kwa imani yangu lilimkera sana sana.na inawezekana kwenye kitabu chake simulizi hii ipo na kawataja majina waliomtenda

Alibaki kuwa mkimya sana

Na waliofanyia jambo hili leo mmojawapo namuona ndani ya ukumbi akiwa kavaa nyeupe.

Huyu mwenye nyeupe hajawahi hata kuomba samahani kwa madhila aliyomtendea Dr Salim Ahmed Salim

Tusubiri nyaraka zilizozuiliwa na vyombo vya usalama kama kweli hapo baadae zitaachiwa, nchi hii ngumu sana.

Sidhani
 
Na waliofanya jambo hili leo mmoja wapo namuona ndani ya ukumbi akiwa kavaa nyeupe.
Ha haa. Huyo jamaa ni 'nyoka mwenye vichwa saba'. Ukiponda hiki ukajua kuwa umemmaliza, anatoboa kwingine.
Taiz la kwanza alisomea dini mbili. Moja madarasani, nyingine useminarini.
Wakisema awamu hii tunamtaka wa dini hii, yupo. Wakisema tunamtaka wa dini ile yupo.
🤗🤗🤗
 
Kanisa Moja Takatifu la Mitume 😀🔥
 
namuona ndani ya ukumbi akiwa kavaa nyeupe
Mkuu tunaomba Hiyo code 👆👆👆, na sisi watoto wa 2000, tuing'amue 🤔
Ninachokijua ni kwamba kwenye historia ya maisha ya viongozi wanapotunga vitabu hawawezi kutoa siri za nchi.

Hisia zangu ni kwamba kama mwanadamu kuna eneo alikwazwa hasa kipindi anagombea urais 2005, kuna lugha za kijinga sana zilitumika na lile kundi kuhusu haiba yake, alibaguliwa sana na kuitwa Hazbollal,hili imani yangu lilimkera sana sana.

Alibaki kuwa mkimya sana

Na waliofanya jambo hili leo mmoja wapo namuona ndani ya ukumbi akiwa kavaa nyeupe.

Huyu mwenye nyeupe hajawahi hata kuomba samahani kwa madhira aliyomtendea Dr Salim Ahmed Salim

Tusubiri nyaraka zilizozuiliwa na vyambo vya usalama kweli hapo baadae zitaachiwa ?
 
Kwamba?

"Huyu mwenye nyeupe hajawahi hata kuomba samahani kwa madhira aliyomtendea Dr Salim Ahmed Salim."

Kazi kweli kweli.
 
Ninachokijua ni kwamba kwenye historia ya maisha ya viongozi wanapotunga vitabu hawawezi kutoa siri za nchi.

Hisia zangu ni kwamba kama mwanadamu kuna eneo alikwazwa hasa kipindi anagombea urais 2005, kuna lugha za kijinga sana zilitumika na lile kundi kuhusu haiba yake, alibaguliwa sana na kuitwa Hazbollal,hili imani yangu lilimkera sana sana.

Alibaki kuwa mkimya sana

Na waliofanya jambo hili leo mmoja wapo namuona ndani ya ukumbi akiwa kavaa nyeupe.

Huyu mwenye nyeupe hajawahi hata kuomba samahani kwa madhira aliyomtendea Dr Salim Ahmed Salim

Tusubiri nyaraka zilizozuiliwa na vyambo vya usalama kweli hapo baadae zitaachiwa ?
Mmmh haya tusubiri
 
Walimrushia matope machafu eti aliwahi kuwa mwanachama wa hizbu, wakati alipendwa sana na nyerere kiasi cha kuja kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania miaka ya mbeleni. Matope ya sumaye aliyeandikwa vibaya kuwa ni nyampara anayeutaka urais mwenye mashamba makubwa ya mahindi kibaigwa yalikuwa ni cha mtoto kwa salim. Ifike muda siri chafu ziwe zinawekwa hadharani
 
Ngoja tuone

Ilikuwa amrithi Nyerere wakaanza kumzushia mambo mengi ikiwemo Umiliki wa Malori ya Mwanamboka na Vituo vya Mafuta
Nyerere alisema mwaka 1985 Salim alikuwa anasita sita na kudengua mwenyewe. Ilivyofika 1995 aliendelea hivyo hivyo.

Mwaka 2005 ndio akaamua rasmi kujaribu, kwa bahati mbaya Mwalimu Nyerere hakuwepo tena, na kundi la wanamtandao likawa limeshika hatamu.
 
Walimrushia matope machafu eti aliwahi kuwa mwanachama wa hizbu, wakati alipendwa sana na nyerere kiasi cha kuja kuwa rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania miaka ya mbeleni. Matope ya sumaye aliyeandikwa vibaya kuwa ni nyampara anayeutaka urais mwenye mashamba makubwa ya mahindi kibaigwa yalikuwa ni cha mtoto kwa salim. Ifike muda siri chafu ziwe zinawekwa hadharani
Wakapitiliza kuthitiSha Uarabu wake...kuwa ana Ndugu ni Waziri wa Ulinzi Saudia! Au Oman! Mzee Salum na Warioba ni waungwana sana..iliyakiwa waikane CCM
 
Back
Top Bottom