Zito Kabwe, Kiongozi wa chama cha ACT amekuwa kimya kwa masuala makubwa yanayoikumba Tanzania, Tanganyika in particular. Kwa tunaomfahamu Zitto Kabwe na umahili wake wa kuchambua mambo ya kisiasa, kiuchumi n.k. leo hii amekuwa kimya katika suala la Bandari, Loliondo, Ngorongoro, katiba mpya with an exception of Tume huru ya uchaguzi huru ambayo infact haoni shida kuratibiwa na CCM!
1. Chama chake ACT uhai na uwepo wake unategemea Zanzibar, atampinga Samia katika haya anayoifanyia Tanganyika?
2. Wenzake wa chana chake huko zanzibar wanaunga mkono udhalimu unaofanyiwa Tanganyika na Samia na serikali yake, je atajitenga nao?
3. Akijitenga nao ACT si ndio kifo chake kisiasa na kifedha?
5. To crown it all, Zito ni mdini, sasa aegemee wapi? kwa Watanganyika wenzake ambao ni mchanganyiko wa wadini wenzake na wasio wadini wenzake au aegemee kwa mdini mwenzake Samia au wadini wenzake Waarabu? (appology for this observation)
Entangled in a Web of Conflict of Interest?
What is a Conflict of Interest? A conflict of interest occurs when an individual's personal interests – family, friendships, financial, or social factors – could compromise his or her judgment, decisions, or actions in the workplace. (from google)1. Chama chake ACT uhai na uwepo wake unategemea Zanzibar, atampinga Samia katika haya anayoifanyia Tanganyika?