Nimeona mahali fulani Rais Mstaafu akisema tunakwama wapi hadi sasa kuna walimu wa daraja la 3A.
Yeye akifikiri kuwa suala hilo ni mindset tu ya watunga sera lakini ni suala linalowezekana.
na...
Tanzania ina idadi ya vituo takribani 2,500 ambavyo kwa siku moja vinauza mafuta lita milioni 11-15.
Vituo hivi vya mafuta vimegawanyika katika aina kuu tatu:-
1. Vituo vidogo vya watu binafsi...
Seke seke la bandari linaficha mengi na makubwa yanayoendelea CHADEMA.
Nawaomba msichangie kwa mihemko , leo nawapa starter hii hapa chini.
Lema ana ugomvi mkubwa sana na viongozi wake ndani ya...
Kuna majimbo ambayo tunapaswa kuwainua wananchi kwa kuwapelekea sukari na maziwa na majimbo ambayo tunapaswa kupeleka miradi kuboresha miundombinu hili uzalishaji ukue
Jimbo la kawe ni jimbo la...
Watanzania ni watu wagumu sana kuwaelewa!
Ni watu wanafiki kupindukia katika bara la Afrika huenda tunaongoza!
Watu wamedondoshwa!
Tukaishia kukusanya madumu ya machozi!
Meli zinatengenezwa...
Ya kwamba Lissu yuko korokoroni, kwa makosa gani sasa Ya-Rabi?
Lissu si ndiye huyu?
Tutupie video zake kama kumbukumbu za mwana wa nchi hii aliye mzalendo kweli kweli.
Lissu hapaswi kuwa...
Katika moja ya mikutano ya wanaharakati na wasomi (nimepoteza clip) lakini Ulimwengu alisema maneno haya:
"Kwa miaka mitano nchi hii imepitia kipindi kigumu mno maana alikuwepo mtu pale kwenye...
Sheria zetu zinatamka wazi kuwa mtu anayesaidia uhalifu kutendeka, ni mhalifu.
Sasa tuna chama ambacho uovu wake dhidi ya wananchi hauelezeki, na kuna watu ama wanakiunga mkono kwa kuwa wanachama...
Polisi wamekataza mikutano yetu ya hadhara Ngorongoro. Juzi Serikali ya Samia imekataza wabunge wa Ulaya kutembelea eneo hilo. Wanaficha kitu gani? Licha ya jitihada za Serikali, Ngorongoro sio...
Nchi za SADC na EAC zina mfumo wa kidemokrasia na zinatumia katiba somehow inayoendana na Tanzania. Zina sheria na kuna wapinzani ambao baadhi yao wameweza hadi kuongoza nchi mfano Zambia.
Lakini...
Ngorongoro si gereza.
Kamata kamata inayoendelea huko haina tija kwa Taifa hili:
Zaidi sana inaiweka serikali hii matatani.
"Haya ni ya kukemea bila kujali itikadi."
Haki za kila mtu...
Nawahakikishia hivyo, kwa sababu kati ya watu waliofanya tafiti kuhusu utawala wa JPM na uliopo sasa, miongoni mwao na mimi nimefanyia utafiti huo
Nasema ukweli wa moyo! Sio kanda ya ziwa tu...
Utawala wa Mabavu ni Ule unaoingia madarakani kwa Nguvu na kutupilia Mbali misingi ya Demokrasia na Utawala bora
Tanzania hatujawahi kupitia Utawala wa namna hiyo
Nawatakia Dominica Njema 😄
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Akutana Na Profesa J Nyumbani Kwake KaweHomeHabari
HABARI
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Akutana Na Profesa J Nyumbani Kwake Kawe
LAST UPDATED...
Habari wana JF.
Huyu wakili msomi Mwabukusi namwona kama mbadala wa Hayati JPM.
Japo tofauti na Magufuli, Mwabukusi ni mkali zaidi halafu wakati huo huo ni mpole, mnyenyekevu na mwenye huruma...
Kama ni kusali nenda kasali ukipewa nafasi ya kusalimia waumini toa fungu la biblia au msitari wa Quran lkn ukianza kuongelea siasa au kuwananga wanasiasa kwenye kibweta na wewe unaingiza siasa...
Ndugu zangu Watanzania,
Leo Rais wetu mpendwa jasiri muongoza njia ,shujaa wa Afrika,Nuru ya wanyonge, Taa ya Taifa,mboni ya nchi,komandoo imara,Jasusi aliyetukuka ,Simba wa Vita ,mama Wa...
Tatizo kubwa kwa sasa nchini Tanzania ni uhaba wa wanasiasa wakweli, waadilifu na wazalendo kwa nchi yao.
Hivyo kuna kundi kubwa sana la watanzania ambao hawajui hata washike wapi au wamuamini...
Sheikh Mussa Kundecha asimulia kashikashi nyingi alizopitia akiwa mwanaharakati Tanzania
https://m.youtube.com/watch?v=rDaa_3GLI2Y&
Kiongozi wa Baraza Kuu la Jumuiya na Taasisi za Kiislamu...