Mbowe asipotoshe, Tanzania haijawahi kuwa na Utawala wa Mabavu!

Utawala wa Mabavu ni Ule unaoingia madarakani kwa Nguvu na kutupilia Mbali misingi ya Demokrasia na Utawala bora

Tanzania hatujawahi kupitia Utawala wa namna hiyo

Nawatakia Dominica Njema 😄

F5qZCaiXEAEMnK2.jpeg
 
Utawala wa Mabavu ni Ule unaoingia madarakani kwa Nguvu na kutupilia Mbali misingi ya Demokrasia na Utawala bora

Tanzania hatujawahi kupitia Utawala wa namna hiyo

Nawatakia Dominica Njema 😄
Hivi, ili utawala uitwe wa mabavu, NI NAMNA MADARAKA YALIVYOPATIKANA AU NAMNA WANAVYOYATUMIA MADARAKA WALIYONAYO BAADA YA KUYAPATA..!!???
 
Fafanua maana ya mabavu,tukuelewe.
Mabavu ni kama huko Niger

Sasa Fikiria Wapinzani wanaukubali kushiriki Uchaguzi ambao kikatiba Wakurugenzi ambao ni makada wa CCM ndio Wasimamizi wa Uchaguzi

Sasa hizo ni akili.au matope?
 
Je Afrika mashariki umewahi tokea wapi🤔
 
Utawala wa Mabavu ni Ule unaoingia madarakani kwa Nguvu na kutupilia Mbali misingi ya Demokrasia na Utawala bora

Tanzania hatujawahi kupitia Utawala wa namna hiyo

Nawatakia Dominica Njema 😄
Kuna walioingia madarakani kibabe lakini wakaishia kuwa viongozi bora. Na kuna walioingia madarakani kwa namna nyingine lakini wakaishia kusababisha majuto kwa wengi.
 
Back
Top Bottom