Tanzania ina uhaba mkubwa wa Wanasiasa, ni janga la Kitaifa

voicer

JF-Expert Member
Jul 13, 2020
5,553
11,885
Tatizo kubwa kwa sasa nchini Tanzania ni uhaba wa wanasiasa wakweli, waadilifu na wazalendo kwa nchi yao.
Hivyo kuna kundi kubwa sana la watanzania ambao hawajui hata washike wapi au wamuamini nani na chama gani.
Mimi nikiwa ni mmojawapo!
Nielewke hapa kwamba...
Binafsi sijaiongelea CCM na wala sijaisapoti CCM pia sipendezwi na kinachofanywa na CCM.

Lakini pia siwaamini na sina uhakika na kundi kubwa la wanasiasa wa nchi hii,Kuanzia CCM,CHADEMA,ACT,NCCR-Mageuzi nk.
Sababu ninayaona na niliyaona na ninaendelea kuyaona mapungufu yao kadri siku zinavyosonga mbele.
Na kwa hali inayoendelea sasa nchini.CCM kuendelea kuwalambisha Asali na kuwavutia kundini kila uchao .
Taasisi zote nyeti nchini kuanzia Mahakama,Wanasheria TLS,waandishi na wahariri wa vyombo vya habari....na
Mpaka wasanii na Ma-Chawa wao.....
Limegeuka kuwa "Jeshi la Kuusaka Uteuzi Tanzania"
Limegeuka kuwa jeshi la mapambio kwa malaika badala ya kutimiza wajibu wao kwa kuwatumikia watanzania...
Wamegeuka na kuamua kuwatumikia watawala kwa manufaa yao na vizazi vyao.

Tunakwea mlima mrefu sana kama taifa!
 
Fungua chama chako mkuu...

Staying at the bench and wondering what's not happening won't save you best.
 
Fungua chama chako mkuu...

Staying at the bench and wondering what's not happening won't save you best.
Kama Umoja Party imeshindwa mimi voicer nitaweza?
Hii pekee ndio wajibu ninaoweza kuutimiza yaani kusemaaaaa!
 
Inahitaji umakini kuandika hicho ulichokiandika kimsingi mazingila ya Siasa za Tanzania ni magumu, ndomana sinahakika kama unamaanisha tunahitaji kuagiza wanasiasa kutoka nchi za nje au umekata tamaa, kama hata Chadema ambao unaona wakizunguka nchi nzima kuueleza uma juu ya utapanyaji wa mali za uma unaofanywa na CCM na kuepo na umuhimu wakua na Katiba mpya bado huwaamini kama kuna wanasiasa? Bila shaka wewe unatamani tuagize wanasiasa kutoka nje ya nchi au la sivyo we utakua ni chawa wa mama tu
 
Back
Top Bottom