Siku Tanzania tukifika hata theluthi(1/3) ya seriousness katika uongozi kama waliyo nayo Singapore na China hakika tutafika mbali sana

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,028
12,353
Namna taifa letu tunavyo liendesha ni kama wagonjwa wa akili.

Mambo ni hovyo hovyo watu hovyo hovyo wanapewa madaraka makubwa ya kujenga nchi.

Uongozi sio nguo ya ndani kwamba kila mtu lazima avae.

Tunafanya mchezo kabisa katika kujenga nchi siku tutakapo amua kuiga hata theluthi (1/3) ya kiwango cha seriousness walicho nacho Singapore na China katika kupata viongozi na kujenga nchi hakika tutakuwa Giant of Africa.
 
Nyie raia wenyewe mnashida bar mitandaoni mnategemea kupata viongozi seroous kweli? Elimu mlishaiua, mtoto anamaliza darasa la saba hata hajui kuandika na kusoma.
 
Wenzetu uongozi ni jambo nyeti sana linalo hitaji umakini wa hali ya juu sio jambo la kuchukulia mchezo
 
Viongozi tulio nao sisi hapa nchini hawawezi kuwa hata wenyeviti wa vijiji huko kwenye hizo nchi mifumo itawakataa mapema kabisa.
 
Back
Top Bottom