Leo jumatatu, Septemba 11, 2023 nimemsikia Rais wa Tanzania akisema hivi;
1. Anadai wanaotaka katiba mpya hawajui ni vifungu gani vibadilishwe
2. Anadai katiba haiwezi kuleta maendeleo
3. Kwa...
"Yaani leo Umfunge Baba yangu Gerezani,kisha Kesho Nije kukupigia Makofi?"
Nimeshangaa kwa kumsikia Rais Samia akiwapiga vijembe Chadema, ikiwa pia ni ishara ya kuonyesha kukerwa kwake na hatua...
Sote tuanelewa kwamba nchi yetu Rais ni kila kitu kwetu, hahojiwi na mbaya zaidi huwezi kumshtaki mahakama yoyote nchini, akiwa madarakani au baada ya kuachia madaraka.
Wananchi wa nchi hii...
Nilikuwa namaikiliza mzee Msuya kwenye mahojiano. Amekubali kuwa Chadema wanaweza kujenga hoja kwa sasa kuliko CCM. Huu mtindo wa kugeuza udini na matusi ni mbinu za CCM ambazo hazina ushahidi...
UKAWA walisusia Bunge la Katiba 2014 wakiwa wameshatia mfukoni kodi za Walalahoi wa nchi
Swali ni: Kama Katiba Mpya haiwezekani hadi Wananchi wote waelimishwe ilikuwaje UKAWA na ile Tume ya...
TUNDU LISSU AWASIFIA POLISI
Makamu mwenyejiti baada ya kupata dhamana jana, leo ameripoti kituo kikuu cha polisi jijini Arusha kama masharti ya dhamana yalivyotaka.
Makamu mwenyekiti Tundu...
Imekuwa kawaida sasa wanasiasa wa upinzani hasa CHADEMA wakikamatwa na polisi kwa makosa wanaihusisha CCM na kukamatwa kwao. Naona ipo haja ya kuwapeleka hawa watu mahakamani ili wathibitishe...
Raisi Samia sasa ameanza kuwa myeyushaji na mpotoshaji na hili ni la kusikitisha sana. Watanzania wamekuwa na hii katiba zaidi ya miaka 30 lakini ni zaidi ya miaka 10 sasa tunaongelea katiba mpya...
Aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya, ambaye amekuwa akikabiliwa mashtaka saba ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na kuongoza genge la...
Rais Samia hivi hao waarabu walikushawishi na nini kiasi ukakubali kusaini mkataba mbovu wa IGA kati ya nchi yetu na kikampuni cha Dubai na kuweka rehani bandari zetu zote?
Wenzetu Idia kampuni...
Kuendelea kumkashifu Magufuli ambaye hayupo Duniani kuja kujitetea!
Ambaye pia huna uhakika ana wafuasi wangapi katika halaiki inayokuwa mbele yako Lissu!bila kujua kwamba unawatonesha kidonda...
Mwitikio wa wananchi kwenye uzinduzi wa Ubunge jimbo la Mbarali ni ishara kwamba hali si shwari majimboni kisiasa:
Pamoja na Mhe. Waziri Mkuu mstaafu kushiriki katika uzinduzi huo na wananchi...
Kiukweli hiyo timu ya kutoa Elimu kuhusu Mkataba wa Bandari na DP World ije haraka kutuelimisha
Nimemsoma Wakili msomi mmoja ndio kazidi kunichanganya, amedai ile IGA ya Bandari iliyopitishwa...
Tumesikiliza blah blah nyingi tu kutoka kwa viongozi wa CCM wanaozunguka nchini kuelezea sakata la Bandari.
Wanasema IGA siyo mkataba bali HGA ndizo zitakuwa mikataba, wakati huo huo wanasema HGA...
Dar es Salaam, Tanzania
https://m.youtube.com/watch?v=8lpvucBPT9I
Profesa Anna Tibaijuka anafahamika zaidi kama mwanamke wa pili Mwafrika kushikilia wadhifa wa juu katika Umoja wa mataifa...
Ningependa kujua sababu za msingi za Rais Samia Suluhu Hassan kutowajibika kama Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kutoa tamko lake rasmi kuhusu mkataba tatanishi wa DPW ambao kwa kiasi...
Akiongea na watanzania walioko Marekani, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema suala la mktaba wa Tanzania na DPW ni suala ambalo hata watu wa serikalini hawalipendi.
Akijibu swali la...
Ndugu Watanzania kama mnavyoona baada ya zaidi ya miaka 60 ya uhuru hali ya huduma za kijamii bado ni mbovu.
Baada ya miaka zaidi ya 60 ya uhuru bado tunaongelea huduma mbovu ya umeme.
Hamna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.