Siku Tanzania tukifika hata theluthi(1/3) ya seriousness katika uongozi waliyo nayo Singapore na China tutafika mbali sana

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,028
12,351
Namna taifa letu tunavyo liendesha ni kama wagonjwa wa akili.

Mambo ni hovyo hovyo watu hovyo hovyo wanapewa madaraka makubwa ya kujenga nchi.

Uongozi sio nguo ya ndani kwamba kila mtu lazima avae.

Tunafanya mchezo kabisa katika kujenga nchi siku tutakapo amua kuiga hata theluthi (1/3) ya kiwango cha seriousness walicho nacho Singapore na China katika kupata viongozi na kujenga nchi hakika tutakuwa Giant of Africa.
 
Wenzetu uongozi ni jambo nyeti sana linalo hitaji umakini wa hali ya juu sio jambo la kuchukulia mchezo
 
Viongozi tulio nao sisi hapa nchini hawawezi kuwa hata wenyeviti wa vijiji huko kwenye hizo nchi mifumo itawakataa mapema kabisa.
 
Namna taifa letu tunavyo liendesha ni kama wagonjwa wa akili.

Mambo ni hovyo hovyo watu hovyo hovyo wanapewa madaraka makubwa ya kujenga nchi.

Uongozi sio nguo ya ndani kwamba kila mtu lazima avae.

Tunafanya mchezo kabisa katika kujenga nchi siku tutakapo amua kuiga hata theluthi (1/3) ya kiwango cha seriousness walicho nacho Singapore na China katika kupata viongozi na kujenga nchi hakika tutakuwa Giant of Africa.
Tutafika kama CCM ikifurushwa madarakani, watu wote wenye damu ya CCM, inabidi wafurushwe.
Sasa Rais kilaza, ukitaka kujua level ya u kilaza wake, angalia teuzi zake,
Sasa MTU Sofia mjema, ana kuwa mshauri wa Mambo ya wana wake, kwa CV IPI aliyonayo, huyu anafaa kuwa mwenyekiti wa vikoba, mama anapenda azungukwe na wenye akili ndogo, anaogopa akili kubwa, baada ya kumteua MTU kama Balozi Mulamura! MTU mwenye Uzoefu wa kimataifa, diplomat, unateua kilaza MTU asie kuwa hata na degree moja ya UDSM(Harvard ya bongo).
So pathetic.
 
Back
Top Bottom