Mlipuko wa Vita Mashariki ya Kati Tanzania imejipangaje?

Filosofia ya Rorya

JF-Expert Member
Sep 20, 2021
3,214
3,587
Yafuatayo ni muhimu kuzingatia na yanahitaji majibu ya kimkakati;

1. Tanzania imejipangaje kuondoa Watanzania walioko kwenye nchi hizo za vita?

2. Kwa kisasi cha malipizi yatayovunja rekodi kama alivyoapa Mhe. Netanyahu ni wazi kuwa vita inaenda kutanuka kuhusisha nchi kadhaa ktk eneo hilo.

3. Sawa na no.2 hapo juu, ni wazi dunia inakabiliwa na tishio la Uhaba na ongezeko jipya la bei ya nishati ya mafuta, JMT tayari iko kwenye bei mpya za juu za nishati hiyo, imejipangaje na uhaba na bei mpya vitavyosababishwa na mlipuko huo wa vita?

4. Urusi ina retreat kusubiria majira ya baridi Ulaya yaanze ili aanzishe upya vita na Ukraine, safari hii akiwa amejipanga vilivyo tena akiwa na wadau kama China, Korea Kaskazini, Saudia, India, Brazil nk. Hii nayo pia inaenda kupandisha bei za nishati za mafuta na gesi duniani.

5. Urusi inaenda kupigana Ukraine na pia Mashariki ya Kati kuwasaidia Waarabu dhidi ya Israel na NATO. Maana yake Urusi inaenda kupigana na NATO Ukraine na pia NATO Ukanda wa Gaza.

6. Kuna uwezekano nchi nyingi zitaingia gizani kwa kukosa nishati za mafuta na gesi.

7. Kuna uwezekano mataifa mengi chumi zitayumba kufuatia uzalishaji kusimama.

8. No. 7 huenda ikasababisha uhalifu mkubwa duniani kufuatia vipato kuporomoka.

9. Anguko la chumi linaenda kusababisha maanguko ya serikali duniani (mapinduzi) hususan Afrika.

10. Kuna uwezekano vyombo vya moto vya usafirishaji vikasimama.

11. Kuna hatari viwanda vikasitisha uzalishaji ama kwa bei kubwa ya nishati au kwa kutopatikana kwake sokoni.

12. JMT ina akiba kiasi gani ya fedha za kigeni na akiba kiasi gani ya mafuta na gesi (ndani ya uzalishaji huu hafifu kufuatia mgawo wa umeme uliosababishwa na upungufu wa umeme unaotembea nasi hadi Machi 2024)?

13. Je, uwiano ukoje wa akiba ya fedha za kigeni dhidi ya deni la taifa?

14. Je, pana uhusiano gani kati ya akiba ya fedha za kigeni na mauzo ya bidhaa za nchi ugenini?

15. Kuna hatari ya mataifa kadhaa kutangaza mini-budget katikati ya mwaka wa fedha unaoendelea.

A snail isn't a small tortoise.
 
Yafuatayo ni muhimu kuzingatia na yanahitaji majibu ya kimkakati:-

1. JMT imejipangaje kuondoa Watz walioko kwenye nchi hizo za vita?

12. JMT ina akiba kiasi gani ya fedha za kigeni na akiba kiasi gani ya mafuta na gesi? (ndani ya uzalishaji huu hafifu kufuatia mgawo wa umeme uliosababishwa na upungufu wa umeme unaotembea nasi hadi Machi 2024).

13. Je, uwiano ukoje wa akiba ya fedha za kigeni dhidi ya deni la taifa?

14. Je, pana uhusiano gani kati ya akiba ya fedha za kigeni na mauzo ya bidhaa za nchi ugenini?

15. Kuna hatari ya mataifa kadhaa kutangaza mini-budget katikati ya mwaka wa fedha unaoendelea.

A snail isn't a small tortoise.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
historia ya vita vya mashariki ya kati, bado hujaijua, natanyahu ndio kawapa msaada hamas na akaliambia jeshi lake lizembee kidogo ili wapigwe na hamas ili atimize malengo yake
 
Yafuatayo ni muhimu kuzingatia na yanahitaji majibu ya kimkakati;

1. Tanzania imejipangaje kuondoa Watanzania walioko kwenye nchi hizo za vita?

2. Kwa kisasi cha malipizi yatayovunja rekodi kama alivyoapa Mhe. Netanyahu ni wazi kuwa vita inaenda kutanuka kuhusisha nchi kadhaa ktk eneo hilo.

3. Sawa na no.2 hapo juu, ni wazi dunia inakabiliwa na tishio la Uhaba na ongezeko jipya la bei ya nishati ya mafuta, JMT tayari iko kwenye bei mpya za juu za nishati hiyo, imejipangaje na uhaba na bei mpya vitavyosababishwa na mlipuko huo wa vita?

4. Urusi ina retreat kusubiria majira ya baridi Ulaya yaanze ili aanzishe upya vita na Ukraine, safari hii akiwa amejipanga vilivyo tena akiwa na wadau kama China, Korea Kaskazini, Saudia, India, Brazil nk. Hii nayo pia inaenda kupandisha bei za nishati za mafuta na gesi duniani.

5. Urusi inaenda kupigana Ukraine na pia Mashariki ya Kati kuwasaidia Waarabu dhidi ya Israel na NATO. Maana yake Urusi inaenda kupigana na NATO Ukraine na pia NATO Ukanda wa Gaza.

6. Kuna uwezekano nchi nyingi zitaingia gizani kwa kukosa nishati za mafuta na gesi.

7. Kuna uwezekano mataifa mengi chumi zitayumba kufuatia uzalishaji kusimama.

8. No. 7 huenda ikasababisha uhalifu mkubwa duniani kufuatia vipato kuporomoka.

9. Anguko la chumi linaenda kusababisha maanguko ya serikali duniani (mapinduzi) hususan Afrika.

10. Kuna uwezekano vyombo vya moto vya usafirishaji vikasimama.

11. Kuna hatari viwanda vikasitisha uzalishaji ama kwa bei kubwa ya nishati au kwa kutopatikana kwake sokoni.

12. JMT ina akiba kiasi gani ya fedha za kigeni na akiba kiasi gani ya mafuta na gesi (ndani ya uzalishaji huu hafifu kufuatia mgawo wa umeme uliosababishwa na upungufu wa umeme unaotembea nasi hadi Machi 2024)?

13. Je, uwiano ukoje wa akiba ya fedha za kigeni dhidi ya deni la taifa?

14. Je, pana uhusiano gani kati ya akiba ya fedha za kigeni na mauzo ya bidhaa za nchi ugenini?

15. Kuna hatari ya mataifa kadhaa kutangaza mini-budget katikati ya mwaka wa fedha unaoendelea.

A snail isn't a small tortoise.
Pole sana unauliz maswali magumu sana kwa aina hii ya serkali ya kubweka kila Saa MA'AMA na kuhakikisha mwakani hayo hayo mafuta yataongezewa hapo kodi kama 200 na wabunge watapigia makofi ili wapate pesa ya kusafiri na na manyangau na kujaza mafuta V8
 
Back
Top Bottom