Mzee Jakaya Kikwete akutana na kufanya mazungumzo na Profesa Jay

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,553
11,885
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Akutana Na Profesa J Nyumbani Kwake KaweHomeHabari

HABARI

Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Akutana Na Profesa J Nyumbani Kwake Kawe

LAST UPDATED SEP 10, 2023
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete Septemba 09, 2023 ametembelewa na aliyekuwa Mbunge wa Mikumi ambaye pia ni msanii mkongwe wa Bongo Fleva Joseph Haule maarufu kama Profesa J nyumbani kwake Kawe jijini Dar es salaam.

“Ni furaha iliyoje kumuona afya yake imeimarika.Hakika Mungu ni mkubwa”, amesema Dkt Kikwete wakati akiongea na msanii huyo aliyeugua kwa muda mrefu kabla ya kupata nafuu baadae.

JK.jpg

Eti huyu mzee alikuwa wapi siku zoote asimkumbuke Prof Jay hadi leo ambapo wamemkamata makamu mwenyekiti wa chama cha Prof Jay Chadema?
 
Ukweli usemwe kikwete ndiye anayeiharibu Tanzania

Mtakumbuka kwamba alitaka kuuza ngorongoro wakati wake ila jumuiya ya ulaya ilimkaba shati kwasababu alikuwa western darling

Nadhani anamalizia viporo alivyoviacha awamu ya nne kwasasa
 
Kwa taarifa yako tayari Samia kwa msaada wa Kikwete tayari walikwishaiuza hoteli ya kitalii iliyokuwa ikijulikana maarufu Ngorongoro Wildlife Lodge.

Kwa mmiliki wa ile hotel ya serengeti maarufu kama Bilira Lodge baadae ikawa Birila Kempinski na hatimae sasa ni 4SEASONS Serengeti.
Ambapo Kikwete pia alipewa hisa huko.
Mmiliki huyo ambaye ni nwarabu ila anakodisha hotel zake kwa makampuni ya Magharibi.

Pia ndiye mmiliki wa hoteli za kitalii maarufu Serenget Melia, Grant Melia na sasa Melia Ngorongoro ambayo imefunguliwa nwezi wa sita mwaka huu.
Na Mama akiwa mmojawapo wa wana hisa wa hotel hiyo.
 
Back
Top Bottom