Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 1,914
- 6,017
Mh. Stergomena Tax anaweza akaingia kwenye vitabu vya kumbukumbu kama mwanamke pekee kuwahi kushika wizara nyeti ya Ulinzi.
Baada ya kuondolewa hyo jana, ambapo amehudumu kwenye wizara hiyo kwa mwaka mmoja tu nafikiri Rais Samia ashaona kuna wizara sio za kufanya majaribio ya kuwaweka "Wabeijing"
Kwa mantiki hiyo, sidhani kama nitakuja kuona tena Waziri wa Ulinzi akiwa Mwanamama. Dr. Stergomena ametoa funzo kwa watawala.
Nihitimishe na wale waliokuwa wanapiga kelele kila siku hapa jukwaani eti IGP au CDF ajaye awe mwanamke eti kwakuwa Rais ni mwanamke. Hiyo kitu kwasasa haiwezekani kuna mambo muhimu sio ya kuleta usawa wa kijinsia.