Paul Makonda, right person at right time

The List

JF-Expert Member
Mar 25, 2017
1,728
4,899
Kwa hakika katika teuzi zilizo turufu na ambazo Rais ameziweza ni kumrudisha Mwamba ulingoni.

Kwa sie tunaojua kusoma alama za nyakati lilikuwa ni swala la muda tu.

Ni kitizama mijadara inayoendelea, gumzo kubwa limekuwa uteuzi wa Mwamba huyu. Hii dhahiri pasi shahiri kuwa Mh Raisi alichelewa sana tena sana.

Sina shaka na utendaji, uthubutu na utayari wa kupokea matokeo ya aina yeyote Ile ktk maamuzi yake.

Niseme tu hongera LE COMMANDANT na hongera kwa CCM.
 
Kwa hakika katika teuzi zilizo turufu na ambazo Mh Rais ameziweza ni kumrudisha Mwamba ulingoni.

Kwa sie tunaojua kusoma alama za nyakati lilikuwa ni swala la muda tu.

Ni kitizama mijadara inayoendelea, gumzo kubwa limekuwa uteuzi wa Mwamba huyu. Hii dhahiri pasi shahiri kuwa Mh Raisi alichelewa sana tena sana.

Sina shaka na utendaji, uthubutu na utayari wa kupokea matokeo ya aina yeyote Ile ktk maamuzi yake.

Niseme tu hongera LE COMMANDANT na hongera kwa CCM.

Mkuu kinyume chake ndio kweli kwa hujazingatia remote ilipo!
 
Kuteuliwa kwa Paul makonda Rais Samia eating sana
Rais wetu Samia amemkumbuka RC wetu wa Zamani
 
Back
Top Bottom