Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Heshima kwenu wanajamvi, Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika. Rais wa awamu ya pili Mzee...
38 Reactions
348 Replies
27K Views
Tulitakiwa kushtushwa na mikataba ya Loliondo na Ngorongoro kabla ya huu wa bandari. Maeneo hayo ameshapewa mwarabu bure kabisa, Masai wamefukuzwa na wanafukuzwa japo walikataa na wanakataa. Kwa...
34 Reactions
84 Replies
7K Views
Habari wanajamii Kwa mujibu wa katiba yetu inayotumika hadi sasa ukomo wa kugombea nafasi ya urais ni miaka 10 kwa kila kiongozi ikiwa ni awamu mbili yaani uchaguzi wa raisi kila baada ya miaka...
3 Reactions
33 Replies
2K Views
MRADI WA UMEME WAKAMILIKA Wakazi 4,500 kunufaika na umeme wa gridi Makete, Njombe Tanzania. Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Nishati Lutheran (DKK) wakati wakiwasha mitambo ya umeme wa mradi huu...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Asalaam Aleykum wapenzi wana JF wenzangu. Kati ya vitabu vigumu kabisa kuvielewa ni pamoja na vitabu vya Hayati Shaaban Robert na Mkerewe mmoja aliyekuwa anaitwa Euphrase Kezilahabi (kwa sasa...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimekuwa nikimtetea Sana Rais Samia kwenye mambo mbalimbali. Hata kwenye issue ya DP world nilikuwa naona wanamuonea, nimesimama Daima kuona alifanya uamuzi sahihi Kwa hakika alikuwa na Kura...
94 Reactions
240 Replies
12K Views
Niyasemayo nikwakuwa katiba ya Tanzania inanipa mamlaka of free expression. Kutumia mabilioni kununua Ndege,pia bilions zimetengwa kununua Boeing kule America sio kipaumbele kwa taifa kwa sasa...
43 Reactions
262 Replies
22K Views
UVUVI ni shughuli kubwa ya Uchumi kwa jamii za watu wanaoishi kando ya bahari, mito na Maziwa. Mpaka sasa watu wanaojishughulisha na mnyororo wa thamani wa Uvuvi ni Takribani watu Milioni 4.5...
0 Reactions
2 Replies
507 Views
Mhesh Rais Samia ni wakati wa kuingilia suala la malipo ya fidia kwa wananchi wanaohamishwa eneo la Kipunguni na Kigilagila ili kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa JNIA. Ni miaka zaidi ya 15...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
"Wakati ule tunaanza kuagiza bidhaa nje ikiwemo magari, kwa mwaka 2010 dola tulikuwa tunanunua kwa shilingi 1530 mara ya kwanza kabisa wakati naanza kuagiza bidhaa nje ya nchi, baadaye ikapanda...
7 Reactions
37 Replies
5K Views
Mimi kama Mtanzania wa kawaida, ninayo haki na wajibu wa kukutana na kiongozi wangu yeyote na kubadilishana naye mawazo ili kujenge nchi yetu kwa pamoja. Mimi nimebehetika kukaa katika biashara...
1 Reactions
1 Replies
519 Views
"Picha na Video ziko chini ya Bandiko." Kitendo cha Spika Tulia Akson kumkalisha Chini na kuukataa mchango wa Mbunge wa Sengerema CCM Mheshimiwa Tabasamu wakati akitoa hoja yake kuhusu hujuma ya...
6 Reactions
47 Replies
3K Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 12, Kikao cha 9, leo Septemba 8, 2023. https://www.youtube.com/live/LESXSKjjWGg?si=4iBgpLPzLXEouZLk https://www.youtube.com/watch?v=-LGuLfNhFWE...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau, Nafikiri wengi tunakubaliana kwamba kukuza uchumi ni njia rahisi ya kuepuka tatizo la uhaba wa dollar na mfumuko wa bei unaoambatana nao. Hapa nitaeleza eneo moja la kisiasa kiutendaji...
2 Reactions
2 Replies
538 Views
Vigogo wako juu ya serikali awamu hii, wanatamba na kufanya wapendavyo. Na hakuna wa kufanya fyoko. Hakuna kigogo yeyote wa serikali, hata waliotajwa na CAG kuwa wamefuja mali za umma ambaye...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Nimeshangaa sana kusikia hilo maana huko Zanzibar watanganyika tunajulikama kama raia wa nchi nyingine. Cha kusikitisha wazanzibar huku bara wanaonekana ni kwao. Tafasiri ya harakaharaka hao...
11 Reactions
81 Replies
7K Views
Kwa upande wa Kimungu tunasema tumebarikiwa kwa upande mwengine tumenona nchi inarasilimali kila Kona,kwa vitu tulivyonavyo ni aibu kutuletea vichwa vya mitumba!. Kwa staili hii lazima tuwashike...
6 Reactions
8 Replies
665 Views
Tayari tumeingia kwenye tatizo kubwa la kiuchumi kama Nchi na tusipokuwa na maono makubwa ya jinsi ya kutoka hapo kwa kuwa na mipango ya muda mrefu na muda mfupi basi tumekwisha. Wataalam wetu...
0 Reactions
5 Replies
579 Views
Waziri wa Nishati January Makamba amemshukuru Rais Samia kwa kuwapa tsh 500bil kwa ajili ya ukarabati wa Miundombinu ya Umeme, jumla ya Fedha inayohitajika ni zaidi ya tsh trillion 1. Makamba...
9 Reactions
131 Replies
12K Views
Uelewa mdogo wa watu unachangia kwa hili kupotoshwa. Upinzani Tanzania unakuwa sana lakini sio kitu kibaya kwa nchi wala chama tawala. Kukuwa kwa vyama vya upinzani ni kukuwa kwa demokrasia na...
5 Reactions
9 Replies
698 Views
Back
Top Bottom