Wakili Msomi Mwabukusi ni Mbadala wa Hayati Magufuli

Burkinabe

JF-Expert Member
Feb 12, 2023
1,892
3,197
Habari wana JF.

Huyu wakili msomi Mwabukusi namwona kama mbadala wa Hayati JPM.

Japo tofauti na Magufuli, Mwabukusi ni mkali zaidi halafu wakati huo huo ni mpole, mnyenyekevu na mwenye huruma zaidi kulinganisha na Hayati JPM!

Ili tuendelee kama nchi, tunawahitaji sana viongozi wa Kaliba hii, ambao hawacheki na nyani (mafisadi na wazembe).

Mwamba akiongea, mafisadi na majizi yanatetemeka!

Namwombea sana siku moja aje kuwa Rais wa nchi yetu.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu mbariki Mwabukusi,

Amin.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom