Watu wanne wenye uwezo wa kuikabili CHADEMA hadi ikaomba poo ni Makonda, Nchimbi, Happi na Sabaya

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,411
Vyuma vyote vilivyotengenezwa na Shujaa Magufuli vinarudi ulingoni kuongoza jahazi kuelekea Uchaguzi mkuu wa 2025,tuanze na the right hand man at the right time and place,jiwe walilolikataa waashi litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni,Safari imeanza.

Hatimae yametimia,upele umepata mkunaji,tunamfahamu makonda kama mpiga chapuo mkuu,akiamua kusifia mtu anasifia kweli kweli,hapa lazima chadema wakimbie hadi vimvuli vyao maana kaja mwamba mwenyewe anayezijuwa siasa za nchi hii na mwenye kujiamini kama komandoo wa vita.

CHADEMA haina sera kwa sasa, walitegemea bandari na hata sasa operation yao ni bandari, sasa suala la bandari limeisha itabidi waje upya na operation nyingine mana ile 255 waliyotembea nayo imezikwa kilazima,

Shida ya pili ni kuwa Makonda anaonekana ni mtu wa Sukuma Gang,kwa hiyo kwa watu wa JPM jamaa ni hero wao hivyo utaona jinsi ambavyo watu wa JPM watavyompokea sana kwa nguvu, so utaona bado anakuja kuleta shida kwa CHADEMA ambao wao walitegemea team JPM wawapende,na tunakoenda usikute Polepole akarejeshwa ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025 na hilo ndo litakuwa Pigo la mwisho kwa CHADEMA mana wanategemea mpasuko ndani ya CCM uwabebe lakini mpasuko umeshindwa,

Je yupo mtu wa kujibizana na Makonda,CHADEMA Kuna mtu wa kujibizana naye kweli? kaka yao Lissu Kila siku yuko zake Ulaya kula Robertson! huku akijisifia watoto wake kuzaliwa George Town,Marekani akiapa waje kugombea urais Marekani,huyu ndio Makamu wao taifa,mwenye hamu na Marekani akirudi Tanzania anasema yeye Mzalendo,ha ha idiot
 
.

Vyuma vyote vilivyotengenezwa na Shujaa Magufuli vinarudi ulingoni kuongoza jahazi kuelekea Uchaguzi mkuu wa 2025,tuanze na the right hand man at the right time and place,jiwe walilolikataa waashi litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni,Safari imeanza.

Hto wake kuzaliwa George Town,Marekani akiapa waje kugombea urais Marekani,huyu ndio Makamu wao taifa,mwenye hamu na Marekani akirudi Tanzania anasema yeye Mzalendo,ha ha idiot
Kwa vile ni makatili, mauaji
 
Screenshot_20231022-175343.png
 
.

Vyuma vyote vilivyotengenezwa na Shujaa Magufuli vinarudi ulingoni kuongoza jahazi kuelekea Uchaguzi mkuu wa 2025,tuanze na the right hand man at the right time and place,jiwe walilolikataa waashi litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni,Safari imeanza.

Hatimae yametimia,upele umepata mkunaji,tunamfahamu makonda kama mpiga chapuo mkuu,akiamua kusifia mtu anasifia kweli kweli,hapa lazima chadema wakimbie hadi vimvuli vyao maana kaja mwamba mwenyewe anayezijuwa siasa za nchi hii na mwenye kujiamini kama komandoo wa vita.

Chadema haina sera kwa sasa, walitegemea bandari na hata sasa operation yao ni bandari, sasa suala la bandari limeisha itabidi waje upya na operation nyingine mana ile 255 waliyotembea nayo imezikwa kilazima,

Shida ya pili ni kuwa Makonda anaonekana ni mtu wa Sukuma Gang,kwa hiyo kwa watu wa JPM jamaa ni hero wao hivyo utaona jinsi ambavyo watu wa JPM watavyompokea sana kwa nguvu, so utaona bado anakuja kuleta shida kwa CHADEMA ambao wao walitegemea team JPM wawapende,na tunakoenda usikute Polepole akarejeshwa ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025 na hilo ndo litakuwa Pigo la mwisho kwa CHADEMA mana wanategemea mpasuko ndani ya CCM uwabebe lakini mpasuko umeshindwa,

Je yupo mtu wa kujibizana na Makonda,CHADEMA Kuna mtu wa kujibizana naye kweli? kaka yao Lissu Kila siku yuko zake Ulaya kula Robertson! huku akijisifia watoto wake kuzaliwa George Town,Marekani akiapa waje kugombea urais Marekani,huyu ndio Makamu wao taifa,mwenye hamu na Marekani akirudi Tanzania anasema yeye Mzalendo,ha ha idiot
Watanzania mna akili ndogo sana kwenye analysis za vitu... zaidi ya ngono na pombe wengi wenu hamna akili.

Hao watu sio relevant kwa siasa za sasa za majukwaani zaidi ya walivyokua wakitumika na wenye msmlaka kutimiza malengo yao...

Nape alikua na nguvu huko CCM akitumika na mwenyekiti kumshambulia Lowassa... nje ya CCM Nape alikua takataka mbele ya Chadema na Upinzani.

Nchimbi alionekana wa maana na kijogoo ndani ya CCM akitumika na wanamtandao baada ya hapo ni takataka tu mbele ya Chadema!

Huyo Makonda, Sabaya,Happi wote waliokuwepo kwenye CCM ile ya JK iliyokua ikizama Baharini na hawakuweza kubadili lolote.

Watu waliotumika kwenye makundi ya kihalifu na dola unawaweka kwenye mizani yakushindana siasa za Majukwaani zinazotaka akili na mipango?
 
Mimi sielewi, hivi lile tamko la kudhurumu uhai wa watu lililotolewa na Marekani lilifutwa lini? kama bado lipo, ccm watalikabili vipi kimataifa maana wamarekani walisha sema huyu Makonda ni dhulumati wa maisha ya watu.
 
Swala hapa ni Bandari kwanza , hawa unawataja , jana sio leo , mbuzi atachinjwa alivyolala,
 
Hapo ndo mtakuwa mmemaliza matatizo yanayo wakabili wananchi?
Wanachi wanapongeza, hakuna sehemu Rais amefanya ziara akalalmikiwa, wabunge, mawaziri na wanyonge wote wamepongeza.
Labda kama wajua kuna tatizo pahala tujuze afikishiwe.
 
Mimi sielewi, hivi lile tamko la kudhurumu uhai wa watu lililotolewa na Marekani lilifutwa lini? kama bado lipo, ccm watalikabili vipi kimataifa maana wamarekani walisha sema huyu Makonda ni dhulumati wa maisha ya watu.
Lipo pale pale.
 
Watanzania mna akili ndogo sana kwenye analysis za vitu... zaidi ya ngono na pombe wengi wenu hamna akili.

Hao watu sio relevant kwa siasa za sasa za majukwaani zaidi ya walivyokua wakitumika na wenye msmlaka kutimiza malengo yao...

Nape alikua na nguvu huko CCM akitumika na mwenyekiti kumshambulia Lowassa... nje ya CCM Nape alikua takataka mbele ya Chadema na Upinzani.

Nchimbi alionekana wa maana na kijogoo ndani ya CCM akitumika na wanamtandao baada ya hapo ni takataka tu mbele ya Chadema!

Huyo Makonda, Sabaya,Happi wote waliokuwepo kwenye CCM ile ya JK iliyokua ikizama Baharini na hawakuweza kubadili lolote.

Watu waliotumika kwenye makundi ya kihalifu na dola unawaweka kwenye mizani yakushindana siasa za Majukwaani zinazotaka akili na mipango?
Inafikirisha!
 
.

Vyuma vyote vilivyotengenezwa na Shujaa Magufuli vinarudi ulingoni kuongoza jahazi kuelekea Uchaguzi mkuu wa 2025,tuanze na the right hand man at the right time and place,jiwe walilolikataa waashi litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni,Safari imeanza.

Hatimae yametimia,upele umepata mkunaji,tunamfahamu makonda kama mpiga chapuo mkuu,akiamua kusifia mtu anasifia kweli kweli,hapa lazima chadema wakimbie hadi vimvuli vyao maana kaja mwamba mwenyewe anayezijuwa siasa za nchi hii na mwenye kujiamini kama komandoo wa vita.

Chadema haina sera kwa sasa, walitegemea bandari na hata sasa operation yao ni bandari, sasa suala la bandari limeisha itabidi waje upya na operation nyingine mana ile 255 waliyotembea nayo imezikwa kilazima,

Shida ya pili ni kuwa Makonda anaonekana ni mtu wa Sukuma Gang,kwa hiyo kwa watu wa JPM jamaa ni hero wao hivyo utaona jinsi ambavyo watu wa JPM watavyompokea sana kwa nguvu, so utaona bado anakuja kuleta shida kwa CHADEMA ambao wao walitegemea team JPM wawapende,na tunakoenda usikute Polepole akarejeshwa ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025 na hilo ndo litakuwa Pigo la mwisho kwa CHADEMA mana wanategemea mpasuko ndani ya CCM uwabebe lakini mpasuko umeshindwa,

Je yupo mtu wa kujibizana na Makonda,CHADEMA Kuna mtu wa kujibizana naye kweli? kaka yao Lissu Kila siku yuko zake Ulaya kula Robertson! huku akijisifia watoto wake kuzaliwa George Town,Marekani akiapa waje kugombea urais Marekani,huyu ndio Makamu wao taifa,mwenye hamu na Marekani akirudi Tanzania anasema yeye Mzalendo,ha ha idiot
Sabaya nae yuko jikoni. Soon anakuwa introduced.
Kama alisafishwa EL kwa dodoki, huyu tunafuta tu vumbi
 
Hao wote hakuna anayeweza siasa za ushawiwishi zaidi ya mbeleko ya vyombo vya Dola. Kushinda cdm kwa ushawishi wa kisiasi hilo limeshashindikana. Na hiyo unayosema kuelekea uchaguzi wa 2025, kwani ccm inategemea kutangazwa washindi kwa kura halali? Hao ni wapiga kelele tu, lakini tegemeo halisi ni vyombo vya Dola.

Isitoshe Tanzania hakuna uchaguzi bali maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura.
 
Back
Top Bottom