Barua ya wazi kwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

KIFOROKOKWINYO

Senior Member
Sep 16, 2017
169
102
Salamkhum

Mh Rais nawasalimu kwa jina la Mwenyezi Mungu mwingi wa kila kheri katika hii dunia, dhumun kubwa la kuandika barua hii ni kuomba wakandarasi wadogo wa umeme kupata fursa ya kupata kazi wakala wa umeme vijijini.

Yamekuwepo masharti magumu sana ya kupata kazi rea lakini hao wanawapa kwa asilimia 98 miradi rea inajengwa na wakandarasi wadogo na Watanzania kwa ujira mdogo kutoka kwa wanaonekana wanamitaji mikubwa ya kuendesha kazi hizo, na sizo kampun kutoka nnje nnchi yetu Tanzania.

Kwa barua hii kwa huruma yako tunaomba yafanyike maboresho makubwa pale rea wanapotoa tenda wazigawe katika makundi 2 hao wenye wapewe kazi kuzia vifaa vya umeme tu kwa ajiri ya miradi na kazi ujenzi wa line wapewe wakandarasi wa umeme wazawa ambao kwa sasa umeme unaonekana unawaka katika kila nnchi hii wamefanya Watanzania mafundi kwa ujira mdogo na mikataba kandamizi kwa kampun za kitanzania na zimesajiliwa kihali ndani ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania. Hazipati kazi kabisa rea na kutokea kukizana viongozi waliopo rea hasikilizi kabisa watanzia wenzao wanaegamia wa kapuni ngen kutuamisha nao maslahi hizo kampun.

Tunajitahidi kuchapa kazi Sana wananufaika kampun toka nnje na tukiwa maakini wakutupa.

Halikdhari tanesco nao hivyohivyo kuna kutupia jicho waandisi wangi wa tanesco wamekuwa na tamaa sana walikuwa wapekea mafungu kwa matengezo wakitoa kazi matengezo ya kwa pesa anayo mkono. Yeye anapanga Bei anayotaka yeye mh kazi ya kupambana nguzo ya umeme mhandishi. Yeye anamshara kila mwezi kazi nayofanya Mimi Kama yeye anavyofanaya kazi anataka apate Zaid wakati amekaa ofisi akuna alichokifanya ataka tugawane huu ni unyanyaji khaki za watu.

Tanesco hizi kazi na matengezo ya umeme wachiwe wahasi zitangazwe Kama tenda wenye waombe kihalali sio Kama ilivyo pamekuwepo udhurumaji mkubwa sana kwa kazi mda tanesco hata kwenye matengezo madogo umeme wakuwa tamaa Sana wahindisi ujenzi hata matengezo hata TAKUKURU wakifatilia hili watawakamta Hawa wandisi njaa.

Natakuliza shukuran maombi yetu mbele ya ofisi yako yafanziwa kazi

Na " kazi iendeleee "
 
Cc @mh.mama samia

Ila mtoa mada uwe unacheck mistakes ndogondogo za uandishi..barua kwa mh.rais sio kitu kidogo yafaa isiwe na typing errors zozote
 
Back
Top Bottom