olimpio
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 402
- 834
Seke seke la bandari linaficha mengi na makubwa yanayoendelea CHADEMA.
Nawaomba msichangie kwa mihemko , leo nawapa starter hii hapa chini.
Lema ana ugomvi mkubwa sana na viongozi wake ndani ya chama .Imepelekea Kugomea mikutano ya chadema inayoendelea nchini ya kudai Katiba mpya na kupinga bandari.
Lema alirudi nchini kwa msaada wa Rais Mstaafu JK ,ambaye alimuombea kwa mama Samia. Baada ya kurudi Lema aliingia makubaliano ya siri na baadhi ya viongozi waandamizi wa CCM akiwemo Rais Mstaafu .Makubaliano yalikua Lema afanye hisani kusaidia Upinzani usiitikise CCM hasa kwenye uchaguzi Mkuu ujao.
Hapo mwanzo serikali ilikua kwenye transition na watu wengi walikua hawajawa aligned sawa sawa , hivyo kuna watu serikalini waliwatonya akina Lissu juu ya uwepo wa watu wanaoandaliwa kuja kuwabomoa wapinzani kabla au nyakati za uchaguzi.
Mipango hio ikajulikana na tayari Lissu ambaye anajipanga kugombea tena urais 2025 akawataka wenzake wasimweke karibu LEMA. Kuna walioamini habari hizo na wengine hawakuamini.
Maafisa usalama wa serikali waliopo chadema kama S M na wenzake , waliieleza serikali kuhusu mipango ya kumtumia LEMA kujulikana .
Lema alianza kujitenga na Mikutano mingi akawa anaikwepa , Mbali na LEMA pindikizi jingine alikua ni SUGU ambaye yeye alihakikishiwa ubunge lakini kwa condition pia ya kurejeshewa hoteli yake iliyokuwa kwenye mgogoro na NEMC iitwayo hotel DESDERIA.
Toka SUGU aingie makubaliano hayo alianza kukwemba siasa za jino kwa jino na kuegemea zaidi kwenye mziki na kukusanya wanamziki wa kale wawe wanaimba ubalozi wa Ufaransa kila mwezi. Jambo hili lilimkasirisha sana Mbowe na Lissu.
Nimesema haya najua muda ni mwalimu na mwamuzi mzuri , siku sio nyingi mtasikia moto unawaka Chadema.