Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwigulu Nchemba amependekeza kwenye Sheria mpya ya Manunuzi Serikali inunue Ndege, Vichwa vya Treni, Mabehewa ya Treni, Meli zilizotumika badala ya kuagiza mpya na wabunge wanasherehekea bungeni...
16 Reactions
83 Replies
8K Views
Nchi ya Nambara ilikuwa na historia ya kipekee. Iliyokuwa mara moja nchi yenye changamoto nyingi za kiuchumi, sasa ilikuwa nchi inayojulikana kwa maendeleo na ustawi wa kijamii. Kauli mbiu ya nchi...
3 Reactions
15 Replies
939 Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba (Mb.) amekutana na kuzungumza na Waziri wa Viwanda na Tekinolojia ya Juu wa Serikali ya Umoja wa Falme za Kiarabu, Sultan...
1 Reactions
87 Replies
9K Views
1. Wapinzani wakipiga kelele kuhusu serikali wanaitwa ikulu wanaongea wanapiga picha wananchi tunatulia 2. Hoja za bungeni zinaachwa ziongelewe wananchi wanafatilia wananyamaza 3. Mengine...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Mungu wa mbinguni akanena na Mussa akampa Amri 10. Amri ya 2 inasema Usijifanyie Sanamu ya Kuchonga Ukaiabudu. Kiukweli pale Lumumba Amri ya 2 inavunjwa zaidi na wale Chawa. Nawatakia Dominica...
2 Reactions
5 Replies
782 Views
WAKILI MWABUKUSI ANATAKA MKUU WA MAJESHI AZUIE UVUNJIFU WA KATIBA. "Nchi inaongozwa kwa mujibu wa sheria na katiba. Kazi ya kukamata wa halifu ni ya Jeshi la Polisi. Jeshi la wananchi halina...
146 Reactions
341 Replies
24K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro ameshiriki katika mbio za Ruangwa Marathon ambazo ziliongozwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa...
0 Reactions
1 Replies
506 Views
Kuna Kitabu cha Hayati Mwl. Nyerere kinaitwa UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA, 1994. Inasemekana baada ya Mwl kutokuridhika na Uongozi wa CCM miaka ya 90 wakati wa Rais Mstaafu Ali Hassan...
5 Reactions
36 Replies
2K Views
Mwezi Juni 2023 mafuta kwenye soko la dunia yalikuwa 70 USD, mwanzo wa mwezi Septemba yamefika 90 USD. Inakadiriwa kufikia mwisho wa mwaka huu pipa litakuwa 120 USD bei iliyokuwepo kabla ya janga...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za mwisho tokea eneo la tukio kumhusu mwamba huyu nguli wa siasa: "Yeye na wenziwe walikuwa wamefunga njia. Hapiti mtu kwani hata hao wamezuiwa isivyo halali." Sasa kitengo chetu cha...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu, Lissu ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kufuatia kuzuiliwa kwake na timu yake kufanya mikutano Ngorongoro, amesema kwamba kisa cha Wabunge wa Ulaya kuzuiliwa kuingia...
10 Reactions
24 Replies
4K Views
Katibu Mkuu,Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi,Vijana,Ajira na Wenye ulemavu,Mhandisi Cyprian Luhemeja,amesema gharama za fidia zimeongezeka kutoka Sh13.19 bilioni kwa kipindi kilichoishia Juni 2021 hadi...
0 Reactions
0 Replies
622 Views
Napendekeza TAMISEMI wangeanzisha mfumo wa kubadilishana vituo vya kazi yaan kuwe na mfumo ambao unawatambua watumish wote na vituo vyao vya kazi kwa kila idara halafu watumushi waweze kuutumia...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Serikali siku zote imekuwa ikiwambia wananchi maneno matamu kuhusu treni ya umeme lakini hadi sasa utekelezaji wake umekuwa haueleweki, serikali imesubiri wananchi wapige kelele na msigwa aje...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Kinacho endelea Loliondo sina hakika kama kabila la Wamasai wanapewa heshima yao Loliondo ni ardhu ya babu zao ni malalo ya babu zao katika kuondolewa kwao nilitegemea itumike diplomasia zaidi na...
1 Reactions
1 Replies
429 Views
Nina mwamini sana Warioba na nilidhani angefikiria kuhamia Chadema , lakini kupanga mipango ya kuhamia ACT naona atakua anapoteza muda. Siwaelewi chadame lakini kwa significance ya kuhamia...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Huu mtiti wa Wamasai ndio sababu kubwa ya kuzuia Tundu Lissu kuingia tarafa ya Ngorongoro Hii ni Kata ya Enduleni kabla ya kuelekea Ngorongoro . Kilichofuata ni kukusanywa kwa haya majani ya...
22 Reactions
31 Replies
4K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , ambaye yuko Ngorongoro kwa ziara ya kikazi , na ambaye amezuiliwa kuendelea na ziara hiyo kinyume cha sheria za nchi , kwa lengo la kuwalinda Waarabu ili...
15 Reactions
57 Replies
8K Views
Mheshimu sana kiongozi anayeongea bila kusoma mahali... Baba wa Taifa alikuwa na maono ya Mbali sana. Nafikiri tutazidi kujifunza kutoka kwake for years. Utafakiri alikuwa analijua hili la DPW...
1 Reactions
6 Replies
549 Views
Nikifuatilia jinsi watanzania wanavyozidi kuichukia ccm basi naamini kuwa ipo siku ccm itashindwa jinsi ya kuiba kura. Ilianza kule Mtwara juzi juzi wananchi wakarudisha kadi zao za ccm na...
8 Reactions
47 Replies
2K Views
Back
Top Bottom