Watu wanne wenye uwezo wa kuikabili Chadema hadi ikaomba poo,ni Makonda,Nchimbi,Happi na Sabaya.

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
950
2,866
Vyuma vyote vilivyotengenezwa na Shujaa Magufuli vinarudi ulingoni kuongoza jahazi kuelekea Uchaguzi mkuu wa 2025,tuanze na the right hand man at the right time and place,jiwe walilolikataa waashi litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni,Safari imeanza.

Hatimae yametimia,upele umepata mkunaji,tunamfahamu makonda kama mpiga chapuo mkuu,akiamua kusifia mtu anasifia kweli kweli,hapa lazima chadema wakimbie hadi vimvuli vyao maana kaja mwamba mwenyewe anayezijuwa siasa za nchi hii na mwenye kujiamini kama komandoo wa vita.

Chadema haina sera kwa sasa, walitegemea bandari na hata sasa operation yao ni bandari, sasa suala la bandari limeisha itabidi waje upya na operation nyingine mana ile 255 waliyotembea nayo imezikwa kilazima,

Shida ya pili ni kuwa Makonda anaonekana ni mtu wa Sukuma Gang,kwa hiyo kwa watu wa JPM jamaa ni hero wao hivyo utaona jinsi ambavyo watu wa JPM watavyompokea sana kwa nguvu, so utaona bado anakuja kuleta shida kwa CHADEMA ambao wao walitegemea team JPM wawapende,na tunakoenda usikute Polepole akarejeshwa ndani ya CCM kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025 na hilo ndo litakuwa Pigo la mwisho kwa CHADEMA mana wanategemea mpasuko ndani ya CCM uwabebe lakini mpasuko umeshindwa,

Je yupo mtu wa kujibizana na Makonda,CHADEMA Kuna mtu wa kujibizana naye kweli? kaka yao Lissu Kila siku yuko zake Ulaya kula Robertson! huku akijisifia watoto wake kuzaliwa George Town,Marekani akiapa waje kugombea urais Marekani,huyu ndio Makamu wao taifa,mwenye hamu na Marekani akirudi Tanzania anasema yeye Mzalendo,ha ha idiot.
 
CCM NI SIKIO LA KUFA📌📌

Mnapata wapi ujasiri wa kumrudisha Makonda kwenye system ya uongozi tena?
Hii ni aibu mpaka kwa mataifa mengine kuona tz imekosa watu mahiri wa kuongoza taifa hili.
Huyu mwenyewe tuhuma za kuvunja haki za binadamu ndio awe kiongozi.
Huyo murderer hafai ❌
 
Veve swahili naunga hoja vako kono sisi vaindi hapana penda kabisa bashite
 
Labda kama unaongelea kuikabili chadema kwa kutumia dola. Lkn kwa kutumia hoja watu sahihi ni:-

*Polepole.
*Lusinde (Kibajaji)
*Nchimbi.
*Nape.
 
Lusinde hanaga hoja za kisomi ila ni muhimu sana kwa kuwavuruga kisaikolojia kina Mbowe kwa maneno ya karaha kwasababu nao wana midomo michafu mno
 
CCM NI SIKIO LA KUFA📌📌

Mnapata wapi ujasiri wa kumrudisha Makonda kwenye system ya uongozi tena?
Hii ni aibu mpaka kwa mataifa mengine kuona tz imekosa watu mahiri wa kuongoza taifa hili.
Huyu mwenyewe tuhuma za kuvunja haki za binadamu ndio awe kiongozi.
Huyo murderer hafai ❌
Kumbe unazungunzia tuhuma, ingekuwa amevunja haki za binadamu sawa.... Tuhuma haziathiri chchte kwa mtu jasiri.
 
Back
Top Bottom