Je, ni kweli haya ndiyo matokeo ya royal tour au kuna namna tunapakana rangi?

Mlimani health center

JF-Expert Member
Nov 25, 2021
595
1,416
Sekta ya utalii Nchini Tanzania imeweka rekodi mpya ya mapato kwa mujibu wa ripoti ya ufanisi wa uchumi kwa mwezi September 2023 iliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT) iliyoonesha kuwa sekta hiyo imeingiza mapato ya Dola za Marekani Bilioni 3.07 kiwango ambacho hakijawahi kufikiwa katika historia ya sekta hiyo.

Rekodi hiyo ya ongezeko la mapato ya utalii imefanya mapato kwa ujumla kufikia USD Bilioni 5.6 kwa mwaka ulioshia August 2023 kutoka USD Bilioni 4.2 za kipindi kama hicho mwaka jana ambapo utalii umechangia USD Bilioni 3.07 ukifuatiwa na usafirishaji ambao umechangia USD Bilioni 2.09 huku sekta nyingine kwa pamoja zikichangia USD milioni 446.3.

Kwa mujibu wa ripoti hiyo sekta ya utalii imezalisha mapato mengi kutokana na kuimarika kwa sekta hiyo ( baada ya janga la corona na changamoto nyingine) ambapo Watalii wameongezeka nchini na kufikia 1,686,024 kutoka 1,279,211 mwaka jana.
 
Unaweza ku-paste sehemu ya ripoti hiyo?
 
Yes, hayo ni matokeo ya awali tuu ya Royo Tua!, lots of good things are going to happen!.

P
 
Unauliza makofi polisi?
 
Tuongeze kujitangaza, tukipata mkataba hata na Utd au Chelsea itakuwa bonge la deal an
 
Back
Top Bottom