CHADEMA, njia ya kupita ili kuingia Ikulu ni kuacha kabisa kumchafua Hayati Magufuli. Mkumbatieni mtafika

Nsanzagee

JF-Expert Member
Jun 28, 2023
1,956
4,147
Nawahakikishia hivyo, kwa sababu kati ya watu waliofanya tafiti kuhusu utawala wa JPM na uliopo sasa, miongoni mwao na mimi nimefanyia utafiti huo

Nasema ukweli wa moyo! Sio kanda ya ziwa tu, pwani na hata kasikazini, na nchi nzima kwa ujumla

watanzania wanahasira mno na ccm kwa uongozi uliopo ambao umeshindwa kabisa kukidhi matarajio ya wengi

Wanahasira na ccm na hasa kwa kuacha kwa maksudi Rais wa mioyo ya wengi hayati JPM kutukanwa bila wao ccm kujitokeza kukemea jambo hilo

Yako mengi ni pamoja na kupanda kwa gharama za maisha bila sauti yoyote ya kiongozi wa juu,

Hatukatai, yapo mambo ambayo kipindi cha mwendazake yalikuwa yakitokea na kuwa kero kwa wananchi, ila Rais alijitokeza hadharani kwa haraka ama kukemea na ama vinginevyo!

Kanda ya ziwa kwa sasa, CCM haitakiwi hata kwa dawa, ninao mabibi zangu ambao kabla ya utawala huu, ilikuwa ukiwaambia wakakipigie kura chama cha upunzani, ilikuwa unaambulia matusi

Nenda sasa uwaulize wazee kuihusu CCM, majibu utakayopata utaaungana na mimi kusema, watu wameichoka mno ccm na hawaitaki

CHADEMA, kumtukana Magufuli ni kujiharibia, kwani mkimeza tu yale mnayodhani hayakuwa sawa mtapungukiwa nini? Mbona ya kina Lowasa mliyameza na kumpa nafasi ya kugombea urais?

Mnachotaka nyinyi ni nini?

Kumbukeni, kampeni na machapisho yenu ya nyuma kipindi cha uchaguzi uliopita, nanukuu,

Mlisema, kwa sasa, tutatumia mbinu zote ili kuitoa ccm madarakani, hata kama njia za kishetani, na ndiyo maana ya kula matapishi yenu kumweka Lowasa kuongoza njia kuing'oa ccm

Kwa sasa mbashindwa nini? Mbona mnawakasirisha wananchi walio wengi na ambao huwezi kuwaambia chochote kuhusu JPM wakakuelewa zaidi watakuona kituko?

JPM ni lulu yao wananchi wengi hasa wa maisha ya chini, na wananchi wa maisha ya chini, ndio waliowengi na ndio wanaweza kuwaondoa ccm kwa uwingi wa kura zao! piga ua galagaza, JPM, ni lulu yao tu,

Hata mchukie kuona watu wakimpenda JPM, iko hivyo na hamtawabadiri kwa lolote na kwa njia zozote hawawezi kuwaelewa zaidi ya kupandisha hasira zao juu yenu

Nimewapuuza sana kuingiza maneno na shombo ya kijinga kumhusu JPM

Na bila shaka mmeona matusi yanayoporomoshwa kwenye ukurasa wa Tundu lissu
 
Huu ushauri wako ni wa kupuuzwa!! Yaan akumbatiwe ili washike ikulu 🤣🤣🤣 kila mtu atapigwa spana pale alipofanya makosa. Uzuri LISSU hauishi unafiki. Walisemwa mpaka mitume enzi hizo ndo ije kua mwanadam wa kawaida wa leo?
 
Ccm dawa yenu ni ndogo saana
 
Nawahakikishia hivyo, kwa sababu kati ya watu waliofanya tafiti kuhusu utawala wa JPM na uliopo sasa, miongoni mwao na mimi nimefanyia utafiti huo

Nasema ukweli wa moyo! Sio kanda ya ziwa tu, pwani na hata kasikazini, na nchi nzima kwa ujumla

watanzania wanahasira mno na ccm kwa uongozi uliopo ambao umeshindwa kabisa kukidhi matarajio ya wengi

Wanahasira na ccm na hasa kwa kuacha kwa maksudi Rais wa mioyo ya wengi hayati JPM kutukanwa bila wao ccm kujitokeza kukemea jambo hilo

Yako mengi ni pamoja na kupanda kwa gharama za maisha bila sauti yoyote ya kiongozi wa juu,

Hatukatai, yapo mambo ambayo kipindi cha mwendazake yalikuwa yakitokea na kuwa kero kwa wananchi, ila Rais alijitokeza hadharani kwa haraka ama kukemea na ama vinginevyo!

Kanda ya ziwa kwa sasa, ccm haitakiwi hata kwa dawa, ninao mabibi zangu ambao kabla ya utawala huu, ilikuwa ukiwaambia wakakipigie kura chama cha upunzani, ilikuwa unaambulia matusi

Nenda sasa uwaulize wazee kuihusu ccm, majibu utakayopata utaaungana na mimi kusema, watu wameichoka mno ccm na hawaitaki

Chadema, kumtukana Magufuli ni kujiharibia, kwani mkimeza tu yale mnayodhani hayakuwa sawa mtapungukiwa nini? Mbona ya kina Lowasa mliyameza na kumpa nafasi ya kugombea urais?

Mnachotaka nyinyi ni nini?

Kumbukeni, kampeni na machapisho yenu ya nyuma kipindi cha uchaguzi uliopita, nanukuu,

Mlisema, kwa sasa, tutatumia mbinu zote ili kuitoa ccm madarakani, hata kama njia za kishetani, na ndiyo maana ya kula matapishi yenu kumweka Lowasa kuongoza njia kuing'oa ccm

Kwa sasa mbashibdwa nini? Mbona mnawakasieisha wananchi

JPM ni lulu yao wananchi wengi hasa wa maisha ya chini, na wananchi wa maisha ya chini, ndio waliowengi na ndio wanaweza kuwaondoa ccm kwa uwingi wa kura zao! piga ua galagaza, JPM, ni lulu yao tu,

Hata mchukie kuona watu wakimpenda JPM, iko hivyo na hamtawabadiri kwa lolote

Nimewapuuza sana kuingiza maneno na shombo ya kijinga kumhusu JPM

Na bila shaka mmeona matusi yanayoporomoshwa kwenye ukurasa wa Tundu lissu
we kweli zuzu, yule ni mfu tayari. Sukuma gang kweli washamba sana. Yule shetani wenu ameshakufa sisi hatuabudu wafu km nyie. Hata km Tundu ni mwehu siyo kwa kumtumia yule shetwani alieigawa nchi na kutuachia matatizo ya kila aina. Ameiacha nchi iliyopoteza matumaini, miaka 6 hakuna nyongeza ya mshahara wala kupandishwa cheo, miaka 6 hakuna ajira, alitumia madaraka vibaya kupeleka miradi ya matrilioni sehemu zisizostahili. Tumshukuru Mungu kutuondolea. Nyie washamba muda wenu umeshapita na hautarudi tena labda mkamfuate alipo sahivi. Alichofanikiwa Magufuli ni kuwapumbaza wajinga wachache kwa kuwapachika maina wanyonge na kwamba yeye ni mtetezi wao, hakuna lingine
 
we kweli kenge, eti nimefanya utafiti, we unajua maana ya utafiti, na unajua unafanyikaje? Kima tuliza tako, yule alikuwa fisadi kuliko Mkapa, au kwasbabu Mkapa hana mtetezi? Kanda ya ziwa siyo wasukuma tu zuzu. Hata wasukuma wengi hawampendi, ni nyie genge dogo tu
 
Zaidi ya matusi, kingine nini sasa mkuu ulichowahi hata kuifanyia Tanzania

Wewe ni wale wale wajinga wenye kujiona ni waelewa kumbe ni matapeli wakubwa nyinyi

Mnasababisa mama aseme nchi haina wasomi wa kuendesha bandari

Jinga kabisa
 
Bila ya mabadiliko ya kimifumo hakuna njia ya chama cha upinzani kuingia madarakani. Mifumo iliyopo imetengenezwa kuhakikisha CCM inaendelea kutawala. Mfano mmoja ni madaraka ya Msajili wa Vyama aliyonayo juu ya vyama. Uwezo wa kuvifutia usajili au kuwawekea viongozi wasiowataka.
 
Nawahakikishia hivyo, kwa sababu kati ya watu waliofanya tafiti kuhusu utawala wa JPM na uliopo sasa, miongoni mwao na mimi nimefanyia utafiti huo

Nasema ukweli wa moyo! Sio kanda ya ziwa tu, pwani na hata kasikazini, na nchi nzima kwa ujumla

watanzania wanahasira mno na ccm kwa uongozi uliopo ambao umeshindwa kabisa kukidhi matarajio ya wengi

Wanahasira na ccm na hasa kwa kuacha kwa maksudi Rais wa mioyo ya wengi hayati JPM kutukanwa bila wao ccm kujitokeza kukemea jambo hilo

Yako mengi ni pamoja na kupanda kwa gharama za maisha bila sauti yoyote ya kiongozi wa juu,

Hatukatai, yapo mambo ambayo kipindi cha mwendazake yalikuwa yakitokea na kuwa kero kwa wananchi, ila Rais alijitokeza hadharani kwa haraka ama kukemea na ama vinginevyo!

Kanda ya ziwa kwa sasa, ccm haitakiwi hata kwa dawa, ninao mabibi zangu ambao kabla ya utawala huu, ilikuwa ukiwaambia wakakipigie kura chama cha upunzani, ilikuwa unaambulia matusi

Nenda sasa uwaulize wazee kuihusu ccm, majibu utakayopata utaaungana na mimi kusema, watu wameichoka mno ccm na hawaitaki

Chadema, kumtukana Magufuli ni kujiharibia, kwani mkimeza tu yale mnayodhani hayakuwa sawa mtapungukiwa nini? Mbona ya kina Lowasa mliyameza na kumpa nafasi ya kugombea urais?

Mnachotaka nyinyi ni nini?

Kumbukeni, kampeni na machapisho yenu ya nyuma kipindi cha uchaguzi uliopita, nanukuu,

Mlisema, kwa sasa, tutatumia mbinu zote ili kuitoa ccm madarakani, hata kama njia za kishetani, na ndiyo maana ya kula matapishi yenu kumweka Lowasa kuongoza njia kuing'oa ccm

Kwa sasa mbashindwa nini? Mbona mnawakasirisha wananchi walio wengi na ambao huwezi kuwaambia chochote kuhusu JPM wakakuelewa zaidi watakuona kituko?

JPM ni lulu yao wananchi wengi hasa wa maisha ya chini, na wananchi wa maisha ya chini, ndio waliowengi na ndio wanaweza kuwaondoa ccm kwa uwingi wa kura zao! piga ua galagaza, JPM, ni lulu yao tu,

Hata mchukie kuona watu wakimpenda JPM, iko hivyo na hamtawabadiri kwa lolote

Nimewapuuza sana kuingiza maneno na shombo ya kijinga kumhusu JPM

Na bila shaka mmeona matusi yanayoporomoshwa kwenye ukurasa wa Tundu lissu
Chadema hawana nia ya kushika dora,Hawa ni vibaraka wa CCM ndio maana hawajikiti kwenye SIASA za kisayansi ili kuitoa CCM.Wangekua serious wasingeangaika na kundi la jiwe.Hawakupewa uhuru wa kufanya SIASA hivihivi, moja ya masharti ni kupambana na jiwe coz huu ndio mzimu unaoitesa CCM.Mpinzani mkubwa wa ccm ni team jiwe ambayo iko ndani yao na sio hawa wapinzani ubwabwa. Siku upinzani ukianza kuitumia team jiwe utaona vikwazo watakavyo kutana navyo toka kwa utawala. Siasa wanazopiga kwa sasa hazina shida kwa ccm
 
we kweli kenge, eti nimefanya utafiti, we unajua maana ya utafiti, na unajua unafanyikaje? Kima tuliza tako, yule alikuwa fisadi kuliko Mkapa, au kwasbabu Mkapa hana mtetezi? Kanda ya ziwa siyo wasukuma tu zuzu. Hata wasukuma wengi hawampendi, ni nyie genge dogo tu
Nionyeshe usomi wako nami nikuonyeshe ujinga wangu!

Punga wewe
 
Chadema hawana nia ya kushika dora,Hawa ni vibaraka wa CCM ndio maana hawajikiti kwenye SIASA za kisayansi ili kuitoa CCM.Wangekua serious wasingeangaika na kundi la jiwe.Hawakupewa uhuru wa kufanya SIASA hivihivi, moja ya masharti ni kupambana na jiwe coz huu ndio mzimu unaoitesa CCM.Mpinzani mkubwa wa ccm ni team jiwe ambayo iko ndani yao na sio hawa wapinzani ubwabwa. Siku upinzani ukianza kuitumia team jiwe utaona vikwazo watakavyo kutana navyo toka kwa utawala. Siasa wanazopiga kwa sasa hazina shida kwa ccm
Umeongea point sana mkuu
 
Niliwaambia Chadema kuliko kumtaja JPM kwa mabaya, bora kutokumtaja kabisa kama ccm ilivyonyamaza kabisa...wao sio wajinga.

Haijalishi Magu alikuwa mbaya au mzuri ila amejisokota sana kwenye mioyo ya wapiga kura wengi.
Kumshambulia ni kujichimbia shimo la kusahaulika.
 
Tatizo kubwa yule jamaa alikataza kukosolewa, sasa wafuasi wake hawajazoea kabisa na hawawezi kustahamili akitajwa vibaya. Mbona huyu Bi Maza anashambuliwa vizuri tu na Lisu wala haoneshi kukwazika? Mwendazake ni nani hadi asisemwe?
 
Nawahakikishia hivyo, kwa sababu kati ya watu waliofanya tafiti kuhusu utawala wa JPM na uliopo sasa, miongoni mwao na mimi nimefanyia utafiti huo

Nasema ukweli wa moyo! Sio kanda ya ziwa tu, pwani na hata kasikazini, na nchi nzima kwa ujumla

watanzania wanahasira mno na ccm kwa uongozi uliopo ambao umeshindwa kabisa kukidhi matarajio ya wengi

Wanahasira na ccm na hasa kwa kuacha kwa maksudi Rais wa mioyo ya wengi hayati JPM kutukanwa bila wao ccm kujitokeza kukemea jambo hilo

Yako mengi ni pamoja na kupanda kwa gharama za maisha bila sauti yoyote ya kiongozi wa juu,

Hatukatai, yapo mambo ambayo kipindi cha mwendazake yalikuwa yakitokea na kuwa kero kwa wananchi, ila Rais alijitokeza hadharani kwa haraka ama kukemea na ama vinginevyo!

Kanda ya ziwa kwa sasa, ccm haitakiwi hata kwa dawa, ninao mabibi zangu ambao kabla ya utawala huu, ilikuwa ukiwaambia wakakipigie kura chama cha upunzani, ilikuwa unaambulia matusi

Nenda sasa uwaulize wazee kuihusu ccm, majibu utakayopata utaaungana na mimi kusema, watu wameichoka mno ccm na hawaitaki

Chadema, kumtukana Magufuli ni kujiharibia, kwani mkimeza tu yale mnayodhani hayakuwa sawa mtapungukiwa nini? Mbona ya kina Lowasa mliyameza na kumpa nafasi ya kugombea urais?

Mnachotaka nyinyi ni nini?

Kumbukeni, kampeni na machapisho yenu ya nyuma kipindi cha uchaguzi uliopita, nanukuu,

Mlisema, kwa sasa, tutatumia mbinu zote ili kuitoa ccm madarakani, hata kama njia za kishetani, na ndiyo maana ya kula matapishi yenu kumweka Lowasa kuongoza njia kuing'oa ccm

Kwa sasa mbashindwa nini? Mbona mnawakasirisha wananchi walio wengi na ambao huwezi kuwaambia chochote kuhusu JPM wakakuelewa zaidi watakuona kituko?

JPM ni lulu yao wananchi wengi hasa wa maisha ya chini, na wananchi wa maisha ya chini, ndio waliowengi na ndio wanaweza kuwaondoa ccm kwa uwingi wa kura zao! piga ua galagaza, JPM, ni lulu yao tu,

Hata mchukie kuona watu wakimpenda JPM, iko hivyo na hamtawabadiri kwa lolote

Nimewapuuza sana kuingiza maneno na shombo ya kijinga kumhusu JPM

Na bila shaka mmeona matusi yanayoporomoshwa kwenye ukurasa wa Tundu lissu
Yaani CDM wamkumbatie Magufuli ili washinde uchaguzi! Kama huyo Magufuli angekuwa anakubalika hivyo angepora uchaguzi? Hayo matusi huko kwenye wall ya Tundu Lisu ndio uhuru wenyewe wa maoni. Sisi tunaangalia ukweli unaosemwa. Kama ni cdm kukosa kura kwa kutomsema Magufuli, acha tu wazikose.

Na kwa kukusudia tu Magufuli ndio aliyeshusha ari ya wananchi kupiga kura, baada ya kunajisi chaguzi za nchi hii waziwazi. Cdm haitaki hata kura moja ya nyie wafuasi wa Magufuli mlioona sawa Magufuli kufanyia ukatili wapinzani.

Mkiona vipi anzisheni kile chama chenu cha sukuma gang mkachukue hizo kura za Magufuli ambazo yeye mwenyewe hakuziamini l, hadi akaamua kunajisi chaguzi.
 
Niliwaambia Chadema kuliko kumtaja JPM kwa mabaya, bora kutokumtaja kabisa kama ccm ilivyonyamaza kabisa...wao sio wajinga.

Haijalishi Magu alikuwa mbaya au mzuri ila amejisokota sana kwenye mioyo ya wapiga kura wengi.
Kumshambulia ni kujichimbia shimo la kusahaulika.

Kuliko kuingia Ikulu kwa kunyamazia makosa ya yule Muuaji, ni bora usiingie kabisa lakini unyama wake usemwe, ukemewe na kuhakikisha haujirudii tena nchini.

Lissu anamsema Mkapa kwa ufisadi wake, mbona hamumtetei Mkapa?

Kama una mahaba kwa Magufuli baki na mahaba yako lakini Taifa lazima liponywe dhidi ya udhalimu wake.
 
Kumkumbatia jambazi bora tusifike ikulu
Kuna mtu alichafuliwa nchi hii kama lowasa? mbona walipoitaka ikulu walimkumbatia.. tatizo chadema wengi wanawaza kwa kutumia ma.t.a.c.le, siku mkitumia akili mtajua hamjui.
 
Back
Top Bottom