Nimefanikiwa kutembelea Bunge letu hivi karibuni wakati vikao vinaendelea.
Nilikuwa na issue ya kiofisi, niwaambie Watanzania wenzangu. Ofisi za Bunge la Tanzania ni mfano wa kuigwa kwa ofisi...
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Kama ilivyo ada au desturi, leo nimekuja na maono mengine ambayo nina amini hapo kabla Hakuna aliewahi kuwa nayo. Maono yenyewe ni kuhusu namna John P. Magufuli...
8Video Clip ipo Chini"Mwigulu Kama Makamba na Nape! Wanasaka za Uchaguzi (ndoto za Urais)"
Jana, 08/09/2023 huko Dodoma Serikali kupitia Bunge lake ilipitisha sheria mpya ya manunuzi ya serikali...
Kuna Mambo ukiangalia utagundua Chadema ni werevu zaidi ya CCM.
Masikitiko ni kwamba CCM ni chama kikongwe kina wataalamu wa kila aina lakini mipango yao ni ya hovyo sana.
Je wataalamu na...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye swali, hoja, kisha majibu utatoa wewe msomaji mwenyewe.
Kuna msemo wa Kiswahili usemao...
Wanabodi,
Naandaa makala ya kuuliza tuuhitimishe vipi mjadala wa IGA ya Bandari yetu na kampuni ya DPW ya Dubai, kabla ya HGA ya Bandari na DPW haijasainiwa?. Jee Tuitishe mdahalo wa wazi, the hot...
Wanabodi,
Hili ni bandiko la kitu kinachoitwa critical thinking, kama wewe sio critical thinker, nakushauri pita mbali na bandiko hili.
Angalizo la Uzalendo
Watanzania ni watu wa kuridhika...
Katika pitia pitia za Speech za President nimeona hilo. Limenihuzunisha, limetutukanisha, limetushushia hadhi, limezua maswali, limeonesha poor diplomatic experience and expertise ya viongozi...
Wanabodi
Hii IGA ya DPW Imetusaidia sana kujua mambo mengi, sio tuu imetusaidia kutuonyesha matundu kwe paa la nyumba yetu kwa kutuonyesha panapovuja, pia umetufungua macho kuona tuna wanasheria...
Sakata la Bandari na kashifa nyingine zinaziendelea kuibuliwa kama hii ya kuwapa Waarabu hifadhi za misitu yetu na nyinginezo kama ya Ngorongo, zinakwenda kuimalliza vibaya CCM pamoja na mgombea...
Habari za maisha wakuu,
Natamani nipate andiko ambalo limeorodhesha taasisi zote za serikali na binafsi, wakala, mamlaka, NGO'S Na vyama ili nijue dhima yake Na mambo inayosimamia.
Nimechungulia...
Naandika nikiwa na masikitiko kwa kiwango cha wanasiasa wetu, hata wae wanaoingia Bungeni.
Kiwango cha wledi wa kujenga hoja na kutetea ni kama hakipo.
Tulikuwa na wanasisa mahiri kama Mwalimu...
Kati ya mambo ambayo hufanya jeshi la polisi na polisi wa wetu wa Tanzania kudharaulika na kuonekana limejaza watu wasio na weledi au weledi mdogo, ni pale linapofanya mambo kinyume cha sheria, au...
-BABA MZAZI WA JAJI WA MAHAKAMA KUU ALIYEHAMIA MSOMERA AFUNGUKA
Mzee Isaya Laltaika baba mzazi wa Jaji wa mahakama kuu DKT. Eliamani Isaya Laltaika ambaye ni pacha wa mhadhiri mwandamizi wa...
Hata Mimi najiuliza ni nani aliyependekeza eti mikataba yote ya kuanzia thamani ya Bilioni 50 ipelekwe kujadiliwa Bungeni.
Hilo pendekezo ni ujinga mwingine,badala ya kuongeza Ufanisi na...
Bila Chadema maisha ya Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (ccm) ni ya tabu mno, Ili Ccm Iwalipe fadhila ama Fedha, au cheo Vijana hawa (machawa) ni lazima wawe na Hoja za kuikejeli na kuitukana Chadema...
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, imekubaliana na maombi ya rufaa ya Wakili wa kujitegemea, Peter Madeleka na kumpatia dhamana.
Uamuzi huo umetolewa leo Ijumaa Septemba 9,2023 na Kaimu Naibu Msajili...
Akizungumza kupitia mjadala kwenye mtandao wa kijamii, Tundu Lissu amesema CCM wamekataa maridhiano, kwasababu CHADEMA ilipeleka mapendekezo mazuri juu ya kila kitu kinachohitajika kufanyika ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.